Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kuhusu OSHA anza na wewe mwenyewe hapo kazini kwako.
1: Je, umeshawahi kufanyiwa medical check up?
2: Je, wafanyakazi wanaoacha kzi wanafanyiwa exit medical chek up?
3: Je, kuna fire extinguisher hapo kazini kwenu?
4: Je, kuna emergency assembly point hapo kazini kwenu?
5: Je, kuna Health Committee hapo kazini kwenu?

Kuhusu barabarani.
1: Je, dereva anapozidisha abiria na wanasimama wengi, ulishawahi kushughuliki ahili tatizo?
2: Je, magari ambayo hayana mikanda (safety belt) ulishawahi kushughuliki hilo tatizo?
3: Je dereva anapozidisha mwendo, ulishawahi kukemea au abiria wenzako walikushangaa
 
Back
Top Bottom