kwanza kabisa kabla ya kuogopa kufa kwa ukimwi jiulize kifo ni nini??? people fear what they don't understand!!!!!! kwani wote wanaokufa wanakufa kwa ukimwi tu??? kuna wanajeshi kama sisi tunakufa kwa mabomu kila leo mashariki ya kati, ajali za magari, kipindupindu ndio hata dakika 30 mtu hamalizi, malaria ndio usiseme. THINK BIG.......Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.
Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.
Ushauri wangu kwenu wana MMU.
Ukikutwa nao n stress x2 kukataliwa na kujijua unaoTwende tukapime basi tena mara 3
mimi nimewasaidia wengi sana waliokwisha kata tamaa. thanks to God kwa kunipa nguvu ya namna hiyo.Ukikutwa nao n stress x2 kukataliwa na kujijua unao
HIV is a much less infectious virus than many other sexually transmitted infections. The risk for becoming infected varies depending on many factors including the type of exposure you have , whether the other person is HIV positive, how high or low their viral load is, the duration and roughness of the sex etc.Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.
Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.
Ushauri wangu kwenu wana MMU.
Naomba unieleweshe.. Unajua mi nakuheshimu sana?Nimekosa maneno ya kukuambia, ila hakika uelewa wako utakuwa mdogo sana
Napenda wanajeshikwanza kabisa kabla ya kuogopa kufa kwa ukimwi jiulize kifo ni nini??? people fear what they don't understand!!!!!! kwani wote wanaokufa wanakufa kwa ukimwi tu??? kuna wanajeshi kama sisi tunakufa kwa mabomu kila leo mashariki ya kati, ajali za magari, kipindupindu ndio hata dakika 30 mtu hamalizi, malaria ndio usiseme. THINK BIG.......
Yale maneno uliyoandika mpaka akakukot ni ya kijinga sana umeongea as if wewe ni malaikaNaomba unieleweshe.. Unajua mi nakuheshimu sana?
Kwani umeelewaje maana ya ku show love? Bora unitukane tu kuliko kuongea kwa mafumbomkuu nimeipenda id yako, huenda ndio maana mzungu akapendekeza ushow love
What is done cannot be undone.... I am a very conservative man. And this is who i am. Hata ndugu nimemuambia kitu kama hicho nlichoandika. Na aliishia kucheka tu.. Watu tunatofautiana kutokana na vitu tunavoaminiYale maneno uliyoandika mpaka akakukot ni ya kijinga sana umeongea as if wewe ni malaika
Uwe unatafakari kitu unaandika ama kuongea mbele ya jamii... Acha unyanyapaa wakati unajamiiana na mtu usiyemfahamu ana fanya nn behind your back. U care mwenzio je?! NINYI ndo mnaishiaga kujinyonga......
Nooo! Your wish will not be granted. This is not how God is working. Unless you are a wizard. Mungu kasema usizini wewe ukazini (umetenda dhambi) halafu unalaumu wanao ogopa huo ugonjwa? ... Halafu chunga ulimi huo mtu dada... I am a free man kwa hiyo navo post ni maoni yangu. Nijibu kwa hoja na sio uchawi wako wa kutabiri vifo akati we sio Mungu. Hiyo dhambi ya kutabiria watu vifo nenda ukatubu kabla haijakurudia.Una fikra finyu sana na si ajabu utakufa Kwa ukimwi
Taratiib bas mkuu, mbona kakiri kuwa ukimwi upo na unaua, sasa unamshambulia na kumlaani kwa maneno makalijifanganyeni tuu kwa imani zenu za kipuuzi cancer
nayo ni biashara eeh? wangap huko majuu wana ugua wasanii kama eazy e marehemu, dada yake mariah carey, magic johnson, yule mkali wa pop prince aliekufa juzi. wengine kibao umeshuhudia kwa
macho yako kweli wadhubutu kusema ukimwi haupo
haupo?? ukikupata ndo utaamini poor you shame on you na akina deception kwa kudanganya uma lazima tutoe elimu na onyo anaepita huku ajifunze.
magonjwa mangapi hadi leo hayana tiba it means nayo ni biashara??? by the way pray hard unatatizo kubwa sana wewe na Mungu akuondolee hilo tatizo
ufunguke kichwani.
Upo kweli ila hauui kama ambavyo inazunguzwa na takwimu nyingi ni za kupika tu ili kuwaaminisha watu kama bado ni janga, jaribu kufatilia population ya nchi kuanzia miaka ya 80 mpaka 2012 kama ilipungua au la.Unaua sana ni kweli,na hata hizi takwimu zinazotolewa sidhani kama zina uhalisia kulinganisha na idadi halisi ya waathirika.
HaswaaJamani tuangalie na maoni yetu kuna watu pia wameathirika sasa ikawa nao wanasoma haya maoni inakuaje
inawezekana ila. kama ana kibamia/ki boo kidogp halafu alimuandaa vizuri huyo mwanamke na kuhakikisha kalowa kabisa halafualikua hana vidonda an damu yoyote ikagusana na kidonda chakr hapo asali sana na aache huo ujinga asubiri miezi mi3 au akapime kwa DNA apunguze presha asije kufa bure.hivi mtu anaweza kutembea na muathirika wa ukimwi kwa kufunga goli moja tu ila na huyo mtu asiupate???