Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Yaani dada me nakuambia ukweli,wapo wenye unafuu tu. Kumbuka hata watu waliokuwa wameaminiwa na Mungu nao walichepuka. Kwenye biblia ibrahimu alichepuka,mfalme Daud hadi aliua ili amuoe mchepuko,mfalme suleimani ndo alivunja record kwa kuoa wake halali 700 na michepuko 300. Huenda Mungu mwenyewe anaruhusu tuchepuke sema sisi tu ndo tunawaogopa nyie. Lkn nadhani Mungu hana tatizo na wanaume kuhusu hilo.
Mkuu hivi dhambi ikifanywa na mtumishi wa Mungu maana yake ndo Mungu amaeiruhusu? Hivi unajua nini kuliwakuta hao baada ya kufanya hiyo dhambi au umeshika hapo tu pa kuwa na wake wengi? Fuatilia wote hao kuna adhabu walipata baada ya kufanya hayo na kumbuka walipofika uzeeni wote hao walitubu na Mungu akawasamehe sasa kama ingekuwa Mungu karuhusu kwanini walitubu?

Halafu kuwa mtumishi wa Mungu hakukufanyi wewe mkamilifu watu wanadhani ukiwa mtumishi wa Mungu basi umekuwa malaika hapana hata watumishi wa Mungu nao ni binadamu na wanajaribiwa vile vile na kati yao wapo ambao wanayashinda hayo majaribu na wapo wanaoyashindwa na kuwa muumini tu wa kawaida hakukufanyi ndo kuwa mdhambi sana

Kuna watu siyo watumishi wa Mungu ni waumini tu wa kawaida lakini wanaweza kujizuia dhambi za kijinga kama hizo kuliko hata watumishi wa Mungu na Mungu analielewa hilo kwamba hakuna mkamilifu chini ya jua ila tu unapofanya dhambi ukubali na ukatubu siyo kusema eti hii siyo dhambi tena kwa sababu hadi watumishi wa Mungu wanafanya

Hapana maandiko yanakataza uzinzi pia yanasema kila mwanaume awe na mke mmoja na kila mwanamke awe na mume mmoja yaani kama Adam alivyoumbiwa mke mmoja tu Evah ndivyo Mungu alivyotaka iwe haya mengine ni shetani tu kawadanganya wanadamu
 
Baadhi ya Imani zimeruhusu wanaume tuoe Mke zaidi ya mmoja, Mke atabakia Kwa Mme mmoja mwenye wake wengi.
Hata vikao vya Beijing vya haki Sawa havijataka kugusa hapo.... Muache hivi hivi....
Mkuu kama Mungu angetaka mwanaume awe na wanawake wengi kwanini alimuumbia Adam mke mmoja tu Evah kwanini asingemuongezea wengine ili kuonyesha msisitizo?

Kuhusu waislam kuruhusu mke zaidi ya mmoja hiyo siyo amri ya Mungu bali ni kutokana na chimbuko lao kama wewe ni mkristo basi ukisoma biblia utagundua kuwa aliyeanzisha dini ya kiislam aliitwa Ishmael ambaye alikuwa mtoto wa Ibrahim wa nje ya ndoa aliyezaa na kijakazi wake aliyeitwa Hajra

Ndo maana waislam wanapenda sana mambo ya bi mkubwa na bi mdogo sababu wao ni watoto wa bi mdogo kwahiyo sishangai waislam kujianzishia ndoa za wake wengi kwa kutolea mifano ya manabii na mitume wakubwa

Ambao nao walikuwa ni wanadamu tu walioteleza baadaye wakanyanyuka tena ila kwa vile Mungu aliwasamehe basi ndo ikaonekana kama karuhusu lakini maandiko yanasema uzinzi ni dhambi na kila mwanaume awe na mke mmoja na kila mwanamke awe na mume mmoja
 
Mkuu hivi dhambi ikifanywa na mtumishi wa Mungu maana yake ndo Mungu amaeiruhusu? Hivi unajua nini kuliwakuta hao baada ya kufanya hiyo dhambi au umeshika hapo tu pa kuwa na wake wengi? Fuatilia wote hao kuna adhabu walipata baada ya kufanya hayo na kumbuka walipofika uzeeni wote hao walitubu na Mungu akawasamehe sasa kama ingekuwa Mungu karuhusu kwanini walitubu?

