Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Nisahau! ushenga nilioufanya mchezo?
Kweli ulifanyakazi kubwa dada..............
Haya sie tuko pamoja mpaka leo hakuna kumwagana........
Nisahau! ushenga nilioufanya mchezo?
safi sana. haya, na wewe unafanya yale ninayojiuliza mimi hapa https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/277679-kuendesha-nyumba-kwa-remote-control.html?Kweli ulifanyakazi kubwa dada..............
Haya sie tuko pamoja mpaka leo hakuna kumwagana........
wow! hebu funguka! maana mimi ni mgeni hapa Yerusalemuumekosea, Ungemuuliza hivi;
Mood ya Baba_Enock imesharudi au imegoma moja kwa moja?. Mia
Why afrodenzi, your message so soothing, so sweet. Ok love for love, will always love you.
Why afrodenzi, your message so soothing, so sweet. Ok love for love, will always love you.
Khaaaah duuuh!!
maisha yetu sisi wanadamu hayana tofauti kabisa na maua, leo yanachanua , kesho yamezorota![]()
![]()
Ni vema kushukuru kila tuonapo siku . maana hatujui nini kina kuja kesho.
Jaribu kutabasamu kila upitapo kwani tabasamu ni ishira ndogo tu
inayoweza kubadili mwenendo wa mtu mwingine . Kwa
ufupi nawatakia maisha mema kabisa na ninawatakia
Weekend Njema kabisa....
miezi sita imebaki tumalize mwaka .. (Scaring).
mbarikiwe sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[TABLE="class: style, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]