chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,693
[emoji23] [emoji23]Ukimwi hamna siku hizi. Niambie toka umepata akili ulishawahi kumuona mgonjwa wa ukimwi?
[emoji23] [emoji23]Ukimwi hamna siku hizi. Niambie toka umepata akili ulishawahi kumuona mgonjwa wa ukimwi?
Ushauri tu: Kama unaogopa ukimwi basi ogopa na dyudyu pamoja na offer za bure.naogopa ukimw
Wallah Mungu atunusuru tu,mi nimepoteza babangu wakubwa 4 na shangazi pamoja na binti yake upande wa bibiangu mkubwa walikua mashababi ya nguvu,mmoja aliupata kwa kumrithi mke wa kakaake naumia kila nikiwakumbuka,huu ndo ulifanya dadangu akajinyonga hosptal ya ipamba iringa alipogundulika anao na bado unaendelea kututafuna.MUNGU ATUNUSURU TU.Ukimwi umeuwa wengi ni kweli,
Dah roho inaniuma sana wajomba zangu wawili wamekufa na HIV mpaka leo huwa naumia sana nikiwakumbuka, wamekufa wakiwa vijana wadogo sana,
Mwezi uliopita nilikwenda kijijini kwetu kusalimia, bibi yangu akawa ananipa siri kuna watoto wa kike wa marehem mama yangu mkubwa wote wanatumia ARV... Dah roho ilizidi kuniuma sana,
Ukimwi upo na hutajua kama haupo mpaka uupate Ndio utaamini
Mzee secret temea mate chini...Ukimwi hamna siku hizi. Niambie toka umepata akili ulishawahi kumuona mgonjwa wa ukimwi?
Ku socialize na mtu unawezaje kupata HIV? Je angekuwa ni mwanafamilia ungemkimbia? Onyesha upendo acha vituko. Epuka matendo yanayopelekea kupata UKIMWI na siyo kumwepuka mwenye UKIMWI!KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.
I lost my mother,uncle and young sister because of HIV/AIDS...Kuna wakati nikifkria sana huwa nakosa kabisa hamu ya ngono kwa muda hata miezi mitatu...
yani kama navyowaza kichwani kwangu mkuu condom ndo silaha yangu naitumia vyema.UKIMWI upo kwa kweli na siwezi kukataa kuwa haupo
Maana nashuhudia waathirika wanavyojitungua aisee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Siwezi kuuza mechi peku hata siku na moja maana najua madhara yake kwa badae nitajiharishia na kukondeana tu
Condoms kwangu ni thuruhisho tosha kabisa maana ninavyopenda kugegedana dah
Kuacha ngono siwezi kabisa ila huwaga najitahidi sana kukitawala kichwa kidogo pale kinaponishawishi kuuza mechi
Ngono zembe kwangu big Nop
Napita Tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hakika mkuu nye.ge. ni kitu kibaya sana kitakufanya ufanye mambo ya ajabu sanawatu waji epusha na tamaa za utombaji ni kubaya sana hapana dunga kila shimo tumieni kinga
pole sana mkuu mpe Mungu maisha yako atakuba baraka zake. sio wewe peke yako mkuu wapo wemhi.Mzee secret temea mate chini...
Mimi wazazi wangu walifariki miaka ya 90 na hili gonjwa, mdogo wangu nae wa mwisho akafariki 2006 na hili hili gonjwa, kwenye familia tumebak wawili tu though tuko poa
Hapa ofisin nnapofanya kaz juz kati nlionyeshwa watu walioathorika ckuamini
So unaposema ukimwi haupo semea chooni mkuu!
pole sana ndugu Mwenyezi-Mungu akufariji moyo wakoWallah Mungu atunusuru tu,mi nimepoteza babangu wakubwa 4 na shangazi pamoja na binti yake upande wa bibiangu mkubwa walikua mashababi ya nguvu,mmoja aliupata kwa kumrithi mke wa kakaake naumia kila nikiwakumbuka,huu ndo ulifanya dadangu akajinyonga hosptal ya ipamba iringa alipogundulika anao na bado unaendelea kututafuna.MUNGU ATUNUSURU TU.
Umeona Eeeeee mbuzi na kukuyani kama navyowaza kichwani kwangu mkuu condom ndo silaha yangu naitumia vyema.
Twende tukapime basi tena mara 3Acheni ngono zembe na mkiweza msubiri,Mi sasa hivi nshaamua sidate na mwanaume hadi tukapime..Maana kuna watu nliwahi kuambiwa wameathirika sikuamini..Sasa ntajuaje kwa mtu wa kukutana nae njiani??