Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,393
- 33,569
inabidi yaitishwe maandamano ,haiwezekani,zuma ajiuzuru.Mbona hizi habari za kuachiwa huru zilivuja siku nyingi,kwamba ile sembe waliyokamatwa nayo kwa mujibu wa mkemia mkuu wa huko ni unga tu wa ngano kwa ajili ya kutengenezea maandazi.
Kumbukeni ulikuwa ni mzigo wa bilion 6.8 hivyo haiwezekani hangekaa ndani,hapo kuna mikono ya watu wengi!Lakini ,ieleweke kuwa mtu unaweza kudanganya,ukafoji,ukaiba muda mrefu sana na miaka mingi sana lakini hautaweza kudanganya wala kufoji wala kuiba miaka yote!