Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Source: Tanzania Daima.

Soure: Raia Mwema.
Mpendazoe anasema;

Source: Nipashe

GAKI inamilikiwa Gasper Kileo na ni mweka hazina wa CCM mkoa wa shy. Hizi ndo siasa za Tanzania, chambua mwenyewe hapoooo. Asante SANA FMES.

Kwa waandishi wa habari,

Nafikiri hii kitu imeshapikwa tayari na mtu ni kupakua tu. Huyu jamaa Gasper Kileo anastahili kulimwa gazetini kwa kuweka hizi habari zote pamoja. Mtu kama huyu na utapeli wake wote, bado anakuwa kiongozi mkubwa sana wa CCM wa Mkoa. Huku kwetu Usukumani/Unyamwezi sijui tumelogwa?

Asante Selous kwa kuowanisha hizo habari. Ingelifaa hata unazifungulia thread zake peke yake.
From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/58021-ccj-hatimaye-nimethibitisha-it-is-for-real-8.html
 
First Lady,

Asante kwa kuonyesha njia, unajua nafasi ya first lady, kama jina lako endelea kuonyesha kwa kufuata njia... tunahitaji kuunga mkono mabadiliko japo kidogo kuelekea kuwang'oa hawa CMM.

Ladies, wakati ni wenu na kamwe hautapita, ule utafiti haukukosea, Prof Maliyamkono( Who votes in Tanzania and why?)

Kilichoongezeka sasa ni jambo jipya ambapo wamama/ wadada kama First Lady, ambao naamini ni damu mpya au changa, wameenda mbele zaidi ya utafiti wa Maliyamkono, kwa vile utafiti wake ulionyesha ni wanawake wa miaka 45 au 50 na kuendelea ndiyo wanapiga kura!! Kwa sasa hali imebadilika.

Woman of Substance, Mama Mia na wengine mu wapi kimsimamo?
 
mmh,im always dnt understand FMEs,by the way i cnt buy this,mkuu acha kutuzuga bana.
 
5. Kwamba kadi mpya za CCJ ambayo nimefanikiwa kuinasa mojawapo ukichungulia kwa mbali zina picha ya Mwalimu Baba Wa Taifa, na kwamba Mpendazoe was not in the picture ya the CCJ's master plan, lakini ameamua kwa hiari yake mwenyewe na ni a big plus!

Karibu CCJ mkuu! Kwa maslahi ya taifa letu
 
Mkuu vipi katika hao vigogo wa CCM, hakuna hata jina la kufikirika? WARIOBA, Butiku vipi? maana mpaka sasa hivi haijajulikana

isije ikawa EL, RA, Karamagi na wakaja kujitokeza dakika za mwisho!

Mkuu Waberoya,

Hapo hapana, nasema tena hapana!!! EL, RA na Karamagi sidhani kama wanaweza kuwa wanachama wa CCJ kwani CCJ ni kwa wale wanaopinga ufisadi ndani ya CCM, na sijui kama kweli EL, RA na Karamagi wanajipinga wenyewe kwani wao ndio mafisadi wenyewe. Ni bora isije ikawa!!!!!

Tiba
 
Huu ni udaku, weka 'chanzo ' cha habari zako ili tukuamini unachosema kuhusu HIKI CHAMA.
Vyama vyote vipo sawa huwezi sema ni cha 'kweli' bila kuthibitisha.
 
Mhh weshazungukana wazungu, bibi yangu alisema wazungu wametuzunguka. Akanipa habari ya kuchekesha zaidi, kisha akasema bwanangu watu hawafikiri vizuri wala hawasemi vyema juu yako Uhuni si mzuri na heshima yako ni thamani ya utu wako, halafu udaku na umbeaumbea unawafaa wanaokaa jikoni wale wanaotafuta chakula hupima na kulea mambo, kama u jasiri unakosha kikombe ili uweze kunywa maji tena. haya tunayaangalia mambo akina sisi tunayaangalia kwa sababu unaanza kuona huyu yuko raiti huyu yuko wrong.usipike ugali kwa maji ya baridi utadoda mwenye kuelewa ujumbe huu auelewe asiyetaka aoshe kioo
 
Huu ni udaku, weka 'chanzo ' cha habari zako ili tukuamini unachosema kuhusu HIKI CHAMA.
Vyama vyote vipo sawa huwezi sema ni cha 'kweli' bila kuthibitisha.
kwani yeye FMEs hawezi kuwa chanzo cha habari....kaisha kwambia kuwa alifanya uchunguzi wake kutoka vyanzo vilivyo karibu yake kisha bado anaendelea na uchunguzi wewe unataka aanze kukwambia kuwa hizo habari amepewa na Makamba Yusuph ama Rostam Aziz.
Acha haraka , hili jukwaa halikauki fact ni mambo juu ya mambo.
 
habari kama hizi zinafaa kwa shigongo..........................
Ukirusha jiwe kizani, ukisikia aaaaaaaaa! ujue limempata muhusika, wewe Akili Kichwani limekupata, this is the beginning of the end of CCM's era!
 
