Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Hahahahaha...jiwe limewapata wahusika gizani...

Mie nasubiri tuu zitakapoanza mbio za uchaguzi tutasikia makubwa zaidi ya hayoo...
 
Bado sijajua kama shida ni hizi social networks au nini watu wanakuwa na post za kitoto sana kuna mambo wazee wanazungumza vitu vya kijinga Kabisa. Hii post imekaa Ki udaku udaku hata Kama Una bifu na mtu jitahidi kulinda status

Nani alikwambia kuwa ktk bifu kuna kulinda status? Ikiwa ni suala la kulinda status, basi hilo si bifu tena!
 
It means dont give up.

Kuna profesor mmoja alinifundisha, yeye alianzia certificate, akaja diploma, akapiga degree, akaenda masters, kapiga PhD na sasa hv ni profesor mkubwa tu pale S.U.A na anafanya vizuri katika taaluma yake na nje ya taaluma yake hamna mfano.

Dont give up.
 
Kwa umri na heshima yake kama ana uhakika aitendee haki busara yake!!!!

unataka kusema nn?wewe unaweza kumfurahia mtu anaerudisha ndoto zako za kimaisha nyuma.au kukunyima opportunity za maisha na kukudharau?
 
Nani alikwambia kuwa ktk bifu kuna kulinda status? Ikiwa ni suala la kulinda status, basi hilo si bifu tena!

Afadhali mkuu umeweka wazi,wambie!inapokuja vita adui anapigwa na silaha yoyote.adui anatumia mshale,wewe ukitumia bunduki kuna ubaya?
 
Bora mengi anakula hela zake sio wakina muhongo, rostam, manji, kikwete, rizdhiwan wanaoiba hela za watanzania, wezi hao
 
Hapo Mzee Mengi sijamwelewa kabisa.Kuna watu wenye akili miaka hiyo lakini nafasi za sekondari zilikuwa chache.Hivyo si sahihi lulinganisha kukosa nafasi ya sekondari na uprofesa

Fanya utafiti kwanza,upo uhusiano mkubwa sana wa mfumo wa maisha ya mtu na njia alizopitia.Fatilia MULUGO,MUHONGO na hata MAGHEMBE.hivi wewe unaona sawa kwa waziri kusema kua watanzania wanaweza biashara za kukamua juice na sio gesi na mafuta?
 
Hil zee kama la kike vile

Sasa kama wewe umejiona kuwa una akili na uwezo wa kuuza juice,tulia.waache wenye akili na uwezo wa kufanya biashara ya vitalu wafanye yao.we amka asubuhi washa ITV,EATV,radio 1,capital,kunywa maji safi ya kilimanjaro na uangalie vipindi,burudani,habari murua kutoka ITV !ila havikujileta vyenyewe.kuna mtu aliumiza akili na jasho likatoka.wewe angalia BUREEEEEEEEEE!
 
Huyu mzee Mengi mimi namkubali sana,haiwezekani mtu akaja kuwadharau watanzania na kuwanyima opportunities halafu wote tukachekelea na kupiga makofi,hiyo iishie huko huko wanakopigia makofi watu ovyo ovyo.HUKU MTAANI TUNAMPIGIA MAKOFI MTU ANAELETA OPPORTUNITIES KWA WATANZANIA.Hii nchi itajengwa na watanzania sio wageni.kuna wengine wamechimba migodi walivyoona yamebaki mashimo marefu wamebadilisha majina ya kampuni zao na sasa wanatangaza kila siku kwenye tv kuwatakia watz heri ya mwaka mpya,yote hayo tunayaona na tunaumia mioyoni.
 
Fanya utafiti kwanza,upo uhusiano mkubwa sana wa mfumo wa maisha ya mtu na njia alizopitia.Fatilia MULUGO,MUHONGO na hata MAGHEMBE.hivi wewe unaona sawa kwa waziri kusema kua watanzania wanaweza biashara za kukamua juice na sio gesi na mafuta?

Utafiti ulisha fanyika ndio maana wakaanzisha sekondari za kata.Vijana wengi walikuwa na ufaulu mzuri, but hapakuwa na sekondari za kutosheleza,hivyo wakawa wanachukuliwa walio na distinction.Suala la Mengi na Muongo lichukuliwe kwa uhalisi wake.Muhongo alikosea sana kusema Watanzania uwezo wao ni kutengeneza juice.Hilo ni kosa kubwa lililostahili kupigwa chini.Kwakuwa serikali yenyewe legelege,wamebaki wanashangaa hawajui la kufanya
 
mzee mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.
kama mamayako alikosea timing waachie wenyenyita aka nyita zao wale bata mpwa
 

Attachments

  • IMG_10848023700896.jpeg
    IMG_10848023700896.jpeg
    11.8 KB · Views: 295
kama mamayako alikosea timing waachie wenyenyita aka nyita zao wale bata mpwa

Wewe mamayako alipata timing ya kuto.bwa na mengi?au wewe binafsi unato.mbwa na mengi?
 
huu ni ujinga sasa Vijembe vya kipumbavu.wapo wengi waliofail name saiz ni watu waliofanikiwa
 
Mkuu haya ya kurudia hayashangazi kipindi kile,darasa lote mwalimu ndo mwenye kitabu,,watu wamerudia Sana wapate hata ualimu,walipopata ualimu wamejiendeleza wameenda mpaka vyuo,watu wamefight Sana na wengine kurudia shule tofauti zaidi ya Mara nne,haishangazi kwa enzi kama za mhongo kurudia shule ya msingi,maana secondary zilikuwa za kuhesabika kiwilaya,Wakifaulu watatu darasa moja wamejitahidi,leo hii darasa ina wanafunzi kama 100 wanachaguliwa kama 60 shule za sec zipo kila mahali
Siyo kiwilaya tu mkuu! Shule za sekondari wakati huo zilikuwa za kuhesabu. Miaka ya akina Muhongo inaweza kuwa ni ile ya 70s, hapo unakuta mkoa mzima una shule 2 au 3 za sekondari. Kwa mfano miaka hiyo kwa mkoa kama Shinyanga tulikuwa na Shy bush (Shinyanga Sekondari) na Shycom peke yake, lakini sasa hivi ziko ngapi? Kwa Mwanza kulikuwa na Nsumba, Bwiru zote mbili, Nganza, Sengerema, Mwanza Sec sasa hivi ziko ngapi? Miaka hiyo kurudia ilikuwa sawa tu!!
 
Nadhani atakuwa muhongo au Muhongo
 

Attachments

  • Twitt ya Mengi.jpg
    Twitt ya Mengi.jpg
    25.6 KB · Views: 1,128
kulikuwa na uzi humu unasema muhongo kafeli darasa la saba mara tatu
 
naona mengi ameamua kupambana na mafisadi wazi wazi kila la heri
 
Back
Top Bottom