Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

- Wakuu wote JF heshima mbele, mengi sana yametokea toka last time lakini inahitajika some slow speed to katchup na tulipoachia, ingawa huu mjadala sio very ideal ngoja tuone where we are!

Lakini glad to be back, heshima kwa Invisible na utawala mzima wa JF bravo sana!

FMEs!

Bravo Mkuu,

Hii habari iliyotoka kwenye source gani?
 
Selemani.. hiyo ndiyo maana ya siasa; huko Japan, baadhi ya mawaziri na viongozi wa kisiasa wamejitenga na chama chao na wanajiandaa kuanzisha chama kipya na kitashiriki uchaguzi mkuu miezi michache baadaye; hali ilikuwa hivyo hivyo huko SA ilipoanzishwa COPA.. so.. ni sehemu ya siasa..

So was in Kenya in 1992, 1997, 2002 and 2007. Nothing unusual here. Sema watanzania tumezoea vya kunyongwa, tukichinjiwa tunakunja uso!!
 
.......na siku/tarehe gani.........!

"The Express" ni gazeti la Tanzania linalochapishwa Dar. Siyo gazeti la Kenya. Limekuwepo kwa muda ingawa sina hakika kwa miaka mingapi. Unaweza pia ku Google gazeti hilo.

Ifwatayo ni article yote iliyochapishwa kuhusu CCJ na viongozi wengine ambao, kutokana na taarifa ya gazeti hilo, wanategemea kujiunga na chama hicho. Ilichapishwa April Fool's Day kwa sababu zao. Important things happen on April Fool's Day just as on any other day.


Thursday April 08, 2010

CCJ scoops four cabinet ministers

Published on: Thu, 04/01/2010 - 8:03am

The Express Reporter

FOUR Cabinet Ministers in the fourth phase government have confirmed that they will join the newly formed Chama Cha Jamii (CCJ) within a short time to come, in a wave of showing dissatisfaction with their party CCM.

Speaking on condition of strict anonymity, a cabinet minister from the Lake Zone, who was once prominent in the third phase government, said that he has reached a point where he can no longer tolerate the CCM’s dilly-dallying.

“Yes it is true that I will not be with the Chama Cha Mapinduzi for long because it does not serve the citizenry any more, it is for the rich people. I was so eager to continue serving under the same CCM banner, but I think at this juncture I must call it quits.”

It is now clear that this shift of allegiance will abruptly shake the CCM top echelons, who have already announced that they are not scared by any crossing over to the Opposition.

This was after Kishapu MP Fred Mpendazoe decided to relinquish his post and surrender his terminal benefits on Tuesday this week. It was earlier speculated that there are CCM bigwigs, “vigogo”, who will soon join the CCJ.
Another minister who is expected to join hands with the round of joining the CCJ is one from Southern Tanzania who said that he will not stand on the CCM ticket because of the fact that the party has lost what he termed “vision and appeal to the rank-n-file citizenry”.

The minister, who once stood for the presidency, said that he has been ‘frustrated’ by the operations of his party when it comes to dealing with serious cases like corruption and negligence, characteristic of the single era.

“I am fed up, I would rather go back to my former career because there I had a lot of respect and I could easily maintain my ethics, now I can’t, I have to defend a contaminated system,” he confirmed.

Another prominent minister who has decided to follow suit is one who in several corners has been closely associated with the former prime minister, who also had once stood for the presidency.

The minister, whose gender and region of origin are kept secret for the time being, claims that this phase has turned some of them ‘redundant’ for reasons that are not clear.

“As you can see the Cabinet has been turned into a toothless lion due to internal party frictions that have ravaged it over the past four years, this is unhealthy for my political future”, said the minister.

A former university lecturer and distinguished academic is one minister who has decided to call it quits with the CCM. He said that he does not receive the same respect from fellow academics due to a number of misdemeanors that his party and government have committed.

But probably most interesting is the fact that one MP, closely associated with the Richmond probe committee, is amongst those who have decided to join hands with the newly founded party.

The MP, who was seen on Monday night this week with Mpendazoe a few hours before he declared his decision to cross over to CCJ, said he has nothing to lose if he was to join the opposition.

He said that he would rather go back to his former career or even establish his own business. “I am a professional with distinguished academic qualifications, I can open my own business and earn my daily bread through my profession, I can create a lucrative business,” he said and hung up.

Another MP who has always been associated with the CCJ denied rumours that he is amongst those who will cross over to the new party. He called such a rumour “cheap politics for the mediocre”, and hung up.

But while this was going on, another MP who has been identified with the crusaders against corruption in this country said that it was worthless to join an Opposition which is not united.

“I do not see any future with an Opposition which has failed for over ten years to galvanize itself and form a formidable power base that will bring real challenge to the CCM, it’s a waste of time to join such a party”, he said.

