Ujuaji wamkosesha dili la mamilioni mwalimu wa muziki/ nyimbo jijini Dar es Salaam

Watu km huyo zakazakazi wapo wengi sana, yaani km namuona vile na uchawi wake...
Halafu ukija kwenye utendaji au namna alivyoingia hapo azam sio kwa uwezo wake unaezakuta kapigiwa pande na mtu au shemeji yake, in short sio uwezo wake ndio umemuweka hapo...

Roho mbaya tu na ujuaji mwingi, takataka kabisa!
Ni wengi saana, huwa napita katika akaunti yake naona vile anavvyojidai mjuaji.

Watu hao ni wengi saana katika jamii zetu, ila inabidi tuwazoee tu kwa afya ya miili yetu 😂
 
Back
Top Bottom