Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Ni wazo zuri ndugu but tunarudi pale pale katika umoja lazima watu wajulikane ni akina nani? chadema tunamjua mzee mtei na Mbowe, CUF yuko Lipumba na Seif, NCCR Mageuzi na wengineo wengi. Haya tuambie CCJ ni akina nani? Historia zao zikoje.

Hivi unadhani wewe utaungana na mtu ambae haumjui mtaaminiana? Kama ana nia kuwavuruga vuruga je?[/QUOTE]

Mkuu mdodoaji,

Niko na wewe katika hili. Kama vigogo walio nyuma ya CCJ bado wanafanywa siri kwa sababu za msingi, sawa hilo nalikubali lakini mbona historia ya huyu Kiyabo haitolewi watu tukamjua? Kuna mtu amedokeza hapa kwamba alikuwa ni mfanyakazi au bado ni mfanyakazi TISS. Sasa kwa ukweli huu mdogo tulionao tayari, mtu atatokaje TISS aazishe chama na TISS nasikia ukishakuwa huko ni kifo tu kinakufanya uache kuwa mfanyakazi huko halafu sisi tumuamini kwamba hii sio janja ya CCM?

Tunaomba muongozo hapa!!

Tiba

- Mkuu heshima mbele sana, hapa sisi wote ni member wa JF sasa tunachojaribu kufanya kama kawaida yetu ni kuwa one step ahead na news of the day, kama utakumbuka majuzi kimetokea kifo cha Mzee Ngaiza hakuna gazeti wala media ya bongo iliyosema lakini hapa tuliweka, muongozo naamini unaweza kutolewa na wahusika wa CCJ ambao sidhani kama tunao hapa JF, whatever is happening ndio what we have as far as Tanzania goes,

- Na wengi wetu tunaepuka sana kuwa kama wapenzi wetu wa mipira bongo yaani kushangilia ligi ya UK, badala ya ligi ya bongo, ndio maana tuna deal na what we have lakini hatukosi usingizi na what we do not have! na in the process tunajaribu kuwa progressive!

Respect.


FMEs!
 
asante sana bro,kuanzia leo,will not take your topic serious yaani ntakua natupa kapuni km sina akili nzuri vile,good that kuna ignore list.

- It is just demokrasia at work unakaribishwa sana tena anytime! na wenye maamuzi kama haya unayoahidi huwa hawasemi wanafanya tu!

Respect.


FMEs!
 
Hawana lolote hao clouds wanapelekwa tu,kama mi ng'ombe,njaa zao zitawaumiza si unakumbuka jinsi walivyoendekeza njaa mpaka wakachukua ZINDUKA ile deal ya SUGU,wakiongozwa na Vasco Da Gama!!
Chiligati kupitia Clouds FM amekita CCJ kuwa ni timu ya Daraja la Nne......!
 
FMES umekuwa ukirudia sana kuhusu huu upepo ambao haujakaa sawa ni upepo gani huu? Am supporting you info dissemination in JF lakini kubaliana kuwa kutokuwepo kwa baadhi ya ufafanuzi unaharibu ladha ya habari kuna kuwa na daraja somewhere ambako linazuia taarifa zisifike kama zilivyo na hii ni kusema kuwa mpaka sasa watu wanajadili habari nusu hapa au habari ya kusadikika ni hatari kweli!
 
FMES umekuwa ukirudia sana kuhusu huu upepo ambao haujakaa sawa ni upepo gani huu? Am supporting you info dissemination in JF lakini kubaliana kuwa kutokuwepo kwa baadhi ya ufafanuzi unaharibu ladha ya habari kuna kuwa na daraja somewhere ambako linazuia taarifa zisifike kama zilivyo na hii ni kusema kuwa mpaka sasa watu wanajadili habari nusu hapa au habari ya kusadikika ni hatari kweli!

