Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Halafu huyo mungu aliyekuwa naye wakati wote na kumsaidia ili afanikishe deal la madawa ya kulevy ni hovyo kabisa.
Hakuna lolote.....
Halafu huyo mungu aliyekuwa naye wakati wote na kumsaidia ili afanikishe deal la madawa ya kulevy ni hovyo kabisa.
I thowt the same hyu wema1 ni janga maana anasupport upuuz
Halafu huyo mungu aliyekuwa naye wakati wote na kumsaidia ili afanikishe deal la madawa ya kulevy ni hovyo kabisa.
Kweli Mungu ni wa ajabu,ona kama wauza madawa nao wanaoharibu watoto wa watu,nao wanaomba mungu waachiwe huru na wanaachiwa regardless wame cause damage ya kiasi gani,mmh kazi kweli kweli.
Watz kumezoea kuchekacheka tu na kupuuzia mambo lakini hili unalosema liko katika uwezekao kwa 96%.Maajabu engine tena, kama ile issue ya China iliiishia kwa jamaa kupewa bandari ya Bagamoyo basi hapa ujue kuna mgodi WA uranium au gesi utatutoka. Greetings from Namanyere-Nkasi
tuitor ndo nin
Shetani ndo Mungu wake, Mungu aliyeumba mbingu na nchi hawezi kumsaidia katika mambo kama hayo yakuangamiza umati wa kizazi cha kesho.Halafu huyo mungu aliyekuwa naye wakati wote na kumsaidia ili afanikishe deal la madawa ya kulevy ni hovyo kabisa.
Huyu mungu anasingiziwa mengi sana. Mhurumieni jamani.
Sembe muuze wenyewe kwa swagger zote halafu mkikamatwa hamwishi kumtaja mungu.
Inategemea ni mungu gani wanayemuomba maana kuna Mungu na mungu. Hata wachawi wanaye mungu wao ambaye huwafanikisha katika wayafanyayo mradi wametimiza maagano yao na huyo mungu wao.
Si kweli bado yuko ndani.......
Kumbe unaitwa ukurasa wa tuitor lol!!!!!!!!
Ngoja nikukuzie.......
![]()
Safi karibu bongo wenye chuki wajinyonge
Sikiliza wewe Wema Sepatu, hakuna mwenye chuki, unga auze yeye halafu chuki tuwe nazo sisi? Wewe kauzu kweli.Safi karibu bongo wenye chuki wajinyonge