Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

hahaha mkuu adriz unaswali swala 5!?.
Bora nichome ninapolala moto niteketeze mali zangu ndani kuliko kuacha ibada hiyo pamoja na kuipuuza . Alhamdulillah ndio kwa miaka mingi nimedumu na kuboresha na ni moja kati ya jambo muhimu kwangu na limenisaidia sana Ktk mambo ya kiimani na kidunia pamoja kuleta mabadiliko mengi chanya Ktk maisha yangu.
 
Kama ambavyo mimi huwa nafanya.

Sio kama hayaniumi ninayoyasoma humu au Sio kama sina majibu. Ila hukaa kimya kwa sababu ni kweli wengi huja kwa kukashifu na Sio kujifunza.

Ni sawa na kubishana na mjinga hatimae na weye huonekana mjinga.
dada mtu za siku, so kwasababu story za kutisha kule tumeacha ndo hutaki hata kunisalimia.
 
Bora nichome ninapolala moto niteketeze mali zangu ndani kuliko kuacha ibada hiyo pamoja na kuipuuza . Alhamdulillah ndio kwa miaka mingi nimedumu na kuboresha na ni moja kati ya jambo muhimu kwangu na limenisaidia sana Ktk mambo ya kiimani na kidunia pamoja kuleta mabadiliko mengi chanya Ktk maisha yangu.
nashukuru kuskia hivyo mkuu wangu, nakupenda kwaajili ya allah.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
ukikaa ukasoma chini dini yako sahihi utaona ambao wanapoteza watu ni nani
Tushkuru wamekuja hawa akina humeyd kutubainishia walinganizi waovu mna jamii ilikua imeshazama kwenye ujinga
mfano
Kuna hawa akina sheikh Ponda walowachukua waislamu na kuwafanyisha maandamano ilihali Uislamu unakataza mambo hayo,Je wasingekuja hawa tungeyajua hayo?
kuna mengi sana wamekuja kutufundisha ambapo hpo nyuma yalikua hayafundishwi haswa Elimu ya Tawhiid
Yni ya kuandika ni mengi mno kma untka zaidi njoo Pm tueleweshane vizuri
 
Tatizo baadhi yenu huwa mnakejeli sana, mnajiona mnajua kila kitu, mnajiona nyie ndo mko sahihi wengine ni wajinga na wamepotoka, nyie ndo wenye haki zaidi ya wengine.

Hayo ndo hufanya watu watuoe lugha chafu.
Ila hii kitu ni nzuri hasa kwa sisi tunaopenda kujifunza uislam.
kma untka kujifunza Uislamu karibu mkuu
 
ukikaa ukasoma chini dini yako sahihi utaona ambao wanapoteza watu ni nani
Tushkuru wamekuja hawa akina humeyd kutubainishia walinganizi waovu mna jamii ilikua imeshazama kwenye ujinga
mfano
Kuna hawa akina sheikh Ponda walowachukua waislamu na kuwafanyisha maandamano ilihali Uislamu unakataza mambo hayo,Je wasingekuja hawa tungeyajua hayo?
kuna mengi sana wamekuja kutufundisha ambapo hpo nyuma yalikua hayafundishwi haswa Elimu ya Tawhiid
Yni ya kuandika ni mengi mno kma untka zaidi njoo Pm tueleweshane vizuri
mkuu tulikuwa wote moshi nini.
 
Msikitini mtaa ninapoishi walimu wanatokea huko Pongwe kwa kina Humeid, kwa kweli ni watu ambao wanatoa darasa nzuri sana na zenye misingi bora mtaani watu tunafaidika sana kwa namna wanavyojitoa kufundisha japo muda mwingine nikiwasikiliza YouTube kwa kina Abu Fadhil mwenyewe namna wanavyotoa Radd na kubattle na masheikh wengine kuna baadhi ya mambo naona hayako Sawa.
 
Mungu wa kweli kwa mujibu wa dini.. Sasa kwa nini ulazimishe nami nimuamini Huyo Allah kiasi cha hadi kunitungia jina kafiri?
Kuna mjamaa humu anatuma jina la@Macro Polo na yeye aliwahi kusema Ktk uzi mmoja kuwa mwanzo alikuwa akichukia jina la kafiri na kuitwa hivyo lakini alivyo gugo na kujua maana yake hachukii tena na anaona kawaida mtu akimuita kafiri.

Sawasawa zama za ubaguzi wa rangi Marekani ilikuwa mtu mweusi ukimuita" black " anachukia animal kosa na umemuita jina baya wkt huo huo alikuwa akikubali jina la "negro" akiitwa na Mzungu kumbe yote maana ni Moja hapo ni lugha tu ndiyo imebadilika na yeye ni kweli ni black
 
Naona ungeisoma vizuuuuri post wala usingeandika uliyoandika hivi kakusudia kuzozana au ni matusi ya kumtusi Allah subhanahu wataala pamoja na Mtukufu wa daraja na huko ulikokusudia (RUDUUD) ushawahi kusikia wanatukana mitume naomba utenge muda wako usikilize wanayoyasema tena kwa kuweka chuki pembeni hata mimi binafsi mwanzo nilikuwa nawachukia ila baada ya kukaa na kusikiliza hoja zao Alhamdulillah nimeona usahihi uko wapi

ukikaa ukasoma chini dini yako sahihi utaona ambao wanapoteza watu ni nani
Tushkuru wamekuja hawa akina humeyd kutubainishia walinganizi waovu mna jamii ilikua imeshazama kwenye ujinga
mfano
Kuna hawa akina sheikh Ponda walowachukua waislamu na kuwafanyisha maandamano ilihali Uislamu unakataza mambo hayo,Je wasingekuja hawa tungeyajua hayo?
kuna mengi sana wamekuja kutufundisha ambapo hpo nyuma yalikua hayafundishwi haswa Elimu ya Tawhiid
Yni ya kuandika ni mengi mno kma untka zaidi njoo Pm tueleweshane vizuri
Mimi sikatai kwwmba akina humeyd wana mazuri yao meengi sana.

Na hali kadhaalika hao akina ponda pia wanayo mazuri yao mengi saaaana.

Ila akina humeyd kuwa na mambo mazuri wanayofanya hiyo haiwi kizuizi kwamba wasisemwe pale ambapo wanaenda kinyume na ustaarabu.

Nilichokisema kuhusu humeyd hakihusiani na mazuri anayoyafanya,tunakubali anayo mwzuri lakini haya mabaya yao pia yasemwe.

Hata omar ibn khatwaab alipotaka kufanya jitihada ya kupunguza mahari a kuweka ukomo aliambiwa hapana mahari haina ukomo.

Kama umar alikosolewa licha ya mazuri yake kibao iweje hawa salafia wa mombasa wasiguswe kwa utovu wa adabu wanaoufanya dhidi ya waislamu wenzao ?
 
mzee wao hawasemi bali wanawabainisha walinganizi waovu na uovu wao kwasababu wanaathiri jamii na hii kazi imeamriwa katika quran unataka tulaaniwe kama wana wa israeli kwa kunyamazia maovu ya wenzao? unataka kufananisha ubainifu wa kielimu na mijadala ya jamiiforums.
Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom