Sijasema peponi wala mbinguni ila dimension nyingine unaweza kuita unavyoweza ila dimension zaidi ya hizi zipo hivyo labda kuna viumbe wanazaliwa hivyo au ni transition ya mtu, unatoka tumboni unakuja dunia je ni wapi unaenda tena, maana kama kuzaliwa sio mwisho wa kiumbe hatuwezi kusema kufa ndio mwishoUkifa umepotea mazima. Hakuna peponi wala mbinguni.
Nimezungumzia conciousness, hata mbuzi anayo lakini ya kiwango cha chini nayo inatokana na roho.Je, vipi kuhusu viumbe wengine, mfano, mbuzi.
Ni sawa ila kitu kama unajua ni ufahamu wako tu ni vyema kutumia neno "nahisi" sio kusema direct kama ndio factNafahamu kwamba binadamu ni nyama na mifupa. Huu ni ufahamu wangu, sio lazima uwe wa kila mtu.
Kile kinachokufanya uwe wewe (internal observer)Elezea kwanza nafsi ni nini, ndipo tuendelee.
Kuzaliwa ni mwanzo kufa ni kikomo 😎.Sijasema peponi wala mbinguni ila dimension nyingine unaweza kuita unavyoweza ila dimension zaidi ya hizi zipo hivyo labda kuna viumbe wanazaliwa hivyo au ni transition ya mtu, unatoka tumboni unakuja dunia je ni wapi unaenda tena, maana kama kuzaliwa sio mwisho wa kiumbe hatuwezi kusema kufa ndio mwisho
Mbuzi akifa anakwenda wapi? Maana naye ana-consciousness.Nimezungumzia conciousness, hata mbuzi anayo lakini ya kiwango cha chini nayo inatokana na roho.
Ni sawa ila kitu kama unajua ni ufahamu wako tu ni vyema kutumia neno "nahisi" sio kusema direct kama ndio fact
Nafsi inazima kabisa. Ukitaka kujua mfano wake hebu lala usingizi mzito uone kama utakuwa na utambuzi wowote.Kile kinachokufanya uwe wewe (internal observer)
Haunijibu kwa mantiki Mkuu, zaidi ya kuniletea vistori tu.Nafsi inazima kabisa. Ukitaka kujua mfano wake hebu lala usingizi mzito uone kama utakuwa na utambuzi wowote.
Ninauhakika kwa 100% kwa sababu nafsi yangu inazima pale ninapokuwa kwenye usingizi mzito.Haunijibu kwa mantiki Mkuu, zaidi ya kuniletea vistori tu.
Nimekuuliza hivi una uhakika gani 100% kuwa nafsi huwa inazima? Hapa nataka unipe experience iliyo hai.
Huo uhakika umeutoa wapi?
Umefahamu vipi huwa inazima ukiwa kwenye usingizi mzito?Ninauhakika kwa 100% kwa sababu nafsi yangu inazima pale ninapokuwa kwenye usingizi mzito.
Nadhani sasa umeelewa.
Nimeona mara nyingi watu hutumia kigezo mbona hakuna aliyerudi kuja kutuambia, je kama hakuna njia ya kurudi kutoka huko alipo, mfano kuna mtu aliyerudi tumboni ? Je na sperm na ovaries wakisema kuzaliwa ndio mwisho wa maishaKuzaliwa ni mwanzo kufa ni kikomo 😎.
Kwa kushindwa kujitambua/kujua kinachoendelea nikiwa katika usingizi mzito.Umefahamu vipi huwa inazima ukiwa kwenye usingizi mzito?
Mtu anarudi kutoka wapi kwa mfano.Nimeona mara nyingi watu hutumia kigezo mbona hakuna aliyerudi kuja kutuambia, je kama hakuna njia ya kurudi kutoka huko alipo, mfano kuna mtu aliyerudi tumboni ? Je na sperm na ovaries wakisema kuzaliwa ndio mwisho wa maisha
Sasa utakuwaje na uhakika kuwa uko sahihi ili hali kinachotokea wakati huo huna utambuzi nacho?Kwa kushindwa kujitambua/kujua kinachoendelea nikiwa katika usingizi mzito.
Kwani wewe si umesema nafsi ni internal observer?Sasa utakuwaje na uhakika kuwa uko sahihi ili hali kinachotokea wakati huo huna utambuzi nacho?
Ndiyo, swali ni uhakika gani ulio nao kuwa internal observer huwa inazima kabisa?Kwani wewe si umesema nafsi ni internal observer?
It is what it is.Ukifa hutatamani tena kuishi duniani.
Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea.
Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa.
Ni hayo tu!