Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,368
- 8,404
Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki
mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai
kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa
Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi polepole
mkimuachia mtaona Tanzania itakavyopona nawaomba msifuanye mioyo yenu kuwa migumu
Siwapangii wala kuwaamru lkn mjaze hekima juu ya hili
asanteni Mungu awabariki km mtatii sauti ya Mungu