- Sijakuelewa mkuu exactly unachosema, eti unasema nini? Si nimesema kwamba upepo ukikaa sawa nitaweka, sijaweka kwa sababu upepo haujaka sawa, tatizo liko wapi mkuu?

Respect.


FMEs!
 
Nendeni huku mkajadili mambo yenye maana na mstakabali na taifa lenu, haya ya CCJ si watakuja wakati ukifika kwa nini tunataka wote kuwa Sheikh Yahya?
 
Kwa infrastructure ya Tanzania na hali halisi ya Watanzania hakuna uwezekano wa CCJ kuwa chama mdadala, yaani mara tu baada ya uchaguzi wa mwaka huu, hata kama NEC ya sisiemu ikikatika katikat vipande viwili vilivyo sawa.

Mpinzani wa kweli angeshajiunga na CHADEMA long time, wengine wote waganga njaa na vyeo.

Lets wait & see, time will tell

Kasheshe,

Kama wantakao imarisha CCJ watakuwa wenye nguvu ya hoja toka CCM, believe mabadiliko yapo. Kumbuka hawa watakuwa ni watu waojua janja ya CCM: hili monster linaonekana kufika mwisha.

Respect to FMES. We are waiting.
 
Nendeni huku mkajadili mambo yenye maana na mstakabali na taifa lenu, haya ya CCJ si watakuja wakati ukifika kwa nini tunataka wote kuwa Sheikh Yahya?

Mkuu,tutake radhi kufananisha vitendo vyetu vya kujadili mustakabali wa taifa letu na vya sheikh yahya
 
- Sijakuelewa mkuu exactly unachosema, eti unasema nini? Si nimesema kwamba upepo ukikaa sawa nitaweka, sijaweka kwa sababu upepo haujaka sawa, tatizo liko wapi mkuu?

Respect.




FMEs!

Tatizo ni huo upepo unaotatanisha mkuu, ni upepo wa aina gani? Mpaka sasa naheshimu sana mchango wako na utumishi wako uliotukuka ktk JF katika kutoa taarifa lakini je huoni kuwa hawa watu amabo mpaka sasa unawaita matomaso wana mantiki pale wanapokutwa na kigugmizi ja kujadili kutokana na kuwa habari iko half informed? So far ndo maana nazidi kusema kuwa mpaka sasa watu wamejadili taarifa ya kusadikika je utakubaliana na hilo?
 
Chiligati kupitia Clouds FM amekita CCJ kuwa ni timu ya Daraja la Nne......!

Sofapaka timu ya soka Kenya ilianza from nowhere na kupanda madaraja yote mpaka ubingwa wa Kenya na Runner up wa Tusker Cup, Chiligati anataka kuwa waziri wa Iraq wa Habari jina limenitoka, majeshi ya marekani yako baghdad yeye anasema wamerakani wanakufa kama kuku.

Chiligati wake up, nyakati nyingine hizi ,sio zile ulizozoea na unazodhania wapiga kura wa leo hawajawahi kuona raha ya CCM bali karaha tu na ndio maana walijitokeza wengi kujiandikisha na kwa kuona mambo yako mrama Tume ya uchaguzi waziwazi wamedhulumu vijana kwa kukataliwa kuandikishwa,
 
Unajua naona kuna dalili thread za CCJ kuwa ndefu sana au zile za wabunge kutoka CCM coz watatoka wengi
 
uwiiiiii usitake nizimie mie ..Seleliii kweli?mhh haya ngoja tusubiri
 
I find it ironic that CCJ has been started on ELECTION YEAR, with MPs that were subjected to face tough primaries. Not mentioning the fact that EPA, RICHMOND, and other kashfas happened years ago. I don't know if we want to award opportunist politicians who follows up a populist tone.

Senti zangu mbili hizo-
 
I find it ironic that CCJ has been started on ELECTION YEAR, with MPs that were subjected to face tough primaries. Not mentioning the fact that EPA, RICHMOND, and other kashfas happened years ago. I don't know if we want to award opportunist politicians who follows up a populist tone.

