UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

Ila kitimoto ikikaushwa vizuri haina mazara baana...
Kwingine kote umeongea point ila hapo kwenye kitimoto ndio sijakuelewa kabisa
 
Ukimwi is no longer a threat unapotosha sana, magonjwa Kama kansa, moyo, na kisukari ni threat kubwa

Ukimwi mtu akitii masharti ya kunywa dawa kila siku anaishi Kama mtu wa kawaida

Urbanization is not a threat but massive opportunity ya kuongeza wealth japokua inachangamoto yake
Kuna watu walipata ukimwi miaka zaidi ya 30 lkn hadi leo hii wapo wanadunda tu
 
Mada za mihemko bwana, we kula ulale bwana, kwani hii dunia ni ya nani?? Mpaka uanze kuwaonea watu huruma na ukimwi, au nguruwe,?? Kausha fanya maisha yako uzeeke na utakufa acha umbea
Kiukweli niko upande wako mambo mengi aliyoyaongelea ni personal sana nakila kitu hapo kilianza mda sana hamna jipya angeita mawaidha tu kama ni urbanization ilianza tokea kitambo wazee wetu walipewa nauli tu na wazazi wao kwenda mjini kutafuta mambo ya mtu anakunywa nini na kula nini ndo kabisa umalaya sio jambo lakushangaaa hata hamna jipya ndoa kilichofanya wazee wetu wadumu kwenye ndoa ni uvumilivu tu ila michezo ya njee kama kawa bi fatma apunguze munkari na aache kumfokea raisi wetu
 
sasa we jamaa unakula raha gani duniani au unasubiri za akhera
 
Idea ya urbanization has ACTUALLY proven to be a good idea. It seems kuna watu bado wapo wmaekariri mitaala ya karne 2 zilizopita.
 
Umemwaga nondo Sana but hapo kwenye kitimoto ni suala mtambuka Sana cause Kuna watu wataona kuwa umewalenga wao kwasababu hicho kitoweo kime base zaidi katika issue za kiimani
 
Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them. Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all of them as he does kwa halmashauri. Let me give you a tip. CAG officers pia wanahongwa na hizi public institutions. CIAs wanawaogopa CEOs. The problem starts here. If you appoint a CEO today, give him/her a year. You're likely to produce a billionaire. A public institution is very sweet. Whether it's ngorongoro or university of Dar or IFM. Start there and you will be suprised. Hii ni mada ya siku nyingine. Today, I am suggesting something else.

1. Kuna possibility kubwa ukimwi Tanzania umejaa. Sisi tulio ndani ya ndoa I think it's no longer a secret. Husbands don't care. They compete on the number of sidechicks. Wives have become "civilized harlots". I repeat, ni ndoa chache ambazo kuna uaminifu. Secondary kids and university community members understand this. Most of them are positive. They sleep with husbands. Makazini na biashara sex has become a "public good". If you talk to doctors, wagonjwa ambao hawajaanza dawa na walioanza dawa ni wengi sana. People don't care. We don't at all. Kwahiyo tunatembea na ukimwi kwenye miili yetu. Siyo sheikh wala pastor wala bishop aliye salama. I don't want to talk about politicians. They are in bad conditions. Covid imetuamsha. Wagonjwa wengi wa ukimwi wameondoka. Wengi wataondoka ghalfa kwa sababu ya dawa zinaficha mengi. I thought kijijini hawana ukimwi. Lo!wanakufa sana. Tusipokuwa makini taifa letu litakosa viongozi was Leo na kesho ambao ni smart. This is a future threat on our national security.
2. Pombe inanyweka sana. Our baby brothers and sisters who spend their lives in liquor are in danger of ruining their future. Husbands have misdirected our families. Pombe inaingiza tax revenues but is a source of underlying health conditions ambazo slowly they kill our briliiant leaders bila kujua. Wataisha kwa magonjwa. Where shall we get smart leaders? Sadly, smart politicians afya zao wengi zimeharibiwa na alcohol. They are dying. Youth are perishing.

3. Kitimoto. Talk to doctors na watakueleza kuwa cancer na magonjwa ya moyo mengi yanakuwa driven na hiki kitu. Mwenzi wangu hatumii pombe wala kitimoto. Probably atasogeza siku na kupunguza magonjwa. Smart people wakiisha, we will be led by an automatic option. Hii ni threat to our future.

4. Urbanization. So far ule uzalishaji wa kijijiji haupo tena. Young boys have moved to town kwenye bodaboda. Miundombinu are in bad shape. We don't produce. We are in town to sell industrial juice na kubet. This is a timed bomb for our national security. We need to bring them back to village through friendly environment.
kijana kuwa makini na starehe za watu, wee ambaye huli kitimoto ndo utaenda mbinguni au ndo utaishi milele?, tena...
ukome sikuingine unapo andika haya jaribu kushirikisha kichwa na mkono na sio makalio na mkono.
 
Mkuu mbona unaongea kwa hisia kali Sana,

Sema tuh jamaa kagusa angle mbaya ola amesema ukweliii...

Mitungii,mikasiii na misosiii...

Na hiyo ndiyo raha ya duniaa,gusa unasee.
Hamna mzee, ila tusifanye ngono wakat hata mwenye ndoa hajui uhakika wake, mimi nasemaga mtu akipata ukimwi usimlaumu sana kabla ya kujua kaupata vp, pombe nakunywa na ndio maisha yangu....na kitimoto safi once per week, yeye afanye anayojua aishi milele, JPM hatunae tena ila Mwenyezi Mungu alimuhitaji na wakati ulifika, sasa sisi ni nani tuanze pangina cha kufanya...??


Kuna kitu sikupendi,watu wamekua wanampangia Raisi vitu vya kufanya ambacho ni ujinga na wanakosea?? Mbona Magu hawakua wanampangia???
 
. Kitimoto. Talk to doctors na watakueleza kuwa cancer na magonjwa ya moyo mengi yanakuwa driven na hiki kitu. Mwenzi wangu hatumii pombe wala kitimoto. Probably atasogeza siku na kupunguza magonjwa. Smart people wakiisha, we will be led by an automatic option. Hii ni threat to our future
Wacha tufe tu hayakuhusi! Wataka tuishi daima kwani dunia nibyetu
 
kijana kuwa makini na starehe za watu, wee ambaye huli kitimoto ndo utaenda mbinguni au ndo utaishi milele?, tena...
ukome sikuingine unapo andika haya jaribu kushirikisha kichwa na mkono na sio makalio na mkono.
Nimegonga LIKE
 
Back
Top Bottom