Ujumbe wa Masogange aliouandika ukurasa wa twitter

Ujumbe wa Masogange aliouandika ukurasa wa twitter

Home » Ent. » Agness Masogange ameachiwa kutoka kwenye mikono ya polisi huko South Africa.


Agness Masogange ameachiwa kutoka kwenye mikono ya polisi huko South Africa.

Posted by: Millard AyoSeptember 19, 2013Ent.49 views



Video model Agness Gerald maarufu kama “Agness Masogange” ambaye ililipotiwa kwamba yeye pamoja na mdogo wake wamekamatwa nchini South Africa wakiwa na mzigo wa dawa za kulevya. Habari mpya hivi sasa ni kwamba wapo nje ya mikono ya polisi wa huko South Africa. Kutoka kwenye page za facebook na instagram za Agness Masogange zinathibisha hilo.

Page hizo ambazo hazikuwa updated tangu mwezi wa saba lakini usiku wa tarehe 17/9, Agness alikuwa anaandika status za shukrani kwa kuwa huru tena. Moja ya status inasomeka, “Thanks god nimeamini wewe ulikuwa pamoja na mimi katika maombi yangu na thanks kwa wote mliokuwa mkiniombea, mungu kapokea maombi yenu”.


Status nyingine ambayo ilifuatana na hii inasomeka,”All praise and glory to the lord almighty I thank you for my freedom amen”. Hizo zote mbili zilikuwa kwenye facebook page yake. Kwenye instagram nako alipost picha yenye caption za “Thnxx god I knw u gud for me”.

Use Facebook to Comment on this Post


​8 comments



 
Last edited by a moderator:
rai mwema kuna habari hii, mwenye nalo aliweke hapa wajameni
 
Ingekuwa china ingekuwa habari ingine kabisa. Mnacheka na muuaji??????
 
Ninalaani vikali biashara ya madawa ya kulevya pamoja na wote wanaohusika nayo
 
Km kweli watz tupo serious na vita dhidi ya drug hawa wakirudi tuwachome moto hadharani
 
hivi kweli watu kama wana haki ya kuachiwa huru kabisa? daa kweli hii vita ni ngumu kabisa na bila shaka nguvu za mwakyembe zinaendelea kupotea bure?
je ameachiwa sababu ha kuna ushahidi?
je ameachiwa kwa dhamana?
je ameachiwa hili case iendelee tanzania?.

hakika nimeamini kuna watu nyuma yao. haya mambo yana kera sana na vizazi vitapona vipi kama wahusika wanaachiwa huru?
 
Kweli Mungu ni wa ajabu,ona kama wauza madawa nao wanaoharibu watoto wa watu,nao wanaomba mungu waachiwe huru na wanaachiwa regardless wame cause damage ya kiasi gani,mmh kazi kweli kweli.

Uwe na dini usiwe na dini, Miungu ipo mingi wengine tunamuabudu Mungu katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti, wengine Mungu katika jina la Mtume Muhamad wengine Mungu katika jina la nyoka, Ngo'mbe, jiwe, moto na kadhalika. Kwa hiyo kila mtu anasaidiwa na Mungu wake. Ila mimi naamini na kuona kwa macho kwamba Mungu wangu ana nguvu kuliko wote.
 
Huyu mungu anasingiziwa mengi sana. Mhurumieni jamani.

Sembe muuze wenyewe kwa swagger zote halafu mkikamatwa hamwishi kumtaja mungu.
Mkuu Kiranga mbona hivyo tena!.

Hufahamu kuwa kuna watu wengine wakiwa wanavunja Amri ya sita ya Mungu wa Wakatoliki/Walutheri/Moraviani na Amri ya saba ya Mungu wa Wayahudi/Waanglikani n.k huwa wanalitaja taja jina la Mungu sana huku wakiwa kwenye dimbwi la starehe.

On serious note:
Mungu mara nyingi huwa anatafutwa sana na kuombwa msaada na binadamu pale anapopatwa na matatizo au anafikiri atapatwa na matatizo ambayo hana mbadala ya kuyatafutia majibu.

Makanisa yanashamili sana sehemu ambayo imejaa umasikini wa akili na kimaisha. Tanzania ikiwa ni nchi mojawapo.
 
Hii ndio serekali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania. Kila kitu kinawezekana.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom