secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,616
- 50,121
- Thread starter
-
- #61
Ninauhakika mkubwa sana kwani naona viumbe hai wakifa Kila kukicha na hawarudi tena.Bado haujaelewa mantiki ya swali langu naona.
Ninachotaka kufahamu ni uhakika gani ulio nao juu ya hiki ulicho kisema?
Kwa sababu umeongea ukiwa na uhakika sana, nahitaji tu kufahamu je una experience ya hiki ulicho sema?
Je una mtu yoyote labda aliyewahi kuwa marehemu then akawa hai akakudokeza haya?
Shetani hathibitiki kisayansi mkuu.Watu ambao hawajui chemistry ukiwaambia kuna hydrogen na oksijeni watakuambia huo ni uongo wa wanasayansi lakini wanasayansi wanajua kuwa vitu hivi vipo.
unahisi binadamu ni nyama na mifupa tuHauwi kitu chochote, unakuwa hakuna/haupo. Funza wanamalizia nyama zako na vifupa wanakula mchwa. 😊
Unaona wakifa kila kukicha ?Ninauhakika mkubwa sana kwani naona viumbe hai wakifa Kila kukicha na hawarudi tena.
Nilisema mwanzani kuna sayansi ya kiroho, ni muhimu kuijua sayansi hii na ni ya ajabu sana.Shetani hathibitiki kisayansi mkuu.
Yeah, ninawaona Kila kukicha, miti inakatwa, wadudi wanakufa, wanyama wanakufa, nk.Unaona wakifa kila kukicha ?
Una uhakika gani huwa hawarudi tena?
Unawezaje kujigawa duniani kote mpaka kuwa na uhakika wa kuwa huwa hawarudi tena?
Tafsiri ya neno kifo kwako ni ipi?Yeah, ninawaona Kila kukicha, miti inakatwa, wadudi wanakufa, wanyama wanakufa, nk.
Kwa mfano, mbwa wangu alikufa mwaka 2007 nikamzika, mwaka 2024 nilipafukua pale nilipomzika nikakuta mifupa yake, hii inadhihirisha kuwa tangu alipokufa bado hajarudi katika hali ya uhai.
Sina haja ya kuzinguka Dunia nzima wakati mabaki ya viumbe wanaokufa viko maeneo ninakoishi.
Hebu nifundishe hiyo sayansi ya roho japo kidogo.Nilisema mwanzani kuna sayansi ya kiroho, ni muhimu kuijua sayansi hii na ni ya ajabu sana.
Kijana age ya miaka 26 tayari ana watoto watatu kila mtoto na mama yake, ukitoa ujinga na umaskini, hii nchi janga lingine la taifa ni Nyege.Mm siku Nikifa ntalia sana huko kaburini 😭
Kifo ni mwisho wa shughuli za kibayolojia za mwili (moyo kusimama, ubongo kuacha kufanya kazi).Tafsiri ya neno kifo kwako ni ipi?
Jambo lolote usilolijua ni kama vile halipo. Hata sayansi ya kawaida kuna sehemu kubwa ya mambo hufanyika huku wanasayansi hawajawahi kuona wanachojihusisha nacho. Mfano wanasayansi wanajua sana kuhusu uwepo wa electrons ambazo hata kwa kutumia darubini hazionekani, lakini wanasayansi wanaweza ku-calculate speed ya electron na idadi yake katika atom fulani e.g. Helium atom, n.k.Hebu nifundishe hiyo sayansi ya roho japo kidogo.
Ila haisemi kama ndio mwisho wa ufahamu, na mwanadamu ni ufahamu pia hivyo huenda ufahamu ndio unao endelea kuishiKifo ni mwisho wa shughuli za kibayolojia za mwili (moyo kusimama, ubongo kuacha kufanya kazi).
Ukifa umepotea mazima. Hakuna peponi wala mbinguni.Jibu langu ni sijui, sijui kama ukifa ndo mwisho wa kila kitu sababu kama binadamu ni nishati na nishati haiwezi haribika bali ina badili asili hivyo huenda kufa ndio sababu ya nishati kubadili asili na kuwa kitu kingine au huenda inaenda kwenye dimension nyingine
Pia sijui huenda kufa kweli ni mwisho wa kila kitu sababu hakuna ushahidi wa maisha baada ya kifo
Unaweza kuthibitisha kuwa nafsi huwa inazima kabisa?Kifo ni mwisho wa shughuli za kibayolojia za mwili (moyo kusimama, ubongo kuacha kufanya kazi).
unahisi binadamu ni nyama na mifupa tu
Je, vipi kuhusu viumbe wengine, mfano, mbuzi.Mwanadamu ni kiumbe mwenye akili na ufahamu (conciousness), je haya yalitoka wapi? Kwa kifupi kuna uwepo usioonekana na uwepo huu ndio uwepo wa kiroho na ndio unaofanya mengine yote yawezekane.
Elezea kwanza nafsi ni nini, ndipo tuendelee.Unaweza kuthibitisha kuwa nafsi huwa inazima kabisa?
Ufahamu ni niniSihisi ndio ukweli wenyewe.
Ufahamu ni nini