He showered praise on his party boss President Jakaya Kikwete whom he termed a true democrat. He defended him on the grounds that he has taken sufficient measures to combat corruption in this country.

He elucidated his argument by the fact that now some grand corruption cases are going on in the courts, an indication that his boss is serious about the anti-sleaze crusade.

This is not to deny the fact that the Parliament figurehead is amongst those who are speculated as being about to shift to the CCJ, however The Express failed to locate him for comment.

Asked for his comments, a lecturer in political science at the University of Dar es Salaam said that CCJ will shake awake the election euphoria in the forthcoming democratic exercise to take place later this year, but after the election it will just subside like its predecessor parties.

The seasoned lecturer said the best way for the existing parties is just to form an alliance and challenge the gigantic CCM, rather than establish new parties.
“A proliferation of Opposition parties is unhealthy, it is a sad story. I can in no way expect them to challenge the CCM which has all the resources at its disposal”, he concluded.

While this is happening with the CCM and the CCJ, other opposition parties have been left dumbfounded as they do not know the political game currently going on.
“I doubt whether the CCJ is a genuine opposition party, I think this is just a political ploy that is calculated to divert the attention of Tanzanians from the existing Opposition parties.

The leaders said they have revealed their intention to coincide with April 1 because it is a popular international day, and will give this news the needed validity.
 
HIvi kwanini CCJ inawaumiza kichwa sana? wapeni usajili wa kudumu muone kama ni a hoax!! gademu!

Heshima yako mkuu kweli wanaudhi wanakiponda lakini usajili hawakipi kwani usajili mwisho lini jamani mbona naona kama siku zinaisha tu
 
Thanks, hii inatujuza wote ili tuwe na more alternatives come October 2010.
 
Kitila, kuna watu hapo mlimani wanaonkuwa kuanza ku-expire. Kuna baadhi ya maprof wana expire. Nadhani mmemsikia Palamagamba Kabudi akisema Mrema aliondoka CCM iko palepale. Sijui maana yake nini. Pamoja na kuwa yeye ni Profesa inaonekana hajui kuwa CCM ya 2005 ni tofauti sana na ile ya 1985. I am suspecting that some credentials and titles a few people posses at the hill, needs somekind of msasa.

Kama hata maprofesa wetu badala ya kuwa watu wa msaada wanakuwa tatizo, i wonder whether we really need them.
 
kuna siku ilisemwa humu kuwa huyu mtanzania mwenzetu anaonekana kama IQ yake ni below 70. KUna waliomtetea kuwa akiwa na watu fulani basi akili zake zinakuwa kama za watu hao, lakini akiwa na vichwa basi na yeye ni kichwa. I traide to believe that but he still proves to be in same category. I wonder whether he sees where this country is going.
 
"The Express" ni gazeti la Tanzania linalochapishwa Dar. Siyo gazeti la Kenya. Limekuwepo kwa muda ingawa sina hakika kwa miaka mingapi. Unaweza pia ku Google gazeti hilo.

Ifwatayo ni article yote iliyochapishwa kuhusu CCJ na viongozi wengine ambao, kutokana na taarifa ya gazeti hilo, wanategemea kujiunga na chama hicho. Ilichapishwa April Fool's Day kwa sababu zao. Important things happen on April Fool's Day just as on any other day..................

agreed..............niliuliza makusudi hilo swali...........kwani nilifahamu hilo swala liliandikwa siku gani.............Wewe kama Nyaturu.............ukiisoma hiyo habari.............je waweza kui-categorize kwa uelewa wako kuwa ni "Important thing that happened on a fool day?"..................

Asante kwa kutuwekea source................
 
kibonde sijui ana matatizo gani! kuna mambo mengi huwa anayaongelea mpaka anapitiliza, nadhani inafaa awe anakumbushwa. wakati mwigine ninapokuwa kwenye daladala jioni kwenye foleni natamani hata nimwambie dereva abadilishe radio lakini ndio hivyo tena.
 
Msiumize vichwa kuwajadili hao Clouds, lile ni kundi la wahuni waliopata nafasi kupata masafa ya mawasiliano kuzungumza hovyo hovyo bila kutumia vichwa. Kama Mpendazoe kajadiliwa na vyombo vyote vya habari kuhusu kuhama kwake CCM basi yeye ni maarufu katika siasa (kigogo) maana CHAKAZA akichukua kadi ya CCJ hakuna atakayejali hivyo siwezi kuingia ktk kundi la vigogo. Hilo liko wazi.
 
Mh! makubwa eti wanachama wanajaa kwenye handbag)): huyu kibonde ni mshakunaku kweli!!..Ndo zao lkn claudz
 
hilo la kuungana aliwezekani kamwe kwani uroho wa madaraka umewatawala
 
Hivi kibonde maanake si ni mtu hoi kihali na kiakili? Sasa mbona mnashughulika na kibonde humu JF?!!
 
Back
Top Bottom