Ujue Mti chonganishi

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,842
2,000
Alafu hiii miti imezuka tuuu miaka ya 95 hapa huko nyuma haikuwepo, sijui mwisho wa dunia unakaribia
Kata mara moja kuna familia moja huko moshi walikuwa wameipanda sana vifo vikafululiza wameikata. Ni familia ya wasomi tena wanaojitambua.
 

MYETU

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
3,208
2,000
Kata mara moja kuna familia moja huko moshi walikuwa wameipanda sana vifo vikafululiza wameikata. Ni familia ya wasomi tena wanaojitambua.
Nilishakata zamani, maana nilipanda mbele ya nyumba ikawa inapasua ukuta.
 

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
1,332
2,000
Vipi kuhusu huu?
 

Attachments

 • IMG_20200811_181534.jpg
  File size
  448.2 KB
  Views
  0
 • IMG_20200811_181551.jpg
  File size
  392.7 KB
  Views
  0

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,452
2,000
Habar za huu mti ninazo.Yani hata kwa Jirani kama utakuwepo nitaukata na kuuchimbua shwaini huu
 

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
640
500
Inasemekana mti huu kabra haujaupanda inatakiwa uuchinjie kuku na damu ya kuku uiimimime kwenye shimo ambalo unataka uupande,Sijui kunaukweli gani ktk hilo
 

isaacklawa01

Member
Aug 30, 2014
78
125
Mkuu mshana kwanza hongera kwa makala zako mbali mbali zinazotupatia elimu,maarifa na kufanya tufukiche akili zetu..Swali langu ni kutaka kujua kama 'mti wa mharadali' nao ni kati ya miti chonganishi??
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
150,180
2,000
Mkuu mshana kwanza hongera kwa makala zako mbali mbali zinazotupatia elimu,maarifa na kufanya tufukiche akili zetu..Swali langu ni kutaka kujua kama 'mti wa mharadali' nao ni kati ya miti chonganishi??
huu nipe muda ili niweze kuja na majibu sahihi tafadhali
 

itara

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
2,203
2,000
Huu uzi wakati naufungua nikajua huu mti utakuwa ni ule tunaoita "mtathara" Ambao zamani kipindi tunakuwa tulijiaminisha kuwa ukiuchoma kama kuni hapo ndani nilazimakiwake, basi nilitamani sana nikauchome staffs yetu ile ya primary ili walimu wadundane...sema siku pata muda...

Ila huu ulioletwa na wazungu nikiboko
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom