God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,029
Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.
Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.
Ushauri wangu kwenu wana MMU.