BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Barikiwa shosty.You've enlightened my day!! Foshizzo 2012 iko enda spidi sana!!
Karibu Karatu...
Karibu Karatu...
za miaka shem?
Haujambo dada. ulipotelea wapi.
Sijambo Mamndenyi nipo mzima kabisa.........majukumu tu ndo yananitinga mpendwa...........
Pole sana,
najua bibi alikuachia nyota yake
hivyo mambo yanakwenda barabara, kila la kheri mkuu.
Haaaaaaaaaa???????????????? We ni Sheikh Yahaya ama???
Umejuaje??? Mie ndo nilikuwa kipenzi chake chake............Mibaraka kibao.
Una kesi ya kujibu kwanini hukuja kumzika??? Mamndenyi
mimi naishi mwezi mmoja nyuma? mbona naona kama nimebakiza miezi saba? au kalenda yangu ipo nyuma?afrodenzi Umenistua and nimestuka kweli kweli...Only six month mwaka uishe..na kamkataba kanaisha ka kazi ... Duu...
Thanks kwa kunikumbusha.
mamaa Dena Amsi salama?Haaaaaaaaaa???????????????? We ni Sheikh Yahaya ama???
Umejuaje??? Mie ndo nilikuwa kipenzi chake chake............Mibaraka kibao.
Una kesi ya kujibu kwanini hukuja kumzika??? Mamndenyi
mimi naishi mwezi mmoja nyuma? mbona naona kama nimebakiza miezi saba? au kalenda yangu ipo nyuma?
oh! coolFixed Point Mie mwaka wangu unaanza mwezi wa kumi na mbili.....
oi Nadhani Utakuwa ume count Mwezi June wote(1) July wote(2) August wote(3) September Wote (4) October wote (5) November wote (6) December Wote (7) Ila Kwa Hapa AD amehesabia june kwa ujumla ndio mwezi wa katikati ya Mwaka hata mimi ndio niaminivyo... Ukisema umekula Wali haijalishi umekula vijiko viwili au hamsini...mimi naishi mwezi mmoja nyuma? mbona naona kama nimebakiza miezi saba? au kalenda yangu ipo nyuma?
long live this relationship!Fixed Point... Acha uchokozi... Tupo pamoja daima dumu....
long live this relationship!
Nisahau! ushenga nilioufanya mchezo?Mweeeehhh husahau tuuuuu FP bana.............
Hakuna kumwagana hapo............................