TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,503
- 28,435
Uzi upelekwe jukwaa la dini. Ni wazo.
Huu ni UNAFIKIAssalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?
[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله
Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia
Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.
kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.
Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.
Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.
Allah anasema katika Qur'an yake
6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa
Otterhound adriz FaizaFoxy
Kamwe huwezi kuingia kanisani ukute Padri au Mchungaji akiusema Uislam lakini nyie ni kawaida yenu kutusema sisi Wagalatia tuliotulia.Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
Wanaona vibanzi kwenye macho ya wenzao ila hawaoni Boriti katika macho yao wenyewe.Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.
Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.
uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?
Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi
Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.
Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Unafanya vyema sana, ila pia kemea pia tabia ya Waislam kuwadharau na kuwasema vibaya Wakristo...hasa misikitini, katika Redio zenu na katika Mihadhara.[emoji1666]
Kama ambavyo mimi huwa nafanya.
Sio kama hayaniumi ninayoyasoma humu au Sio kama sina majibu. Ila hukaa kimya kwa sababu ni kweli wengi huja kwa kukashifu na Sio kujifunza.
Ni sawa na kubishana na mjinga hatimae na weye huonekana mjinga.
Tofautisha kati ya Elimu na dhihaka.Huu ni UNAFIKI
Huko misikitini ninyi Waislam ndio VINARA wa kuwasema vibaya Wakristo. Hata katika miadhara yenu mnaweka maspika na kuwasema Wakristo
Leo Wakristo wakijitetea mnaanza kulalamika.
Kwani huo mstari katika Quran haukuwepo siku zote?
khaaa mbona wachekesha wwKamwe huwezi kuingia kanisani ukute Padri au Mchungaji akiusema Uislam lakini nyie ni kawaida yenu kutusema sisi Wagalatia tuliotulia.
Tofautisha kati ya Elimu na dhihaka.
Sisi Waislamu tunalolipinga ni kua Issa sio Mungu ni Mtume wa Allah kma mitume mingine
Mm binafsi nawajua wakristo wanachuki kubwa na Uislamu bcz nimekaa nao na nimeona matendo yao
Kuna siku jamaa yupo kanisani ni katika chuo kikuu hpa Tz ety anasema nyinyi watoto someni mkawatoe akina Rashid katika nafasi zao ,hlf nyie mnalishwa imani potofu toka utotoni kwenu khsu Uislamu ety Waislamu wana Majini msikae nao karibu wakati tunaona kati ya makanisa na misikiti wapi kuna majini
Nikatalie hayo kma hamfundishwi huko majumbani kwenu
Waislamu wote ukiwemo wewe hili hamliwezi. Nyie mnahubiriwa Jino kwa Jino hamliwezi... Angalia series ya matukio ya kuwauwa au kuwaumiza wasio waislamu... YAANI WALLAH HILI HAMLIWEZI. MMELELEWA HIVYO KWAMBA HAMNA KUSAMEHE SABA MARA SABINI WALA KUGEUZA SHAVUAssalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?
[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله
Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia
Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.
kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.
Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.
Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.
Allah anasema katika Qur'an yake
6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.
Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa
Otterhound adriz FaizaFoxy
Ww ushawahi kugeuza shavu ? tuanze hapo kwanza hlf mengine yatafuatiaWaislamu wote ukiwemo wewe hili hamliwezi. Nyie mnahubiriwa Jino kwa Jino hamliwezi... Angalia series ya matukio ya kuwauwa au kuwaumiza wasio waislamu... YAANI WALLAH HILI HAMLIWEZI. MMELELEWA HIVYO KWAMBA HAMNA KUSAMEHE SABA MARA SABINI WALA KUGEUZA SHAVU
Kama una uhakika hajageuza shavu ujue huyo ni Mfuasi wa qulaani iliyo agiza!Ww ushawahi kugeuza shavu ? tuanze hapo kwanza hlf mengine yatafuatia
walahi hatukubali[emoji110][emoji109]takbiir
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12] umevaa jezi karibu Mkuu!Waliokufuru kabla ni Wakisto wa mwanzo kuzua dhana ya kuwa Masihi ni mwana wa Mungu /Mungu na waliofuatia baada ya hao ni kundi liliofuata upotofu kuendelea na hiyo dhana ya walioikuta kwa vizazi vilivyopita vya ukiristo.
Kwani wakisto wa hivi sasa wanavyoamini Yesu ni Mungu au mwana wa Mungu waliotesha au walijibunia bila kurithishwa hiyo dhana na wao kufuata ?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12] umevaa jezi karibu Mkuu!
Tuwekee ushahidi Hao Wakristo wa zamani walipo sema Yesu ni Mwanangu, Yesu ni Mwana wa Mungu, Yesu ni Baba Yangu na kisha hawa Wakristo wa sasa wakawaiga??[emoji101][emoji101]