UKIMWI umeua wengi jamani

UKIMWI umeua wengi jamani

HIV/AIDS IS REAL.Kuna watu bado hawaamini hadi uwakumbe au umkumbe mtu wake wa karibu.Huu ugonjwa [emoji119][emoji119]
kuna mtu tena kanikejeli kabisa hapo juu we mwache aupate ndo ataamini kweli. upo
 
kwanza kabisa kabla ya kuogopa kufa kwa ukimwi jiulize kifo ni nini??? people fear what they don't understand!!!!!! kwani wote wanaokufa wanakufa kwa ukimwi tu??? kuna wanajeshi kama sisi tunakufa kwa mabomu kila leo mashariki ya kati, ajali za magari, kipindupindu ndio hata dakika 30 mtu hamalizi, malaria ndio usiseme. THINK BIG.......
jeshi linakupeleka pabaya afande. unazani kuishi kwa matumaini ni raha sana?? inahitaji ujasiri vinginevyo unazikwa tuu nimeshuhudia sana vifo vya namna hii.
 
ukimwi bila
ni habari nyingine. kuharisha sio mchezo na kukohoa we usikie tuu hapo huwez hatakwenda kazini ukishaanza kuumwa. nani atailisha familia??
 
jeshi linakupeleka pabaya afande. unazani kuishi kwa matumaini ni raha sana?? inahitaji ujasiri vinginevyo unazikwa tuu nimeshuhudia sana vifo vya namna hii.
kifo kipo tu, aidha ufe kwa ukimwi kansa, ajali ya gari ama kitu kingine. kuna ndege imelipuka misri huko na wazungu kibao wamekufa. death is real. hakuna umilele hapa duniani.
 
ukimwi bila
ni habari nyingine. kuharisha sio mchezo na kukohoa we usikie tuu hapo huwez hatakwenda kazini ukishaanza kuumwa. nani atailisha familia??
kwani ikikwatwa miguu yote kwa ajali ya gari ama kisukari, ni nani atailishi hiyo familia. tuache unyanyapaa
 
MKOJO WAKO MWENYEWE HASA WA ASUBUHI NI DAWA NZURI SANA YA KUPUNGUZA MAKALI YA UKIMWI. HUTAHITAJI TENA ARVS. SIJAANDIKA KWA KUBAHATISHA IKO RESEARCHED KUTOKA KWA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA AMBAYE HII TIBA MBADALA IMEMSAIDIA. SEARCH ONLINE UTAONA TAFITI ZA KIMATAIFA ZINAZOTHIBITISHA HILI. SIO UKIMWI TU BALI PUMU, MAJERAHA, CANCER (NOT VERY SURE), FUNGUS ZA CHINI NA MDOMONI, N.K N.K.
SWALI NI KWANINI TUNAAMBIWA MKOJO NI UCHAFU HAUFAI KWA LOLOTE: WATENGENEZA MADAWA HAWAFAIDIKI CHOCHOTE NA TIBA HII SO KUITANGAZA KUTAWAPUNGUZIA SOKO LA MADAWA YAO.
VIPO VITABU VIMEANDIKWA KUHUSU UFANISI WA TIBA HII NA CASE STUDIES ZA WALIOPONA.
USIDHARAU KWAKUWA MKOJO NI WAKO JARIBU THEN UTATHIBITISHA.
hakika binti kuhusu hilo la ukimwi sijui ila najua mkojo wa mtu. ni dawa pia hata mbuzi aliumwa nyimbani kama kuvimbiwa n.k huwa napa mkojo wangu anapona nimejifunza kutoka kwa bibi na mjomba wangu.
pia mkojo wa PUNDA nayo ni dawa.
 
ukimwi bila
ni habari nyingine. kuharisha sio mchezo na kukohoa we usikie tuu hapo huwez hatakwenda kazini ukishaanza kuumwa. nani atailisha familia??
sawa mkuu hayo ya kukatwa na ajali najua jua sio ya kujitakia sa nyingine ni uvamizi n.k.
hayo tuachane nayo mimi nazungumzia hii kiti yeti pendwa yani nyapu na boro ambavyo kila mtu anaviota kila kukicha hata kama anacho mkononi bado atatamani na kingine. lengo la huu uzi ni kutoa elimu na ujuzi iliwatu wawe aware na attention kuhusu ngoma kwani naona watu wamejisahau sana hata miaka ijayo kama hatutakwepo basi Mungu akibariki hii website ikiwa hewani natumai watasoma na kuweza kujilinda. asante afande.
 
hakika binti kuhusu hilo la ukimwi sijui ila najua mkojo wa mtu. ni dawa pia hata mbuzi aliumwa nyimbani kama kuvimbiwa n.k huwa napa mkojo wangu anapona nimejifunza kutoka kwa bibi na mjomba wangu.
pia mkojo wa PUNDA nayo ni dawa.
Mkuu nilisahau kuhusu sumu. Binafsi nilishataka kufa kwa sumu lakini mkojo ukaniponya. Kuhusu ukimwi niliijua hii tiba baada ya kuona ndugu yangu wa damu ametumia na kupata nafuu (baada ya ARV kudunda). Siwezi kuleta utani kwenye issue serious kama hizi. Na nimesoma pia kwamba mkojo una antbody ambayo hushambulia virus na kuvipunguza mwilini.
Urine: Your Own Perfect Medicine
 
safi sana mkuu napendelea uanzishe uzi wa mkojo ili watu wajifunze.
 
Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.

Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.

Ushauri wangu kwenu wana MMU.

MKUU
KWA MAADILI MEMA NA MAONYO HAYA
WALA SIHITAJI UWEKE PICHA.
 
KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.
anapokusogelea haimaanishi anakuambukiza ukimwi,
ugonjwa huu unaambukizwa kupitia vimiminika vitokavyo ndani ya mwili,
ikiwemo Damu, semen fluid, pamoja na amniotic fluid.
kwa maana hiyo haifai kumtenga muathirika katika mazungumzo, matembezi ya pamoja na hata kumkumbatia ili kumpa faraja.
TUSIWATENGE JAMANI.
 
Kweli ukimwi ni biashara maana tangu uingie duniani hakuna hata dawa ya kuponyesha. Ila tuwe makini sana na huu ugonjwa upo na unaua.
dawa zinashindikana kwa kuwa virus wanaingia ndani ya cell na wanauvaa uhalisia wa cell za binadamu.. hivyo ukimeza dawa ya kuuwa virus unauwa cell za binadamu,
je utaishije bila cell hai?
 
Hivi kweli Condom inazuia ukimwi? Mbona watu wengi wanatumia ila pia inaenda sambamba na utumiaji wa ARV?
anatumia kumkinga mwenzie..
kama mimi nimeathirika nitaendelea kutumia ARV'S ila pia itabidi condom itumike ikukinge wewe usiyeathirika.
 
anatumia kumkinga mwenzie..
kama mimi nimeathirika nitaendelea kutumia ARV'S ila pia itabidi condom itumike ikukinge wewe usiyeathirika.
Kwahiyo mkuu,una uhakika Condom inazuia ukimwi? Hilo ndilo lilikuwa swali la msingi.
 
anapokusogelea haimaanishi anakuambukiza ukimwi,
ugonjwa huu unaambukizwa kupitia vimiminika vitokavyo ndani ya mwili,
ikiwemo Damu, semen fluid, pamoja na amniotic fluid.
kwa maana hiyo haifai kumtenga muathirika katika mazungumzo, matembezi ya pamoja na hata kumkumbatia ili kumpa faraja.
TUSIWATENGE JAMANI.
Nlishapewa taarifa kuna mtu alikuwa HIV + akapandwa na malaria usiku akataka kumng'ata aliyalala nae. Sio kwamba ni unyanyapaa. Ni ukweli tu we can not trust em. Huo ni ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom