'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Subiri hayo maelekezi ndo ujue una hoja ya kuanzisha Uzi au la. Ewura na Sumatra hulalamiki. Hapa umeguswa nini ?

UMENENA VYEMA MAANA YALE MABUS NA DALADALA HAMNA MTU ALISAIDIWA KUNUNUA, acha tuondoe hizi double standard tuwe na elimu bora nyanja zote
 
jamani nampongeza rais sana kwa hili, ni kweli shule binafsi mnatoa elimu nzuri na wazazi tunaipenda , kuna shule moja ipo hapo magomeni nimempeleka mwanangu wa miaka minne anaanza nursery ada tsh. 2,000,000 kwa mwaka bado usafiri. Jamani

sawa tunajua umuhimu wa elimu lakini hizo sijui nani anawapangia ? Lazima mpate mwongozo toka serikaline , tulia mkuu isome number taratibu acha jazba.

usipate tabu kiongozi. Okoa hela yako. Huyo mtoto wako mtoe hapo magomeni mpeleke shule ya serikali kule elimu inapatikana bure, bila malipo. Au labda hutaki elimu ya bure?!
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Naona wamekushika pabaya mlizoea kujipangia ada mnavyotaka
 
Hahaha naona kakugusa sana na hizo ada za shule. Mlizoea kupandisha kiholela holela kama vile nchi haina kiongozi sasa mtaisoma namba. Tulia uchek gem livyokuwa sasa mwaka huu
 
usipate tabu kiongozi. Okoa hela yako. Huyo mtoto wako mtoe hapo magomeni mpeleke shule ya serikali kule elimu inapatikana bure, bila malipo. Au labda hutaki elimu ya bure?!

Wazazi wengine wanapiga hesabu za hovyo kabisa ada 2,000,000/= chekechea tu kisa kiingereza. Pamoja na matatizo ya shule za Serikali lakini bado zipo nyingi tu zinafanya vizuri shida inakuja tu kwa wazazi kutowafuatilia watoto wao. Kama mazizi anafuatilia maendeleo ya mtoto kwa karibu na kushirikisha walimu mtoto atakuwa vizuri tu hata kama ni shule ya serikali kwa private at least mtoto aanzie Elimu ya Sekondari
 
mafuta na usafiri ni tofauti na elimu. kwenda shule binafsi sio lazima, ni uwezo wa mtu. ila kupanda daladala utapanda tu, au la utembee au uwe na gari yako. vile vile kwa mafuta, lazima tu utanunua kama unahitaji na ndiyo maana kuna bei elekezi!

Mkuu sijakuelewa vizuri kupanda daladala ni lazima kweli? Na kununua mafuta nayo ni lazima. Mifano uliyotoa wala hailingani na ulichokusudia kutetea.
 
Je wafanyakazi/waalimu wa hizo shule binafsi mishahara yao kima cha chini ni kiasi gani? Kumbuka shule za govt ada na mambo mengine zinagharamiwa na kodi za wananchi.

Hii kitu inahitaji uchambuzi yanikifu kabla ya kutolea tamko e.g kujua the real cost of operation.
 
Huyo jamaa kajitukana mwenyewe kwani yeye ndiyo mwenye mawazo ya mgando na ya kijinga. Huyu moja kwa moja ni kilaza na hataki serikali iingilie haki ya wananchi. Ilishabainika kuwa shule za binafsi hazina chochote zaidi ya kujifunza broken english na ku over charge parents.

Haki ya wananchi haimaanishi wasioweza kugharamia elimu za wanao shule binafsi tu bali hata wanaoweza. Kama we ni mwanachi usiyeweza gharama ya shule binafsi na unaona ni vyema serikali iingilie kati kukupa nafuu bila kujali huo ubora utapungua ama kubaki vilevile pia ni vyema ukatambua kuwa kuna wanaoweza kumudu hizo gharama kwa kutambua elimu ni ghali pasipo kutaka mkono wa serikali kuingilia kati. Kama umeridhika na elimu inayotolewa na shule za serikali kwa gharama nafuu mpeleke mwanao huko ambapo hawajifunzi broken english wala ku over charge parents, wanaomudu gharama za juu acha wapeleke wanao huko wanapofunzwa broken english kwa gharama ya juu.
Unawezaje kuridhika na elimu ya shule za serikali kwa gharama nafuu halafu bado ukataka wasioridhika nayo na wanaomudu gharama ya juu shule za binafsi wapunguziwe gharama ili nawe umudu kumpeleka mwanao huko? Ni nini hicho unachotaka shule binafsi kwa gharama nafuu ambacho hakipo shule za serikali kwa hizo gharama nafuu?
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

tulia utumbuliwe jipu.tena jipu lako litapakwa pilipili baada ya kulitumbua. na bado
 
Ni kweli lakini. Mtu kampeleka mwenyewe shule mtoto kwenye shule anayomudu, wewe unajifanya unatoa ada elekezi. Kama nani labda?
 
mafuta na usafiri ni tofauti na elimu. kwenda shule binafsi sio lazima, ni uwezo wa mtu. ila kupanda daladala utapanda tu, au la utembee au uwe na gari yako. vile vile kwa mafuta, lazima tu utanunua kama unahitaji na ndiyo maana kuna bei elekezi!

Je? na hiyo nauli ya mia mbili ya mwanafunzi unaizungumziaje kwa wamiliki wa daladala. Hii mada ni ya kijimga sana na imeletwa na mjinga na majibu ya kutosha ameyapata
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Nadhani hujaelewa ni kwanini hata RSA kuna shule binafsi lakini kuna ada elekezi. Usipo regulate ada watu watashindwa kusoma hizi shule # Hapakazitu
 
Tena namwomba magufuli azitaifishe shule zitakazo kaidi kwa maslai ya taifa ka tulivyo taifisha shule za kanisa baada ya uhuru!!!sasa unaelekea kwenye ukombozi wa elimu ya tanzania!!!walimu kaeni tayari kwani kiswahili kitakuwa somo tu kiingereza toka chekechea shule za serikali kinakuja!!!
Wamiliki waligeuza hizo shule sehemu ya manyanyaso kwa watanzania kiujumla:
1.wazazi
2.walimu wa tz
3.na wafanyakazi.
Kimshahara na kiamaadili na kimtazamo.
E.g
utakuta mtanzania analipwa 300,000/-
mk.e au m u.g analipwa 800,000/- to millon point kwa kazi ileile au hata chini ya kiwango cha mtanzania...
Waache waisome numnber eheee....magufuli mbele kwa mbele....
Na hiyo.sheria haijatungwa ila ilikuwapo toka 2006 sasa ni jambo la kuwa wapole na kuipigia magoti serikali na si kutunisha msuli...mtaangamia.
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

hv hujui kama petrol stations, mabasi ya abiria hupangiwa bei na serikali?
hili la shule limekugusa sana...mapovu yanakutoka sana pole luache jipu litumbuliwe upone,maana naona u taabani
 
Kwanza hizi shule zichunguzwe vizuri kwani nyingi zilikuwa hazilipi kodi toka enzi sasa wapigiwe hesabu yao na faini then ndio mengine yafwate!!!!!
 
Back
Top Bottom