Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
:happy: :happy:
ooohhhhh you missed me ??
Asante sana babu si unajua tena wajukuu (sisi) ndo taifa la leo ahahahahah lol
inabidi tutoke kido kutimiza wajibu ...
Honestly niliwa miss sana ..
I'm back now tho.. (I don't know for how long)
Dena Amsi alienda Kijijini (Haydom) kuchungulia mahindi..
Bibi anaendeleaje?? we hujambo lakini...??
Hivi nyie watu wawili mpo??? Mwali na Nyani Ngabu mwapotelea wapi?nimewamisi sana
I have a feeling NN umefichwa na Husn
Nyie watu nyie nimerudi jana toka shamba mahindi yakakauka sasa.........................
Asante my dear Mammamia hata mie niliwamisi sana wapendwa wangu.................Thanks a lot dear