Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,928
Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
we jamaa
Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
we jamaa
Mbali na hivyoo, unakuta kijimwanaume chembamba alafu anaenda kuchukua mwanamke mnene km asha bokoo , sasa wakati wa match akiingia hapo kwenye mapaja anapotelea humoJibu nimelipata tayari kwamba sometimes sio kibamia bali ni ukubwa wa pango hivyo ni vema kuchagua size kama ulivyoshauri
round ya kwanza ya pili anahemaa km ametoka kupigana vita ya pili ya dunia.... Sasa hapo mwanamke ndiyoo Kwanzaa hajasikia kitu... Ataacha kukwambia huna nguvu za kiume???Uondoe ibaki story kuliko ibaki historyAsee ninao huu mti na upo karibu sana na nyumba, kesho nauondoa mapema mnooo
Mbali na hivyoo, unakuta kijimwanaume chembamba alafu anaenda kuchukua mwanamke mnene km asha bokoo , sasa wakati wa match akiingia hapo kwenye mapaja anapotelea humoround ya kwanza ya pili anahemaa km ametoka kupigana vita ya pili ya dunia.... Sasa hapo mwanamke ndiyoo Kwanzaa hajasikia kitu... Ataacha kukwambia huna nguvu za kiume???

Makavu liveMbali na hivyoo, unakuta kijimwanaume chembamba alafu anaenda kuchukua mwanamke mnene km asha bokoo , sasa wakati wa match akiingia hapo kwenye mapaja anapotelea humoround ya kwanza ya pili anahemaa km ametoka kupigana vita ya pili ya dunia.... Sasa hapo mwanamke ndiyoo Kwanzaa hajasikia kitu... Ataacha kukwambia huna nguvu za kiume???

Nmecheka Sana....Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
Mbona huo uko tofauti na ulioweka wewe?Ukate
Sawa mkuu afu nimeupanda karibu kabisa na dirisha languUkate
atakuwa anaogopa nyumba isibomoke, siyo kufariki.Haha acha uoga mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Una madhara km ya mti chonganish?please tupe madhara kbl ya kuung'oa kwn nimependa mingi ya kivuli hadi nackia vibaya kuing'oa
Mkuu huu mti no meotesha kwenye kona ya ukuta wa fensi nilipanda miwili moja ukafa. Huo wa kwenye kona umenawiri sana. Nimeogopa sana kwa hii habari. Itabidi nitume taarifa waukate.Yale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome kimyakimya tuu.
Kuna huu mti unaopendwa kupandwa kuzunguka nyumba zetu, ni mti mzuri wenye kivuli kizuri, hujulikana kama mti mwamvuli na matawi yake huota kwa mpangilio maalum
Ni mti wenye mizizi mirefu yenye nguvu ya ajabu kiroho katika ulimwengu uonekanoa Mizizi yake yenye nguvu huweza kupenya kwenye msingi wa nyumba na kusababisha ufa au nyufa na kuleta uharibifu mkubwa kwenye jengo lako.
Nyufa husika zisipodhibitiwa mapema huweza hata kusababisha nyumba kubomoka au hata kuanguka.. Nyufa hizi zina madhara ya moja kwa moja kiroho nyufa hizi huleta nyufa kwenye familia, mikosi na hata vifo wakati mizizi ikileta nyufa kwenye nyumba jengo, nguvu yake huleta nyufa katika familia.
Nyufa ndani ya familia husababisha mshikamano uliopo kukatika vipande vipande, watu kukosa ajira, biashara kuanguka, watoto kufeli masomo na vifo hasa vya wazazi
Sio mzi mzuri wa kupanda nyumbani na wengi sasa wanaukata Kama unao nyumbani kwako hebu linganisha na hiki nilichoandika hapa.
![]()