maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 958
Si nimesoma habari kwamba wamenyimwa dhamana mpaka Novemba tena? Hata akitoka lakini siri imeshafichuka na tumeshajua nyendo zake na ninadhani kwa hii itakuwa fundisho hatorudia tena kubeba sembe kupeleka nchi za nje labda sasa abadilishe biashara. Tena asithubutu kwenda china kule hawapindishi mambo hata kama wewe ni mtoto wa raisi wa dunia.
agh wapi labda kwa nchi ambayo haina gas wala makaa ya mawe ya kuhonga