Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle!

Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
Hahahaa.......hela imekuwa ngumu sana.

Wanaume mnalalamika sana
 
Kila baada ya week unaweza kumpa mwanamke kiwango hiko😁😁
Bado ni kawaida ,inamaanisha hapo kwa siku ni Tsh elfu 45 .

Ni pesa ya kawaida kwa mtu anayeishi maisha ya kati .

Na kwa maisha ya sasa yalivyopanda hicho bado ni kiasi kidogo mno , inamaanisha hapo kwa mwezi unaishi kwa gharama chini ya milioni 2

Hapo chakula cha wewe na watoto,bado umeme ,bado pesa ya mafuta /nauli , bado pesa ya matumizi mengine madogo madogo , bado pesa ya emergence, bado pesa ya vinywaji kama wewe ni mnywaji,

Kwa kifupi hiyo pesa madafu.
 
Bado ni kawaida ,inamaanisha hapo kwa siku ni Tsh elfu 45 .

Ni pesa ya kawaida kwa mtu anayeishi maisha ya kati .

Hapo chakula cha wewe na watoto,bado umeme ,bado pesa ya mafuta /nauli , bado pesa ya matumizi mengine madogo madogo , bado pesa ya emergence, bado pesa ya vinywaji kama wewe ni mnywaji,

Kwa kifupi hiyo pesa madafu.
Kila kitu ndani kipo pesa sijaiguza kwenye account mpaka imefikia kiwango hiki usilazimishe maisha yako unayoishi yaamie kwangu mkuu😁
 
Ukiombwa kabla ya kula mbususu ujue hutakiwi unafukuzwa kijanja. ikitokea hukukimbia na ukatoa basi unaonekana kibopa na utaanza kupendwa.

Ila wakikupenda hata nauli huombwi unaletewa kipochi manyoa mpaka kitandani. Tatizo wa kukupenda siku hizi hakuna. Wote wamebadilisha vipochi manyoya vyao kuwa vitega uchumi.
 
Mh wakuu tujitahidi kuwa wakweli tusikwazike na hizo stori zao ni kawaida.... Sikukuu nilikua home kuna mwanamke nilivutiwa nae basi nikachukua namba tukakutana jioni nikafunguka akakubali ila mtiti ikawa kuja kunyanduliwa

basi sikutaka kumfosi nikimcheki akiniambia yuko busy napotezea mpaka kesho yake tumeenda hvo kama wiki nzima basi nikamwambia ukweli anachofanya ni bora aniambie hataki kuliko ahadi feki....
anajichekesha hapo inaisha anaahidi tena basi nikaona nipige kimya baada ya mwaka mpya kaniomba buku jero nikamtumia akaendelea kuwa kimya nikavunga....
Sasa akaja kuni heki na stori ya kwba anamgonjaa yupo kcmc ni shangazi yake nikampa pole akaniambia nakuja siku fulani hiyo siku ikapita na mimi kimyaa simtafuti maana najua ashakua muongo tutakwazana tu naye akawa kastuka kwamba mbona simcheki au nshasepa akaniuliza jioni moja upo nikamjibu ndio akasema nakuja leo nataka nikuone nikamwambia sawa na hiyo siku ikawa uongo basi nikajisemea haikua bahati yangu kunyanduana nae napotezea tu.

Ili ujue madem hawana aibu au wanahisi tunawashobokea kwakua wana hako ka k basi akanicheki akaniomba elfu sita madai ni nauli ya kurudi na mimi sikumnyima nikamsubirisha tu mpka usiku nikamtumia kesho yake akarudi nikamuona barabarani Na sikumwambia lolote japo hakusema kafika au la sasa nikaona nimuage kwamba naondoka hivi karibuni akaniambia leo tuonane nikajua ndio yale yale nikakubali ila kichwani najisemea akija nakula asipokuja hivyo vi hela ni sadaka kwake.

Jioni akanipa ga tukakutana sehem akatoa show nilipomaliza nikamrudisha kwao nikala buyu akaanza kuniomba tena shangazi kazidiwa anahitajika kurudi hospitali nikamwambia naweza changia kidogo ila sio leo wala kesho subiri basi mpka leo anaulizia vipi ile hela nabaki nacheka sana naahisi now ni zamu yangu kumletea miyeyusho na ahadi feki....

Ila tusikwazike na tabia zao cha msingi kama kipo mpe kama huna mwambie ukweli sina usitoe ahadi labda kama unalipiza kisasi kwa alichofanya
 
Sawa.

Ila kwa mwanamke mwenye viwango hiyo pesa ndogo sana.

Ila kwa mwanamke wa uswahilini hiyo ni bonge la pesa.
Mimi situmii pesa kwa starehe mkuu kwa kuwa bado nina malengo nayo ya kuongeza idadi ya nyumba mjini wewe unanipangia matumizi ya kitoto kuwa kwanza😁😁😁
 
Back
Top Bottom