Ujumbe wa Masogange aliouandika ukurasa wa twitter

Ujumbe wa Masogange aliouandika ukurasa wa twitter

tuitor ndo nin

Kizazi cha nyoka,
Mkiambiwa Twiraa mnashangilia kwa kupiga makofi kwa mapaja!

Sijui ambacho hujaelewa ni nini!

Umeniudhi nakuonaga Binamu yangu wa maana kumbe tangu upambanishwe show na JIDE naona akili imekuruka kweli we na mabinti damu damu hadi tabia!
 
Huyu mungu anasingiziwa mengi sana. Mhurumieni jamani.

Sembe muuze wenyewe kwa swagger zote halafu mkikamatwa hamwishi kumtaja mungu.

kwani kuna ubaya gani kumsingizia!??? ilhali a'EXIST
 
...hahahahhaaha...jana nilikua sehemu nikapata taarifa kama hizi..tena toka chanzo kileeee knachosemwa sanaaaa
 
Hivi Huyu binti ni Mfamasia? huo unga wa ephedrine aliutoa wapi na alikua anaupeleka wapi? Hivi Bongo siku hizi kuna kiwanda cha kutengeneza unga wa ephedrine?
 
umekosea na hutaki kusahshwa.! mimi cjawahah kupga makofi kufurahia hyo twiraa usemayo. kama unamaansha twitter hyo pia sio twitter.
Kizazi cha nyoka,
Mkiambiwa Twiraa mnashangilia kwa kupiga makofi kwa mapaja!
 
Jamani mbona yuko sawa kumshukuru mungu wake na sio Mungu....

Kumbukeni kuna "Mungu" na mungu....

Ndio maana na kwenye kutoa shukran nyingine kasisitiza kwa kidhungu "god" na sio "God"

Hivyo basi tusishangae yeye kumshukuru mungu / god......
 
hahahahahahahaaaa!! Halafu mje mniambie kuwa wakuu wa nchi hawahusiki kwenye hii kitu!
 
hii inaweza kuwa ni facebook imefunguliwa mpya haiwezekani original facebuuuk ya masogange awe na friend request wawil na notification mbili tu
 
Back
Top Bottom