Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Hivi mnajua kwanini anajiita mbuzi na kuku?chakula hiyoo
Yaani unaandika maneno yako bila ya chembe ya ubinadamu ! Si bora ungekaa kimya tu kuliko kutoa ujinga wako hapa ?! FYI umebaki peke yako mwenye mawazo hayo ![emoji35] [emoji35]KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.
Roho mbayaYaani unaandika maneno yako bila ya chembe ya ubinadamu ! Si bora ungekaa kimya tu kuliko kutoa ujinga wako hapa ?! FYI umebaki peke yako mwenye mawazo hayo ![emoji35] [emoji35]
😀thread kama hizi watu wanapita kimya kimya kama hawaoni vile[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
ukimwi upo bwana usijidanganye kwa ngozi zilizonawiri na unene. ARV on action siku hizi niliskia wana wapa hata wanyama kama kuku na ngombe wananenepa kinoma sasa wasiwasi wangu ni side effect za huyo mnyama kwa binadamu.Kibaya na cha kusikitisha zaidi kadiri tunavyo hamasishwa kujikinga na huu ugonjwa ndio maambukizi yanakuna kwa kasi sana kuna siku nipo muhimbili nilimsikiza best yangu kufuata vidonge vya kuongeza siku kwenye ile foleni wengi kwa kukisia wapo below 35,halafu ni ngumu kuwatambua aisee maana wapo kawaida mno jamani ukimwi upoo.
Avatar yako inaonyesha umevurugwaNgono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.
Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.
Ushauri wangu kwenu wana MMU.
Umenena vyema sana. Ni vizuri mkapima kabla ya kuanza mahusiano, but take care baadaye msijiachie kwa sababu unaweza ukajiaminisha mpo safe coz mmepima before, kumbe huku mwenzio anatoka nje na bado anarudi kwako. Mlikuwa safe hadi siku ile mliyopima, baada ya hapo msipokuwa makini lolote laweza kutokea. Kila la kheri kipenziAcheni ngono zembe na mkiweza msubiri,Mi sasa hivi nshaamua sidate na mwanaume hadi tukapime..Maana kuna watu nliwahi kuambiwa wameathirika sikuamini..Sasa ntajuaje kwa mtu wa kukutana nae njiani??
Sawa. FYI maanake nini?Yaani unaandika maneno yako bila ya chembe ya ubinadamu ! Si bora ungekaa kimya tu kuliko kutoa ujinga wako hapa ?! FYI umebaki peke yako mwenye mawazo hayo ![emoji35] [emoji35]
Mama yangu Khaaaaa, Mungu atusaidie sanaNi kweli bt dunia ya sasa imeoza hii[emoji134]
Juzi tu hapa kuna wapenz walipima wakafunga ndoa baada one year mke kashika mimba kwenda kupima clinic wanaambiwa unao njoo na mmeo tukushauri jinsi ya kumlinda mtoto hadi azaliwe salama..
akawekwa kikao akakiri alikua na bwana mkoani na akienda anafanya yake Tena walokole atiii...sasa mi nkiolewa na huyu mwenye mambo ya kidunia itakuwaje? naogopa
FYI......maana yake ni : For Your Information.Sawa. FYI maanake nini?