Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Naamini kwa sasa watu wapo makini sana na hii kituwatu
Watu wanajilinda sana na Kuna Matumizi makubwa ya kondomu, na wana vipimo mpaka nyumbani vya ukimwi,Naamini kwa sasa watu wapo makini sana na hii kitu
vijijin ndo Kuna Hali mbaya sababu kule ngono zembe nyingi