Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Nampenda mno Abdallah Humeyd kwa ajili ya Allah. Nawapenda mno akina Qassim Mafuta na wenzie kwa ajili ya Allah.

Namuomba Allah awahifadhi.

Allah atuongoze katika njia iliyonyooka.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Akhi shukran mno kwa ukumbusho huu.
 
Ahsante sana
 
bora ya thread ni hii, huwa naumia sana kukuta mtu anaanzisha mjadala unaosababisha matusi yaelekezwe kwa allah..

نستغفر الله و نتوب إليه.
Sasa tufanyaje ili tuwaite kwenye Dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu,maana yawezekana wengine hata akatokea mmoja wenda anaweza kuvutiwa na kuifuata dini ya ukweli
 
Tatizo ni kwamba waislam ndo wanaongoza kwa matusi humu jamvini
 
Sasa tufanyaje ili tuwaite kwenye Dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu,maana yawezekana wengine hata akatokea mmoja wenda anaweza kuvutiwa na kuifuata dini ya ukweli
Anaweza kuvutiwa na matusi sio??Kama mtu akiyamiss matusi si umwache atasoma quran kivyake, kwani mpaka umtukane?
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Kweli kabosa duniani kuna miungu zaidi ya 4,000 inayoabudiwa. Hamna sababu ya kugombana. Relax kila mtu atavuna alichopanda
 
Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
Hapo ndipo ninapoonaga sisi Waisilamu kunasehemu tunamatatizo,hii yote ni sababu ya kila mtu aonekana maalufu,lakini naamini kila mtu malipo yake atayakuta kwa mola wake kutokana na juhudi zake binafsi.nakumbuka hadithi inayosema wakati wa vita vya A
Anaweza kuvutiwa na matusi sio??Kama mtu akiyamiss matusi si umwache atasoma quran kivyake, kwani mpaka umtukane?
Sijajua tafsiri yako inamaana wanaokutukanaga wanakuwaga waisilamu?
 
Anaweza kuvutiwa na matusi sio??Kama mtu akiyamiss matusi si umwache atasoma quran kivyake, kwani mpaka umtukane?
ww si Muislamu ndo mna unasema hyo unayoyasema huna mafundisho ya kiislamu hta kidogo
 
Mimi sikatai kwwmba akina humeyd wana mazuri yao meengi sana.

Na hali kadhaalika hao akina ponda pia wanayo mazuri yao mengi saaaana.

Ila akina humeyd kuwa na mambo mazuri wanayofanya hiyo haiwi kizuizi kwamba wasisemwe pale ambapo wanaenda kinyume na ustaarabu.

Nilichokisema kuhusu humeyd hakihusiani na mazuri anayoyafanya,tunakubali anayo mwzuri lakini haya mabaya yao pia yasemwe.

Hata omar ibn khatwaab alipotaka kufanya jitihada ya kupunguza mahari a kuweka ukomo aliambiwa hapana mahari haina ukomo.

Kama umar alikosolewa licha ya mazuri yake kibao iweje hawa salafia wa mombasa wasiguswe kwa utovu wa adabu wanaoufanya dhidi ya waislamu wenzao ?

Mkuu, samahani. Hivi huyu humeid ndio kundi moja la yule sheikh albarahian wa mombasa!! Wanao kufurisha madhheb flani!!
 
barahiyani ni mtu wa Tanga sio mombasa
humeid ni mtu wa mombasa ni salafi wa kweli kabisaa hakwepeshi kwnye kuongea haki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom