Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Akina mzee Mwanakijiji ndio vigogo wa CCJ, hapo changa la macho tupu.
Better enlighten us. Utueleze unavyomfahamu Mwanakijiji ili tuweze kuamini unachosema. Sijui kama kuna mahali ambapo Mwanakijiji amejitambulisha/kutambulishwa kwamba yeye ni kigogo wa CCJ. Uwewesekaji wa aina hii una lake jambo!
 
HIKI CHAMA KIMEKUJA KUUA "CHADEMA".....!!!! Watu walikuwa Busy na Operation Sangara ya kuwaamsha watu, Matokeo yake wanaletewa Mwanasesere...!!! Even the so called Great Thinker wanakuwa "Happy" Kusambaratishwa...!!!

Hata Kama tuna Uhuru wa Kukuza Demokrasia, kuwa na Vyama 19 vilivyosajiliwa ni Upotezaji wa Rasilimali na Kuwaondoa wananchi ktk Ajenda Maalum
 
Siyo lengo la CCM au CCJ kuimarisha CHADEMA; na tutakuwa watu wa wa ajabu kama tutapanga mipango yetu tukifikiria jinsi ya kuimarisha chama ambacho hukubalinani nacho kisera. Chadema ni chama cha siasa na kinatakiwa kujiuza na kujenga hojza kama kinavyofanya hakipaswi hata chembe kutegemea chama kingine kukiimarisha.
 
Naombeni contacts za hao kina Kibonde nije kuzungumzia CCJ!!!! Nadhani wamezoea mteremko!!!
 
Akina mzee Mwanakijiji ndio vigogo wa CCJ, hapo changa la macho tupu.

nadhani hii huwa haikubaliki --- unepoimplicate mtu uwe na uhakika la sivyo kuna taratibu zake JF endapo mtu ataamua kuripoti hii post
 
nadhani hii huwa haikubaliki --- unepoimplicate mtu uwe na uhakika la sivyo kuna taratibu zake JF endapo mtu ataamua kuripoti hii post

hahahah.. kuna analogy ya aina fulani kati ya CCJ na Mwanakijiji.. wote wawili ni hoaxes.. watu wadogo, hawana mpango, wanashukiwa kuwa kuna wakubwa nyuma yake, na kuwa ni irrelevant.. lakini wanasumbua watu wazima kweli... wakuu wanafikiria CCJ wafanye nayo nini na wengine wanajiuliza Mwanakijiji wafanye naye nini.. so sometimes it comes with the territory. Ila ukiona watu wazima wanasumbuliwa na vitu vidogo... basi ujue tuna tatizo kubwa zaidi katika uongozi wetu kuliko tunavyofikiria.
 
tatizo letu watanzania ni uvivu wa kufikiri na kutafuta ukweli, we are the "short-cut" people!!! tunasahau wajibu wetu kwamba hata kama ni skeptics basi ni lazima tufanye homework zetu

we need to change our mindsets hasa kwa mwaka huu
 
Mwenyekiti na katibu wa CCJ, leo walikuwa wageni wa WAPO redio ktk kipindi cha meza ya busara, nilicho kipata kutoka kwao, zaidi ya kunipotezea muda wa kuwasikiliza, ni kubaini udhaifu mkubwa wa kujieleza na kujibu maswali ya wasikilizaji na mtangazaji,

Baadhi maswali yalikuwa hivi;

-Ni kwa nini umeanzisha hiki chama? akashindwa kujibu,
-Vyama viko 18 umeona dosari gani ktk vyama hivyo? akajibu hakuna dosari ila CCM inafanya vizuri na vyama vingine siwezi kuvisemea
-mmeanzisha ccj mko wangapi, jibu tuko wawili tu,
-ofisi zenu ziko wapi, akajibu ni siri yetu
nk

Kutokana na majibu hayo na udhaifu wa kujieleza, msikilizaji mmoja amesema kuwa hao wametumwa kujitokeza kwa niaba ya wengine ndio maana hata kujieleza wanashindwa, pia vyama vyote majina yao ni ya kiingeleza ispokuwa CCM na CCJ, alipoulizwa kuna siri gani ktk hili hakuweza kutoa jibu la moja kwa moja.

Ktk
haya yote CCJ tunaoinaje sisi?

Vipo vyama vingine vyenye majina ya kiswahili kama: Chausta (haki na ustawi), Sauti ya Umma (SAU), Demokrasia Makini, CHADEMA (demokrasia na maendeleo), nk. Kwa hiyo hata wewe unayeshangaa kumbe huna taarifa.

Lakini hiyo CCJ kweli ni kama mzaha fulani, hakina umakini wowote, na hao waliomo humo ingekuwa ule mziki wetu wa bongofleva tungewaita 'underground', hawana impact, labda miaka 5 ijayo kama wataongeza bidii.
 
mie baada kuona yule mwenyekiti wao kila siku anakabwa na kunyang'anywa nyaraka kama anavyodai ,nimeona hawa jamaa ni wasanii tu na wako kuwapotezea mda watanzania tu na kuvuruga uchaguzi.
 
hahahah.. kuna analogy ya aina fulani kati ya CCJ na Mwanakijiji.. wote wawili ni hoaxes.. watu wadogo, hawana mpango, wanashukiwa kuwa kuna wakubwa nyuma yake, na kuwa ni irrelevant.. lakini wanasumbua watu wazima kweli... wakuu wanafikiria CCJ wafanye nayo nini na wengine wanajiuliza Mwanakijiji wafanye naye nini.. so sometimes it comes with the territory. Ila ukiona watu wazima wanasumbuliwa na vitu vidogo... basi ujue tuna tatizo kubwa zaidi katika uongozi wetu kuliko tunavyofikiria.
nakubaliana na wewe kabisa mkuu,sijawahi kuona viongozi ambao hawajiamini duniani kama viongozi wetu watanzania.hawajiamini kwa vile wengi wao wamepata nafasi kutokana na urafiki na sio uwezo wao wa kutenda kazi za jamii,matokeo yake ndio ufisadi kila kona kwa vile wanajua baada ajira waliopewa kwa urafiki maisha yao mtaani yako katika utata kama watatakiwa kuishi kama mtanzania wa kawaida ambae ana kula kwa jasho lake.

tutaendelea kuongozwa na viongozi wasio kuwa na malengo mpaka lini?
 
enough with CCJ marketing sasa, tuone matendo sasa
 
mwanasiasa makini hawazi kujificha, ni lazima jamii ifike wakati wachambue kwamba siasa
za tanzania ni maigizo, kwani kwanini chama kipya kiweke nguvu zake zote kwenye kusubiri
wanachama walioasi kutoka chama kingine, ni lazima wanasiasa watambue kwamba ni kitu
cha hatari kucheza na hisia za jamii kwani ni chanzo kikubwa cha machafuko katika nchi
mbali mbali, nadhani tufike wakati tujiulize kwanini chama hiki kilichelewa kuomba usajili
mpaka wakati wa kampeni? nini chanzo cha fedha zake? kwanini kiwe na uhasama mkubwa
na wafalme wanaotawala?
nadhani tufike wakati tutambue ni nini cha kufanya kwani siasa za sasa hazina uelekeo
lazima wazibadilishe au wabuni njia mbadala
 
hahahah.. kuna analogy ya aina fulani kati ya CCJ na Mwanakijiji.. wote wawili ni hoaxes.. watu wadogo, hawana mpango, wanashukiwa kuwa kuna wakubwa nyuma yake, na kuwa ni irrelevant.. lakini wanasumbua watu wazima kweli... wakuu wanafikiria CCJ wafanye nayo nini na wengine wanajiuliza Mwanakijiji wafanye naye nini.. so sometimes it comes with the territory. Ila ukiona watu wazima wanasumbuliwa na vitu vidogo... basi ujue tuna tatizo kubwa zaidi katika uongozi wetu kuliko tunavyofikiria.

Wao! they judge the book by its cover and not the content. It is not the age that break the yolk but the anointing...(Ref. Pr. Lucy Natasha); Its not the big body that passes the exams but the brain of a personality whether big or small....Its not the soul that defeat the demons but the spirit of the living God so shall I conclude; its not by power no mighty but through the spirit of the living God... Acha wanafiki tuwaone siku CCJ iki win election kama Muhabi atakua hanampango. Mna subiri vigogo kutoka wapi he is the chairperson na Katiba na sera ya chama vinajieleza vizuri bado hamwamini mpaka msikie mafisadi wamehamia ndo naninyi muamini kweli ni chama....Please how can I get a card I want to join the party and if they are willing I can contest for presidency this time to prove to Shekhe Yahaya that my God is superior to his....Kauli mbiu yangu itakua nipeni umaskini wa mawazo yenu niwarudishie utajiri wenu kupitia nguvu zenu wenyewe. I can do everything through the power that worketh in me.
 
nadhani hii huwa haikubaliki --- unepoimplicate mtu uwe na uhakika la sivyo kuna taratibu zake JF endapo mtu ataamua kuripoti hii post

natofautiana na wewe mkuu................ uthibitisho upo na mwankijiji mwenyewe alishajitangaza hivyo!!!.........................
 
CCJ Itarudisha watu wengi CCM uliko tunavyodhania, CCM itashindwa na Nguvu ya Umma na siyo Chama au watu binafsi, Chadema walikuwa karibu kuinua hiyo nguvu ya umma naona CCJ wanataka kuja kuiharibu.

Kibonde alikuwa anatetea trenda yake ya kuchangisha billion 40 jamani mlitaka sasa afanyeje jamani?
 
CCJ wamejitengua from CCM,jina tu linatuonyesha hivyo,kwa jicho la tatu unaona bayana kuwa hapa kuna mpango wa ku punguza kura zilizokuwa ziende kwa chadema na CUF ambazo zingepigwa na vijana wasioridhika na CCM.

CCJ hawana jipya zaidi ya kukosoa chama cha CCM ili kudanganya wasiochunguza mambo kwa kina kuwa wao ni upinzani wa CCM.

tungependa kuona CCJ wanaweka financial statements zao bayana kwa uwazi,hapo ndipo utaona kuwa vyanzo vya mapato ya ccj ni CCM by proxy.

Hatudanganyiki,wazalendo tumefunguka macho.
 
Back
Top Bottom