Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Haaa haaa haaa Allahu mustaan kwani shia si muislam mbona unamtenga ndugu huko si kuvunja umoja katika Uislamu
Wanatengwa kwasababu wana imani chafu ambazo zinamfanya aritadi
Unawajua mashia vizuri lkn ww?
 
Nimeelewa ndo maana nikatia neno ndgu, mimi na wewe hatujaishi pamoja hivyo naongelea nilivhokutana nacho na nnachokiona.

Huenda wewe ndie hujaelewa kilichoandikwa.

Wote hujiona wako sahihi lakini sio kufikia hatua ya kubeza na kukebehi imani ya watu wengine, ndicho nilichokiandika hapo ndgu. Umejibu kihisia zaidi bila akili.
Sasa mbona una judge, upande mmoja, hii inafanyika pande zote tena huko makanisani, hasa ya kilokole, hutengeneza, watu wanaojifanya ni Waislamu, wanaokaka bila kubadili dini, maana huoni tukio la kudimisha pale, ila anakua mlokole moja kwa moja na kutoa shuhuda za uongo, zenye kuidhalilisha Imani nyingine hayo huyaoni,

Halafu bila aibu Waislamu, wanapeana nasaha, Wasiwajibu vibaya Wakristo hata kama wao, wakisemwa vibaya, wewe unataka kuharibu mada.
 
Kusema nilichokiona ni kuharibu mada??
Nimeongelea upande mmoja kulingana na mada husika ipo upande gani.
Sasa niwaongelee wakristo kwenye mada ya kiislam??

Kwahiyo mtu akienda tofauti na mawazo yako ndo anaharibu mada.??

Kitu nilichokipngelea pale juu inaonekana hata wewe unacho.
 
Na kuna uzi nimekutag, nenda ukatupie jicho.
 
Wanatengwa kwasababu wana imani chafu ambazo zinamfanya aritadi
Unawajua mashia vizuri lkn ww?
Labda wewe umesomeshwa mashia pekee siku ukiambiwa na itikadi za USUFI nazo utaona haja ya kufuata Uislamu kama alokawa nao mtume na maswahaba zake
 
Masufi nao pia wana itikadi za upotofu
 
S
Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
Sasa ameongea kisa kachanganya uongo ulitaka ambiwe ameongea ukweli? Amezungumza uongo lazima ambiwe muongo kwa maneno take hata Kama anaheshima gani katika dini, hao masheikh wakina Humeyd na Abuu Hashim wanawazunguza wale wanaopotosha watu, wala hawakurupuki kumsema mtu ambae hajaenda kinyume, mfano Kama Sheikh kipozeo aliposema Ndevu ni uchafu, ulitaka aachwe au wale masheikh wanaojuzisha uchawibwa Ahla-lbadri, waachwe wasisemwe, tatizo la sisi Waislamu tuna MAPENZI sana na masheikh kuliko dini yetu, leo hii sheikh yoyote akikosea alafu mtu akamkosoa utasikia anakosewa adabu.
 
Kusema nilichokiona ni kuharibu mada??
Nimeongelea upande mmoja kulingana na mada husika ipo upande gani.
Sasa niwaongelee wakristo kwenye mada ya kiislam??

Kwahiyo mtu akienda tofauti na mawazo yako ndo anaharibu mada.??

Kitu nilichokipngelea pale juu inaonekana hata wewe unacho.
Mada: Waislamu Wananasihiana, kutowajibu vibaya vibaya wakristo hata wao wakiandika vibaya juu ya Uislamu.

Alafu unatokea mkristo, unanza nyie mnajifanya kujua sana, hivi kweli kama wewe mkristo mcha Mungu, huoni penye jambo jema umeingiza pepo, mada ina meema jua yako pia.
 
Dini ni utumwa wa kifikra,tafteni hela achaneni na madini yaliyoletwa na wageni
 
Mada: Waislamu Wananasihiana, kutowajibu vibaya vibaya wakristo hata wao wakiandika vibaya juu ya Uislamu.

Alafu unatokea mkristo, unanza nyie mnajifanya kujua sana, hivi kweli kama wewe mkristo mcha Mungu, huoni penye jambo jema umeingiza pepo, mada ina meema jua yako pia.
Hebu rudia kusoma nilichoandika hapa kama kina ukakasi??
Ndio maana nikasema wewe umenijia juu kwa hisia tu wala hakuna tatizo juu ya hoja zangu hapo.
Nimeweka tatizo lililopo kwa wale wanaopewa huo ushauri na mleta uzi, sijajua wewe umeielewaje hiyo comment yangu hapo.
"Tatizo baadhi yenu huwa mnakejeli sana, mnajiona mnajua kila kitu, mnajiona nyie ndo mko sahihi wengine ni wajinga na wamepotoka, nyie ndo wenye haki zaidi ya wengine.

Hayo ndo hufanya watu watuoe lugha chafu.
Ila hii kitu ni nzuri hasa kwa sisi tunaopenda kujifunza uislam."
 