Hakuna chama ndugu zangu,ambacho kinaweza kuleta msisimko mbadala wa kisiasa bila kuwepo katiba mpya ya nchi.
 
hizi ni njaa tu vyama vingi vya upinzani havioneshi tija TUNATAKA MAMBO KWA VITENDO BWANA
 
unafahamu nikitaka kutengeneza jasusi wa kuweza kuchukua siri za mpinzani wangu nitamtuma mtu ambaye anaupinzani nami kwa kujifanya ni adui yangu, nasikitita kuona chama kisichoanzishwa kinakuwa na mtaji mkubwa kiuchumi sasa najiuliza ni wapi wamepata pesa hizi, na pia ukitazama wahusika wake ni wafanyakazi watihifu waliokuwa ikulu, na ikulu kuna mkataba kwa watu waliofanya pale kuendelea kutunza siri zake, mwenyekiti na katibu wa CCJ watavunja mkataba huu, ni vema waweke wazi kwamba hawatafungwa na mikataba ya ikulu kwani mmoja wao(KAYABO) bado anamkataba na ikulu, na ukionyesha nitakuwa mtihifu kwa ikulu kwa mema na mabaya niliyoyaona mpaka kufa

wanasiasa wawe macho kwani jamii inaendelea kukata tamaa

Mkuu Godwine,

Asante kwa kuueleza ukweli huu. Hata kama kina Kiyabo ni kivuli tu cha watu wazito walio nyuma yao, kama watu hawa wamewahi kufanya kazi TISS, basi nimeanza kuwa na wasiwasi na naona kuna walakini. Yasije yakawa ya Mrema na Marando!!!!

Jamani wanaowajua vizuri (undani wao) hawa viongozi wa CCJ watuletee data. Sitaki kusikia tunaingizwa mjini tena!!!

Tiba
 
habari kama hizi zinafaa kwa shigongo..........................


huyu mgeni hapa ... hajui hapa ni kamili...JAMII INTELLIGENCE UNIT ni kamili...na habari za JF ni 95% confidence interval...

...FM- mzee moto wa ememe..wa gesi lete issuez!!...nipo kimya lakini nakusoma sana ..kwa TAARIFA !!
 
Mkuu Godwine,

Asante kwa kuueleza ukweli huu. Hata kama kina Kiyabo ni kivuli tu cha watu wazito walio nyuma yao, kama watu hawa wamewahi kufanya kazi TISS, basi nimeanza kuwa na wasiwasi na naona kuna walakini. Yasije yakawa ya Mrema na Marando!!!!

Jamani wanaowajua vizuri (undani wao) hawa viongozi wa CCJ watuletee data. Sitaki kusikia tunaingizwa mjini tena!!!

Tiba

Ndio maana Tiba nilisema nyuma CCJ mie naikalia mbali kwani kuna so many facts haziko sawa unajua Russian spy system au chinese spy system hujifanya wako sawa na nyie na wako pamoja na nyie ili apate siri zenu halafu aende kuzisema kwa wakubwa wapate kukubomoeni vizuri. Sasa CCJ ina maswali mengi kuliko majibu ya kuhusu ukamilifu wake na viongozi wake. Wanaweza kuwa dhamira nzuri but unajua mtu ukisimamia kuleta jambo fulani watu watajiuliza wewe nani na hivyo basi walete rekodi zao tupate kuwajua.

Na hao vigogo nyuma wanaogopa nini? mbona wakati wa ukoloni watu walipoteza biashara zao, nyumba zao kwasababu ya kupigania uhuru wa mkoloni leo watu wanakaa vifichoni wanafanya nini kama wana dhamira ya kweli kuokoa watanzania dhidi ya mafisadi?
 
Msimu hu tutaona mengi,tusubiri hao vigogo halafu huyo Tendwa akinyime hicho chama usajili wa kudumu.nadhani hapa sasa kama kweli kuna hao vigogo kibao patachimbika kikweli.
 
MM leo mbona umewaamkia vibaya Chadema? Chadema wamefanya kazi kubwa mno katika nchi hii. Ndio chama kilichoasisi vita dhidi ya ufisadi. Chadema walipeleka hoja za ufisadi Bungeni. Wabunge wa CCM wakamzomea Dr. Slaa. Akishirikiana na wanachama wenzake, hasa Tindu Lisu, wakawataja timu ya watu 11 watuhumiwa wa ufisadi. Chadema pia wamejitahidi kurekebisha kasoro ya kukaa mjini, wanajitatangaza vijijini kupitia operation Sangara.