Senti zangu mbili hizo-

Selemani.. hiyo ndiyo maana ya siasa; huko Japan, baadhi ya mawaziri na viongozi wa kisiasa wamejitenga na chama chao na wanajiandaa kuanzisha chama kipya na kitashiriki uchaguzi mkuu miezi michache baadaye; hali ilikuwa hivyo hivyo huko SA ilipoanzishwa COPA.. so.. ni sehemu ya siasa..
 
Kabla hata CCJ hawajaenda kwa Msajiliwa Vyama vya Siasa nilipendekeza kwamba kwa vile misimamo na malengo yao yalifanana sana na ya CHADEMA, ingefaa wanachama wake waingie CHADEMA. Niliendelea kueleza kwamba hata kama kuna areas chache ambapo kuna tofauti kidogo, Uongozi wa Chadema sio rigid na kwamba compromizes could be struck in order to strengthen opposition versus CCM.Kilasara
 
FOUR Cabinet Ministers in the fourth phase government have confirmed that they will join the newly formed Chama Cha Jamii (CCJ) within a short time to come, in a wave of showing dissatisfaction with their party CCM.



1. Speaking on condition of strict anonymity, a cabinet minister from the Lake Zone, who was once prominent in the third phase government, said that he has reached a point where he can no longer tolerate the CCM’s dilly-dallying.“Yes it is true that I will not be with the Chama Cha Mapinduzi for long because it does not serve the citizenry any more, it is for the rich people. I was so eager to continue serving under the same CCM banner, but I think at this juncture I must call it quits.”
It is now clear that this shift of allegiance will abruptly shake the CCM top echelons, who have already announced that they are not scared by any crossing over to the Opposition.




This was after Kishapu MP Fred Mpendazoe decided to relinquish his post and surrender his terminal benefits on Tuesday this week. It was earlier speculated that there are CCM bigwigs, “vigogo”, who will soon join the CCJ.



2. Another minister who is expected to join hands with the round of joining the CCJ is one from Southern Tanzania who said that he will not stand on the CCM ticket because of the fact that the party has lost what he termed “vision and appeal to the rank-n-file citizenry”.The minister, who once stood for the presidency, said that he has been ‘frustrated’ by the operations of his party when it comes to dealing with serious cases like corruption and negligence, characteristic of the single era.
“I am fed up, I would rather go back to my former career because there I had a lot of respect and I could easily maintain my ethics, now I can’t, I have to defend a contaminated system,” he confirmed.




3. Another prominent minister who has decided to follow suit is one who in several corners has been closely associated with the former prime minister, who also had once stood for the presidency.
The minister, whose gender and region of origin are kept secret for the time being, claims that this phase has turned some of them ‘redundant’ for reasons that are not clear. “As you can see the Cabinet has been turned into a toothless lion due to internal party frictions that have ravaged it over the past four years, this is unhealthy for my political future”, said the minister.




4. A former university lecturer and distinguished academic is one minister who has decided to call it quits with the CCM. He said that he does not receive the same respect from fellow academics due to a number of misdemeanors that his party and government have committed.



But probably most interesting is the fact that one MP, closely associated with the Richmond probe committee, is amongst those who have decided to join hands with the newly founded party.
The MP, who was seen on Monday night this week with Mpendazoe a few hours before he declared his decision to cross over to CCJ, said he has nothing to lose if he was to join the opposition.
He said that he would rather go back to his former career or even establish his own business. “I am a professional with distinguished academic qualifications, I can open my own business and earn my daily bread through my profession, I can create a lucrative business,” he said and hung up.

- Wakuu wote JF heshima mbele, mengi sana yametokea toka last time lakini inahitajika some slow speed to katchup na tulipoachia, ingawa huu mjadala sio very ideal ngoja tuone where we are!

Lakini glad to be back, heshima kwa Invisible na utawala mzima wa JF bravo sana!

FMEs!
 
Back
Top Bottom