Ukiachwa achika

Kuachwa kunauma sana halafu bora mtu akuambie basi kuliko ghafla tu mtu unaona anakubadilikia humuelewi

Utaumia mwanzoni sababu ya mazoea baade utasahau Mungu kaumba kusahau

Kuna maisha baada ya kuachwa au kuachana lazima yaendelee
 
Kweli kabisa
 
kama unaweza kutoka timu A na kujiunga B au C auD nk. kirahisi tu!!! Uoni kuna shida boss???
 
Hahahaaaa mzee wa vitunguu swaumu huyo usijisumbue sana
Hio ndio comment yake kwenye kila thread we mzoee tu asikupe shida.
Mimi binafsi hua nnafurahia mchango wake wa kutujazia vitunguu swaumu.

Maendeleo hayana chama
umenichekesha sanaa!!!!!?!?
 
Proper music on proper topiic,beautiful!!!!!?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…