Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,645
- 104,438
Jinga Sana Wewe, utasubiri Sana
Kaka nini shida, mbona jazba? Ama vijana wametaja kitengo chako? Ukifukuzwa kazi unaogopa nini? Si utakuja kwenye hizi fursa tunazoambiwa na watu mlioko maofisini?