Inahuzunisha kuona moja ya kundi la watu wanaoamini kwa kuwa waliaminishwa na walioanguka toka mwanzo kabla yao wakiitetea imani iendayo katika shimo badili mwelekeo hii ndio kheri na wasaa mzuri mlionao na wala hakuna jambo jema mtakalo likumbuka kwenye maisha yenu baada ya ulimwengu huh kama yule ambaye anakueleza kwamba Mfuate Yesu okoka beba msalaba wako umfuate
 
Tumekusikia ila jitafakari ww kwanza uko ulipo ndipo
 
Inahuzunisha kuona moja ya kundi la watu wanaoamini kwa kuwa waliaminishwa na walioanguka toka mwanzo kabla yao wakiitetea imani iendayo katika shimo badili mwelekeo hii ndio kheri na wasaa mzuri mlionao na wala hakuna jambo jema mtakalo likumbuka kwenye maisha yenu baada ya ulimwengu huh kama yule ambaye anakueleza kwamba Mfuate Yesu okoka beba msalaba wako umfuate
Huku kwa Yesu, ambako kila siku watu hawamuogopi Mungu, kufuru zote zinapitia huko, na sasa wimbi la matapeli kupitia jina la Mungu.

Wako Wapi, akina Lusekelo, Anendes na mkewe, Kakobe, ismail, Gwajima na kuna yule mngoni mwenye maekali ya ardhi kibaha. au ndivo wamewapisha, akina Mungu zumalidi kama anavyojiita, au Mchungàji Tito, au Mwamposa na wengine.
 
Hebu rudia kusoma nilichoandika hapa kama kina ukakasi??
Ndio maana nikasema wewe umenijia juu kwa hisia tu wala hakuna tatizo juu ya hoja zangu hapo.
Nimeweka tatizo lililopo kwa wale wanaopewa huo ushauri na mleta uzi, sijajua wewe umeielewaje hiyo comment yangu hapo.
"Tatizo baadhi yenu huwa mnakejeli sana, mnajiona mnajua kila kitu, mnajiona nyie ndo mko sahihi wengine ni wajinga na wamepotoka, nyie ndo wenye haki zaidi ya wengine.

Hayo ndo hufanya watu watuoe lugha chafu.
Ila hii kitu ni nzuri hasa kwa sisi tunaopenda kujifunza uislam."
Tatizo hilo lipo kila upande, ila sababu wewe ni mkristo, huwezi kuona ubaya wa mkristo anaendika vibaya Uislamu.
Alafu nikuambie tu, Uislamu hata ukiusoma hutaujua, Ukishajiandaa kupinga hutokubaliana.

Mimi nilikua na bibilia nilinunua pale standy ya zamani ya mkoa Ubongo, kwa ajili tu ya kubishania na akina mgeni, na wagalatia wengine, enzi hizo wewe hujaijua Jamiiforums.

Baadae nilimtamfuta mkristo nikampa, kila mtu abaki na imani yake, ila kwa hiki kinachoendelea ngoja nikatafute nyingine, ingawa ipo play store, nataka kitabu ambacho unapoishia ni rahisi kuweka kumbukumbu kwa kukumja ukurasa au kuweka kitu.
 
Amezungumza uongo lazima ambiwe muongo kwa maneno take hata Kama anaheshima gani katika dini, hao masheikh wakina Humeyd na Abuu Hashim wanawazunguza wale wanaopotosha watu, wala hawakurupuki kumsema mtu ambae hajaenda kinyume, mfano Kama Sheikh kipozeo aliposema Ndevu ni uchafu, ulitaka aachwe au wale masheikh wanaojuzisha uchawibwa Ahla-lbadri, waachwe wasisemwe, tatizo la sisi Waislamu tuna MAPENZI sana na masheikh kuliko dini yetu, leo hii sheikh yoyote akikosea alafu mtu akamkosoa utasikia anakosewa adabu.
Sio kosa lako bali haya ni makosa ya waalimu wenu ambayo mnayameza na kuyatema katika umma hivyo hata wewe nakuchukulia una ugonjwa ambao ni vizuri ukauliza ili utibiwe ndugu yangu.

Abdala humeyd na salafi wengine baadhi yao wana maneno ambayo hayapendezi kuwaambia waislamu wenzao bali hata wasiokuwa waislamu.

Uislamu ni huruma,ustaarabu na ukarimu hata kwa yule ambaye mumepishana mitazamo,ila kama unaona wanafanya sawa mimi sikulazimishi uone ninayosema ndio sahihi
 
We sufi tulia ww mlitaka muachiwe tu muendelee kuharibu dini
Leo hii hata wasio waislamu wanashangaa ivi huu Uislamu wa kucheza kucheza na kukata viuno umetoka wapi? Kumbe nyinyi watu bid'aa ndo mnataka kutuharibia dini yetu

Namkubali sana Abdallah humeid mna hapindishi maneno yy ni straight forward
Penye haki izungumzwe na kwenye batwili pia izungumzwe tena kwa kukemea vikali sanaaa
 
Huku kwa Yesu, ambako kila siku watu hawamuogopi Mungu, kufuru zote zinapitia huko, na sasa wimbi la matapeli kupitia jina la Mungu.

Wako Wapi, akina Lusekelo, Anendes na mkewe, Kakobe, ismail, Gwajima na kuna yule mngoni mwenye maekali ya ardhi kibaha. au ndivo wamewapisha, akina Mungu zumalidi kama anavyojiita, au Mchungàji Tito, au Mwamposa na wengine.
Tusiishi kwa kukalili katika Mungu kila kitu kitalipwa tu usiangalie yule bali wewe mwenyewe jeee unayafanya mapenz yake kwani hakuna mashekh wanaojinufaisha wenyewe ila imekua maarufu kwa ukristo sababu ya kweli na Mungu wa kweli shetani anaupiga vita kwa kuwapa wachungaji matamanio yao wachungaji na kuiacha njia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom