Ukiipata LIKE ya mtu huyu niambie!!!!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Ni aje wana jamvi,najua katika mambo ambayo member anaweza kuyafanya hapa jamvini ni pamoja na kuanzisha thread,kuchangia/ku comment kwenye thread flani, kugonga LIKE kama umekuwa impressed na mchango wa member flani kwenye thread flani, kuna member mmoja rafiki yangu sana sijawahi ona amemgongea LIKE mtu yeyote. Rutashobolwa, upooooo!!!!!!!! (Kiroho safii!!!)
 
Ukiona ivo jua anatumia simu maana jf mobile hainaga iyo makitu mi mwenyewe apa
Niko mobile na valuer pembeni

Inawezekana ikawa ndo sababu,jamaa amepewa ma like zaidi ya miatatu,hajatoa hata nusu like,admins/Mods walifanyie kazi hili,mi mwenyewe nikitaka ku LIKE nalazimika kwenda kwenye desktop version ila inalamba mkwanja balaa,waweke na kitufe cha DISLIKE
 
Kwani hujiungagi na kifurushi cha tiGO mkuu?
 
Inawezekana ikawa ndo sababu,jamaa amepewa ma like zaidi ya miatatu,hajatoa hata nusu like,admins/Mods walifanyie kazi hili,mi mwenyewe nikitaka ku LIKE nalazimika kwenda kwenye desktop version ila inalamba mkwanja balaa,waweke na kitufe cha DISLIKE

upo sawa kabisa baba v.
 
Ukiona ivo jua anatumia simu maana jf mobile hainaga iyo makitu mi mwenyewe apa
Niko mobile na valuer pembeni

hyo co sababu mkuu, kwan ukiwa na cm unaweza kutumia jf ikiwa kwny desktop. issue ya mkwanja jiunge na vifurush vya mwez. mf. me hujiunga na bundlle za airtel ni 2500 kwa mwez ya its very cheap. mwezi huwa unaisha lakn bdo ninakuwa na mb nyng tu. na huwa zinaliwa. nikiwekewa 400mb kwa mwez, ikifika mwisho wa mwez najîkuta nimebakiza 380mb afu zinapotea bure
 
unatumia browers gan coz opera ipo slow.
 
Ukiona ivo jua anatumia simu maana jf mobile hainaga iyo makitu mi mwenyewe apa
Niko mobile na valuer pembeni

Si nasikia hiyo ina-boost kinadada..........Halafu mambo gani ya kutaja vinywaji digitali asubuhi hii, wengine mate yashaanza kucheza
 
inawezekana ikawa ndo sababu,jamaa amepewa ma like zaidi ya miatatu,hajatoa hata nusu like,admins/mods walifanyie kazi hili,mi mwenyewe nikitaka ku like nalazimika kwenda kwenye desktop version ila inalamba mkwanja balaa,waweke na kitufe cha dislike

umenena vyema! Matatizo mengine ni inachelewa kufunguka, inausumbufu wa kuscroll kila unapogonga "like" mf. Umefungua thread na unataka ku-like comment ya chini kabisa. Process ya ku-like ikikamilika unakazi mpya kuscroll!
 
hyo co sababu mkuu, kwan ukiwa na cm unaweza kutumia jf ikiwa kwny desktop. issue ya mkwanja jiunge na vifurush vya mwez. mf. me hujiunga na bundlle za airtel ni 2500 kwa mwez ya its very cheap. mwezi huwa unaisha lakn bdo ninakuwa na mb nyng tu. na huwa zinaliwa. nikiwekewa 400mb kwa mwez, ikifika mwisho wa mwez najîkuta nimebakiza 380mb afu zinapotea bure

Sa shost unahis kila mtu ana airtel wengne ndo vile tena kituu cha vibajaji na mgongo wachura na hawa power to u sikuhz wez tuu hakuna ya mwez wamenkera ndo mana mimi sijawah like hata siku moja
 
Mada hii hipo mahakamani haitakiwi kujadiliwa
Naomba msamaha kwa hilo na like zitaanza kumiminika.
 
Ukiona ivo jua anatumia simu maana jf mobile hainaga iyo makitu mi mwenyewe apa
Niko mobile na valuer pembeni

Kiongozi Kaizer nashkuru umenijibia na mimi coz recently nami nilianzishiwa Srade due same issue!
Basi twaomba tueleweke kutokutoa like iko nje yetu!
Labda watupelekee message kwa Mods watuwekee hiyo service .
 
Sa shost unahis kila mtu ana airtel wengne ndo vile tena kituu cha vibajaji na mgongo wachura na hawa power to u sikuhz wez tuu hakuna ya mwez wamenkera ndo mana mimi sijawah like hata siku moja

mh,me najimwaya mwaya hapa na airtel . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom