Hiyo Profile Picture yake mbona ni kati ya picha zake miiiingi zilikuwaga mitandaoni kitambo sana??
Kwa nijuavyo watu wa aina ya huyo binti leo angeshaweka picha mpya kidogo aliyojipanda kidogo na vitu anavyoona ni vya kileo zaidi.
Nahisi hii Account ni fake fulani hivi.
Anyways kama ni yeye kweli basi poa aje afungua Pharmacy atulie na amuombe huyo "mungu" wake awa-rehabilitate vijana wote walotumia hizo paracetamol alizokuwaga nazo.
hii facebook ya kwakoo
nzowa asitutege bana alaaaaaaaah alienda kule kufanya nini wakati wapo waliokamatwa kule china na kwingineko why kwa Madiba,na huko kunyimwa dhamana ni changa la macho tuuuuu iyonekane sio rahisi kiivyo ila mchezo ushaakwisha yaaani kwishneiiiiii.
Hivi Huyu binti ni Mfamasia? huo unga wa ephedrine aliutoa wapi na alikua anaupeleka wapi? Hivi Bongo siku hizi kuna kiwanda cha kutengeneza unga wa ephedrine?
nashindwa kuelewa kuna tye ngapi za God in this world so confusing me aiseeee
chuki ipi wema ? are u doing ths damn busnes of kiling our brother and sisters?
you are the reason why my middle finger was made!