dir good beatus
Member
- Jun 26, 2015
- 55
- 61
Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho.
Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao.
Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa za matatizo ya kimwili na Kiroho.
Kwakua mkoloni hakutaka kabisa, tuwe kama tulivyo katika nyanja zote za kijamii. Ikiwemo utabibu wa Kiroho na kimwili. Basi akaweka sheria ya kuviwekea vizuizi.
Kuna nguvu kubwa katika meno ya tembo, ngozi za chui simba punda mlia, miba ya nungu nungu, mawe ya thamani kama dhahabu.
Lkin vyote hvi ukakatazwa kuvimiliki na kuvitumia.
Labda mkoloni alitaka kutupora nguvu zetu za asili...kwa kututenganisha na asili. Lakini pia labda na yeye aliona nguvu iliopo ndan ya vitu hivyo, ndio maana akataka avimiliki yeye tu.