Chadema pia wamehimili misukosuko ya CCM wakisaidiwa na TLP na hata CUF: rejea wakati wa kifo cha Wangwe. Hata Mpendazoe ambaye amepata nguvu ya kupiga vita ufisadi ni kwa sababu ya kazi iliyoanzishwa na Chadema. Ndio maana ni vema CCJ ishirikiane na Chadema. Taarifa za ufisadi zilizokuwa kwenye mitandao zisingefika kwenye majukwaa ya kisiasa kama isingekuwa ujasiri wa Chadema. Waliuvua ubinafsi wakasema na lolote na liwe. Chadema inamchango mkubwa katika mapambano dhidi ya dhuluma yanayoendelea sasa. Hata mtikisiko katika Bunge baada ya kashfa ya Richmond ni chimbuko la kazi ya Chadema. Leo hii ni hao hao Chadema wanaopambana dhidi ya vipengele vya gharama za uchaguzi vilivyoingizwa mlango wa nyuma baada ya kikao cha Bunge. CUF wako wapi, TLP wako wapi? Je walichofanya si siasa ya uhakika. Haya waliyofanya kwa nini unasema ni hoja za kisomi tu? Kwanza watanzania sasa ni waelewa. Ukiwapelekea hoja nyepesi watakuuliza. Unakumbuka mtoto wa kidato cha pili aliyemuuliza nadhani waziri mkuu- tena kijijini: mnasema tusome tupate ajira, sasa inakuwaje mkuu wa mkoa anarundikiwa vyeo vitatu mtu mmoja, hizo ajira zitapatikana wapi?

Mkuu sasa unakatisha watu tamaa waliofanya kazi inayoonekana kwa watanzania wote. Hatusemi Chadema wamemaliza kazi, la hasha. Kwa raslimali kidogo walizokuwa nazo waendelee kujiimarisha kwenye serikali za mitaa. Nadhani hapa ndiko hoja yako ilikolala. Na ndio maana tunasema CCJ washirikiane na Chadema, waunganisha nguvu ili wawafikie watanzania wengi zaidi hasa wa vijijini.
chadema haikuanza magazeti yalianza nenda kwenye archives ukaone je hapakuwapo na habari kuhusu epa na tena kabla slaa hajapewa madokumenti ya kuzungumza wacheni kujipa vikrediti kwamba nyie ndio noma! uwiiiiiii! na tena hakuna vitu vilivyoingia mlango wa nyuma soma maelezo ya mwanasheria mkuu wa serikali na taratibu za kuandika kanuni juu ya hoja za wabunge za sheria zinazotakiwa tusiwe tunaimba bila kuwa na breki ya kuangalia kama tunaimba kw atoni inayotakiwa mhhhh shiiii au ndio kusema upepo wa kusi unazuia kaskaz nini
 
Msimu hu tutaona mengi,tusubiri hao vigogo halafu huyo Tendwa akinyime hicho chama usajili wa kudumu.nadhani hapa sasa kama kweli kuna hao vigogo kibao patachimbika kikweli.

Watapewa usajili wa kudumu ikiwa wametimiza masharti husika na sio kwasababu wana vigogo kwa nyuma. Kimsingi kwanza wangelitimiza masharti ya kuwa chama cha kudumu ndipo waanze kusema kuwa wanafanyiwa hujuma. Pili FMES amesema kwasababu zilizopo CCJ ni chama kinachotaka kupambana na mafisadi sasa swali langu ni je utapambana na fisadi ikiwa ni fisadi? tunaomba hao vigogo wajitokeze they have nothing to loose kama kweli wana uchungu na nchi hii daima watakumbukwa katika historia.

Mie binafsi namsifu sana Mpendazoe ameonyesha ujasiri wa hali ya juu but ningelimsifu zaidi kama angelienda chama chenye kufahamika zaidi kama Chadema. Kwani inawezekana CCJ ikawa hao hao CCM but it is a distraction of mind za watanzania from wafisadi to mpasuko wa CCM ili wapate kushinda vizuri.
 
- Mkuu wangu Chuma huu ni mtizamo wako according to what you know na sisi wengine tunajadili kulingana na what we know, hakuna kinachoharibika kibaya ni kuusimamisha mjadala kwa sababu ya kukata tamaa kabisa, sisi wengine hatujakata tamaa maana histroria iko wazi sana tena ya dunia nzima kwamba hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho, ninasema for what I know tayari ni kwamba CCJ ni moto wa kuotea mbali tena sana! na wewe nimekusikia sana!

- Lakini CCJ is for real! na ninaamini kwa 100%! kwamba watasaidia sana kumuamsha tembo mkubwa CCM, maana yaliyojiri jana huko behind the scene usiombe kuyajua kuhusiana na Mpendazoe kujitoa!

Respect.


FMEs!
...ccm wala siyo tembo,hawastahili...they r very light more than a feather!!!! watz bado tu hawajafahamu hilo, ndio maana ni waoga kama wewe,hata kivuli tu mtu anaweza vunja miguu kwa hofu!!!
 
Back
Top Bottom