Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,141
- 778
but very difficult to love proper againHahaha nimeshakuwa kitu kingine kabisa. My gratest break up ilinichukua almost 2 years kuweza ku move on. Bada ya ku suffer in pain.. kikazaliwa kitu kingine kabisa.
Sometimes i wonder where is the old me?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hio na wewe umechekelea vitunguu swaumu?umenichekesha sanaa!!!!!?!?
assume ungekuwa very successful ingekuwa hivyo??????Anadai sababu ya kabila langu. Tofauti.
Yaani kabila langu hawalitaki ndio maana eti wamenikataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamata fursa hiyo wewe, japo naona jamaako akirudi na kapu la sorrrrry.......x1000...nawe ukiregea!!!I need a time to heal for now
very true!!!Wataalamu wa Mambo wanasemaga eti:
Ukiona mapenzi hayakuumizi tena. Na ni rahisi kwako kuachana na huyu na kuanza mahusiano mapya bila kuumia...Ujue una sifa zote za mtu malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
I know my choices.Proper music on proper topiic,beautiful!!!!!?!
sema tunaumiza sana watoto bossSiku hizi tunawaachia wake zetu nyumba, hatutaki matatizo. Tena tunakuambia kabisa, kaa lea watoto hapa. Sisi ndio tunaondoka na kuanza life somwhr else.
my friend love ni zaidi ya pesa papa!!?!!Kuachwa kunauma kama ulizoea dezo na kupewa pewa vizawadi na pesa,hapo ukiachwa lazima lazima akili iyumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole dear, this too shall pass.Hata mimi niko hivyo lakini kwa sasa niko kwenye zile siku tatu za deep wound. Baada ya hapo tatizo akitaka tuongee moyo wangu utakuwa unajihami kwa maumivu
Hilo baya sana chief ni wanaume wengi hatuelewi kuwa anaeathirika ni mtotosema tunaumiza sana watoto boss
Acha kumtesa mwenzioSikujua kama umeumia hivi. Moyo umeniuma sana. Nimebadili mawazo... jioni nakuandalia juice ya ukwaju.
Ni kweli kiongozi, lakini ni heri kupeana nafasi kuliko kufikia hatua watu kuuana, kuwekeana sumu kwenye chakula nk. Mwisho wa siku muathirika mkuu ni mtoto.sema tunaumiza sana watoto boss
Mbona hili silijui?Pole dadangu mzuri, mie mezoea kuwa singo sasa!
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa barara, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.
Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu zake katika maamuzi hayo.
Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena.
ulivyomtosa akaumia akawa anatafuta taratibu alivyopata akaona iwe zamu yako kuumia!Duh mambo ya kuachana haya yanaumiza muda mwingine. Nilikuwa na mwanamke wangu aisee sikumpenda sana ila nilichoka nae sasa kila nikimuacha analia ananibembeleza namrudia nikanogewa nikamzoea sasa kuna siku akaniudhi nikakasirika sana nikamtamkia bora mapenzi yaishe kila mtu aishi kivyake sasa, yule bint alinijibu sawa kama umeamua hivyo.. Daah ikapita siku tatu mwanamke kakaza wiki kakaza mnh nilikosa raha mimi nilieacha aisee kila nikimuingia labda aniombe msamaha lakini wapi hana time mikausho dadeki ikapita mwezi miezi mwaka miaka mpaka sasa sijui yuko wapi pumbavu zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri umelijua sasa jamani!Mbona hili silijui?
..kwa hiyo umeniacha na sasa upo single? ..but why?Nafikiri umelijua sasa jamani!