- Wakuu wote JF wasalaam sana, jana niliahidi kupekua kila mahali hapa nyumbani on exactly nini kinaendelea na kinachofanyika, kuhusu hiki chama kipya CCJ yaani the talk of town, toka jana nimekuwa nikihaha kuatufa the dataz kuhusiana na CCJ na niliahidi kwamba nitasema wazi hapa my findings, ni kwamba:-
1. Nimeweza kuthibitisha na ninasema with my clear conscious kwamba CCJ ni for real na ni a very serious political party, chenye nia njema sana na taifa so far na kwamba kikipata registration kitasimamisha mgombea urais, the dataz ni kwamba patawaka moto na inaeleweka tayari huko Magogoni!
2. Nimegundua kwamba ni kweli nyuma yake kina viongozi wengi sana wenye nguvu sana na siasa za sasa za taifa letu.
3. Nimegundua kwamba Mpendazoe, hakuwa kwenye line ya kufukuzwa isipokuwa uzembe wa viongozi wa juu sana katika taifa letu ndio umesababisha "akawaponyoka" kabla hawajamaliza kufikiria what do do with him kwani walishafahamishwa kwamba alikuwa na "mpango" kwa hiyo kwa habari zote za dataz nilizonazo, ninathibitisha kwamba kuondoka kwake jana lilikuwa pigo kubwa sana huko "ndani" na kumeleta mshituko mkubwa sana kwa Wakulu na sasa wanahaha kufuatilia nani wengine wako njiani!
4. The dataz ni kwamba CCJ is so solid kwamba ofisi yake ya HQ ni full funrnished ikiwa na mtambo mmoja wa ajabu sana na wa kwanza Africa nzima, ambao utaweza kuwasajili wanachama wapya papo kwa papo kupitia njia ya Mtandao.
5. Kwamba kadi mpya za CCJ ambayo nimefanikiwa kuinasa mojawapo ukichungulia kwa mbali zina picha ya Mwalimu Baba Wa Taifa, na kwamba Mpendazoe was not in the picture ya the CCJ's master plan, lakini ameamua kwa hiari yake mwenyewe na ni a big plus!
6. Kwamba kuna "mzito" mmoja ambaye kikatiba hahusiki na usajili wa vyama vya siasa, lakini amelishikila faili la usajili wa CCJ kwa siri sana, badala ya kuwepo ofisini kwa Tendwa! na Yes I said it kuna kigogo mmoja amelishikilia faili la CCJ nyumbani kwake na anatembea nalo! kwa leo ninahifadhi jina lake!
- Well samahani sana wakuu kwa sasa naomba nisimame hapa kwanza, upepo ukikaa sawa nitamwaga a lot more na hasa majina ya who is who behind CCJ, yes ninayo yote sasa subira yavuta heri, maana upepo hauko sawa sasa hivi na this CCJ thing!
Respect.
Field Marshall Es! ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!