Mkuu fuatilia habari ya hiyo shule na matokeo yake kitaaluma,ukute wote wamebaki mazuzu waliosoma hapoHuu mti anaupenda sana niliutafuta niupande home dingi kakataa sikujua kwann ikabidi nipeleke kama zawadi yule niliyosoma nikaupanda hapo paka sasa hiv sijui umefika wapi na miaka saba sijawai kufiki kwenye ile shule tena
kuna hii kampeni ya kupanda miti dodoma jamaa mmoja akasema huu mti ni mzuri haupukutishi majani hivyo jengo lote la ccm pale Dodoma lizungushiwe huu mti,vip viongozi na makada wengine wa chama wanaotumia hili jengo wanaweza kupass away kimyakimya moja baada ya mwingineKama upo jiandae kutembelewa na Israel muda wowote
kuna sababu nyingi hakuna sehemu mleta mada amedai kuwa huu mti ndio sababu pekee bali yaweza kuwa sababu moja wapo.je nawale ambao hawakupanda huu mti lakini na wao kila siku hawana amani nyumbani ni nini
Hili jambo ni muhimu sanaWatuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
Umeamsha hisia za wengiHuu uzi ng'ang'anizi kweli...!!!??
Umalize kisirisiriA is eee niliipata audio ya huu mti ni mti dume unafukuza wanaume ndani na unaleta mabalaa ndani ya nyumba mf madeni,magonjwa,vifo nk ,mi ninao wa mwenyenyumba hapa nawaza ntamwambiaje aelewe au niuwekee mafuta ya taa unyauke aseme tu situnzi nyumba take, maana madeni yananinyoosha walai
Mkuu hii miti ninayo kwenye makazi nayoishi na inasemekana inaleta sana mikosi sijui kama dhana hii ni kweli,na pia hata kwa mkaa wake huwa sio mzuri.Nikipata muda nitapiga picha yaani mi mikubwa hatariSio mbu wote wanaouma wanaambukiza malaria
Kwa sehemu kubwa haina shida na wapangaji kwakuwa hapo si kwako na mpandaji sio weweMkuu hii miti ninayo kwenye makazi nayoishi na inasemekana inaleta sana mikosi sijui kama dhana hii ni kweli,na pia hata kwa mkaa wake huwa sio mzuri.Nikipata muda nitapiga picha yaani mi mikubwa hatari
Kuna uzi mwingine tena umekurupuliwa leo!unahusu mti huu,eti huko Mara wazee wa kimila wameutangazia fatwa,ukikutwa unao kwako unatwangwa faini ya hatari!Unaishi
Amri ya kukata miti ya upanga uzazi.Kwa sehemu kubwa haina shida na wapangaji kwakuwa hapo si kwako na mpandaji sio wewe
Duh!! Mkuu uko fasta hatari,huwa unaacha roho moja Jf?