Halafu kuwa mtumishi wa Mungu hakukufanyi wewe mkamilifu watu wanadhani ukiwa mtumishi wa Mungu basi umekuwa malaika hapana hata watumishi wa Mungu nao ni binadamu na wanajaribiwa vile vile na kati yao wapo ambao wanayashinda hayo majaribu na wapo wanaoyashindwa na kuwa muumini tu wa kawaida hakukufanyi ndo kuwa mdhambi sana

Kuna watu siyo watumishi wa Mungu ni waumini tu wa kawaida lakini wanaweza kujizuia dhambi za kijinga kama hizo kuliko hata watumishi wa Mungu na Mungu analielewa hilo kwamba hakuna mkamilifu chini ya jua ila tu unapofanya dhambi ukubali na ukatubu siyo kusema eti hii siyo dhambi tena kwa sababu hadi watumishi wa Mungu wanafanya

Hapana maandiko yanakataza uzinzi pia yanasema kila mwanaume awe na mke mmoja na kila mwanamke awe na mume mmoja yaani kama Adam alivyoumbiwa mke mmoja tu Evah ndivyo Mungu alivyotaka iwe haya mengine ni shetani tu kawadanganya wanadamu
Mkuu nimekutolea hiyo mifano kukuonyesha uzito wa Jambo hilo na jinsi ilivyo vigumu kwa wanaume kuepuka hilo. Nakuhakikishia km mwanaume hana tatizo hawezi kuepuka hilo. Halafu mkuu,neno uzinzi kwenye Biblia haliwahusu wanaume,linawahusu wanawake. Kumbuka Biblia pia iliandikwa kwa kuwakandamiza wanawake!?? Hata Yesu alipoulizwa kuhusu talaka alisema hakuna sababu yoyote ya kumuacha mke, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi. Hilo andiko mbona halikusema wanaume!??
 
Aisee suala la kuchepuka hata upige tarumbeta vipi haliepukiki kama watoto wenyewe ndo hao wanafungasha nyuma kama wamevishwa pampas za watoto wadogo. Watoto chuchu kijua cha saa nne unakuta toto hata sidiria hajaanza kuvaa bado msumali

Wewe shukuru tu, kwanza hujaolewa na pia mwambie atumie kondom mengine hayakuhusu muachie mme
Kumbe basi hata wanawake nao waacheni wachepuke tu bila kuwafanya chochote wote tushukuru tu
 
Mkuu nimekutolea hiyo mifano kukuonyesha uzito wa Jambo hilo na jinsi ilivyo vigumu kwa wanaume kuepuka hilo. Nakuhakikishia km mwanaume hana tatizo hawezi kuepuka hilo. Halafu mkuu,neno uzinzi kwenye Biblia haliwahusu wanaume,linawahusu wanawake. Kumbuka Biblia pia iliandikwa kwa kuwakandamiza wanawake!?? Hata Yesu alipoulizwa kuhusu talaka alisema hakuna sababu yoyote ya kumuacha mke, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi. Hilo andiko mbona halikusema wanaume!??
Mkuu amri ya sita inasemaje?
 
Aliyemlipia mahari mwenziwe...
Mkuu msitudanganye siku hizi kuna wanawake wanajilipia mahari wenyewe ila hela inaonekana imetoka kwa mwanaume ili tu kumfichia aibu mume wake mtarajiwa ila mkifika kwenye ndoa kujifanya vidume hamjambo halafu huto tumilioni ngapi sijui ndo tunawafanya muwanyanyase wanawake? Kwani mbona kabla hamjaoa huku mitaani mnahonga mademu zenu hela nyingi kuliko hizo mahari mnazotoa kwa wake zenu?
 
Ushauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.
naunga mkono hoja hata mm nimeshawaambia watu wangu a karibu kuna aina ya wasichana ambao ni wakupita wakiona nimenasa waingie kazin kuninasua
 
Mkuu msitudanganye siku hizi kuna wanawake wanajilipia mahari wenyewe ila hela inaonekana imetoka kwa mwanaume ili tu kumfichia aibu mume wake mtarajiwa ila mkifika kwenye ndoa kujifanya vidume hamjambo halafu huto tumilioni ngapi sijui ndo tunawafanya muwanyanyase wanawake? Kwani mbona kabla hamjaoa huku mitaani mnahonga mademu zenu hela nyingi kuliko hizo mahari mnazotoa kwa wake zenu?
Unaataka ndoa au kudanga?
 
Mkuu amri ya sita inasemaje?
Inasema usizini hebu km una Bibilia hapo nenda mwisho wa Biblia yako kwenye tafsiri ya maneno uone hilo neno kwenye Biblia lina maanisha nini na nani walikuwa wanahusika nalo kati ya wanaume na wanawake.!! Halafu utarudi kuniambia..
 
Ndio maana mwisho wa habari nikaandika hii ni kwa wanawake wanaotimiza wajibu wao kwa wanaume tu.
Huyu ndiye baba wa points zoote ulizonena,lakini na nyie wanawake
jifunzeni kuwa ndoa siyo "pingu za maisha" Huu msemo unawaponza
ukishaolewa unajiona unaweza kumfanyia mmeo lolote kisa
mmefunga pingu za maisha na hapo ndo mwanzo wa maelezo yote unapoanzia.
Simaanishi wanaume wachepuke,lakini kinamama heshimuni waume zenu
na kuwatii ili na ninyi mheshimike.
 
Unaataka ndoa au kudanga?
Hahahaha masikini hiyo ndo defense mechanism yenu wanaume mnajua kwamba wanawake wana shida sana na ndoa kwahiyo hawana ujanja wakitaka kuolewa lazima wakubaliane tu na ujinga wenu hamna namna na hicho ndo kinachowapa jeuri

Ila nafurahi kuona kuwa siku hizi kuna wanawake hawatishiki na ndoa ikiwemo mimi yaani mimi kuliko kuingia kwenye ndoa ambayo mume ni mpumbavu eti ili tu nionekane nimeolewa ni bora nisiolewe maisha yangu yote halafu usikariri maisha siyo kila mwanamke ambaye hajaolewa anadanga keep that in your mind
 
Kwa haya maamuzi ni hatari kwa familia, hapo itakuwa ndoa au mizengwe ndani ya familia.familia litakua ya hovyo Sana.
Kwahiyo mwanamke akichepuka ndo familia itakuwa ya hovyo ila mwanaume akichepuka familia inakuwa bora?
 
Hahahaha masikini hiyo ndo defense mechanism yenu wanaume mnajua kwamba wanawake wana shida sana na ndoa kwahiyo hawana ujanja wakitaka kuolewa lazima wakubaliane tu na ujinga wenu hamna namna na hicho ndo kinachowapa jeuri

Ila nafurahi kuona kuwa siku hizi kuna wanawake hawatishiki na ndoa ikiwemo mimi yaani mimi kuliko kuingia kwenye ndoa ambayo mume ni mpumbavu eti ili tu nionekane nimeolewa ni bora nisiolewe maisha yangu yote halafu usikariri maisha siyo kila mwanamke ambaye hajaolewa anadanga keep that in your mind
Anaponea wapi kama sio kudanga...
Kuna mtu anaweza kukaa miaka na miaka bila kunywela sidbani

Anyway huhitaji mtoto?
 
Ushauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.
, kwamba waingie kazini kabisa mambo yamekuwa sio mambo
 
Back
Top Bottom