'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

There is a difference between government intervention and government takeover of the pricing process.

Big difference.

Once economic forces are superseded by governmental pricing, that economy is called a command economy.

What usually ends up happenning is deterioration of services and scarcity.

We have seen this in the early 80s with ulanguzi etc, to a point of rations and quotas in buying sugar and flour.

We do not want to go back there again.

Your confusing issues, there is no takeover of price even if it happens it's a rare case

Price ceiling and price floor it's very common in any economy
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Kama unamiliki shule huwezi ada elekezi funga shule yako full stop.
 
Mkuu nadhani unamiliki shule. Mbona hatujasikia ukilalamikia bei elekezi ya mafuta inayopangwa na serikali na kusema ni ujinga na mawazo ya mgando?

Na bei elekezi ya huduma za simu za mkononi je?
Na bei elekezi za nauli za mabasi je?

Kama ungekuwa makini ungejua kwamba katika uchumi huria usio wa kijamaa bado kunakuwa na regulatory authorities ambazo zina mamlaka ya kupanga bei elekezi. Kama hatuna regulatory authority kwenye shule au vyuo binafsi Ikulu wana haki kuingilia, hadi hapo itakapoanzishwa. Regulatory ya taasisi za kielimu itadhibiti ada na hata vishule vya mitaani kuitwa International school bila kuwa na sifa hiyo.
 
Bila serikali kusimamia maswala ya Taifa, hakuna kitakacho fanyika, serikali ishaamua kilicho baki ni utekelezaji, kama hukubaliani na serikali yetu funga shule yako au ibadilishe kuwa nyumba za wageni
 
Ujinga ni kuanzisha mada ya jambo usilo na weledi nalo. Hakuna taifa lisilo na mfumo wa Bei elekezi kwa kuwa wafanyabiashara by nature ni Profit maximizer. lengo la serikali ni kulinda na kutetea maslahi ya Raia na ndio sababu utakuta wakati mwingine inatoa ruzuku mpaka kwa taasisi binafsi kama shule na hospital ili kuboresha huduma zao, Hutoa misamaha ya kodi kwa taasisi hizo n.k ndio sababu kwny uchumi unaambiwa hakuna pure capitalist state or pure socialist state kazi ya serikal ni kuingilia ili kulinda maslahi ya Raia wakati wowote. Mbona hulalamiki wakipanga bei elekezi ya Fuel, nauli n.k Ile tabia yenu ya kujipandishia ada kama vile Nchi haina serikal ilifika mwishi siku jk alipokabidhi madaraka nov 5. mnawatoza wazazi na walezi ada halafu ikitokea mnataka kuongez Madarasa mnaitisha michango ya ujenzi kama vile ni shule ya serikal mbona Bakhresa au Mengi akitaka kutanua biashara zao wanaenda benk au ku issue share badala ya kutembeza bakuli kwa wateja? mnataka mruhusiwe mcharge gharama kibiashara lakin hamuendeshi kazi zenu kibiashara kutwa mko wizarani kuomba ruzuku na misamaha ya kodi, wazazi wanalipa kodi lakin kila mpango wa kuendeleza shule lazima mkamue wazazi nje ya ada wanayolipa. Hili jipu lishatumbuliwa kazi iliyobaki ni kusafisha tu kidonda. Jk alipelekewa hiyo sera muda mrefu akawa anawaonea aibu sasa kazi kapewa Kauzu zaidi ya Dagaa mwendo wa sura ya mbuzi hakuna kuchekeana

Gonga Grand Malta Mbili Bariiidi nakuja kulipa.
 
Tatizo serikali eharibu sn mfumo wa wlimu haaa pale inapochagua mtu wa dvision IV ya mwisho kwenda chuo cha ualimu kiasi kwamba akifika kazin hawezi kufanya kazi yake effectively. Badala ya kuangalia mapungufu km hayo ndo kwanza wana punguza ufaulu ili hata wasio na sifa za kuendelea wapite tu. Kwa kweli kama serikali itaboresha elimu ktk shule zake hizo za private zitajielekeza zenyewe kwa kuwa hakutakuwa na tofaut ya utoaji elimu. Hebu wadau fuatilieni elimu ya nchi ya Botswana muone ni jinsi gani shule za serikali zinavotoa elimu km ambayo watz wanaitafuta ktk shule za private
 
Watu mnamtukana mleta mada wakati kaleta mawazo yake. Kwani hizo shule za private ambazo unalipa mamilioni mmelazimishwa kupeleka watoto huko?

Ni sawa na maduka ya nguo yapo yanayouza nguo flani kwa elfu kumi ila nguo hiyohiyo kwingine ikauzwa laki mbili, hujalazimishwa kununua.

Hapa mamlaka husika imekosea kabisa, wapewe shule kila mwanafunzi akilipa buku kwa siku tuone kama wataweza kutumia hiyo hela kumlisha mwanafunzi milo mitatu na kulipa walimu. It is stupid, yani hilo hata kilaza analiona wazi kabisa.

Hichi ulichoandika Aibu naona miye.
 
Ada zishushwe ili na sisi tulpeleke wa kwetu feza na loyala na st francis

Heri wazigeuze wafugie kuku wa mayai lakini kumsomesha mtoto kwa ada ya sh 450,000 kwa mwaka hata mi najua haiwezekani, labda wavumilie ada hiyo iwe ya mwezi mmoja.
 
Pole sana mleta mada. Umeshikwa pabaya umeamua kuja kupumulia huku. Hatudanganyiiiki
 
@REAGAN KABOGO naona hizi shule huzifahamu kuwa nu za wizi MTUPU
anzia ile St Maru ya Mama Rwakatare hazi za marehemu Komba
  • zote hazilipi Jodi
  • zote zinachanguwa na wazazi kujenga majengo yote na kulipa mshahara walimu
  • wameambiwa walipe Elimu na isizidi 380,000/= kwa Sekondari
    • hiyo michango ya usafiri
    • chakula
    • malazi ni sawa
anachokataa magufuli ni vimichango vya rejareja hataki viongezwe

kilichopo ni sisiwazazi kuridhika na michango muhimu na su zaudu ya hapo mtu binafsi anaongeza na ujenzi wa mabweni kwa kutumia hela zetu
Shule km St Mary kwa maana nyingine ni za kwetu kwani watanzania ndio waliozichangia
 
Leo Wamarekani waliokwambia hivyo wanakopa kwa wajamaa hao hao huko China !!!

Marekani hawakopi bali wanauza bonds za serikali yao. Hawachagui ni nani wa kumwuzia bond hizo, hivyo hata wewe ukitaka utaweza kuzinunua. Wachina wamekuwa ni wanunuaji wazuri wa bond za serikai ya marekani; hawaombwi na serikali ya marekani kuzinunua bond hizo.
 
Your confusing issues, there is no takeover of price even if it happens it's a rare case

Price ceiling and price floor it's very common in any economy

You are the one who is confusing issues.

Is there no takeover of price? Or is there a takeover of price, but a rare one?

If there is a rare one, what forbids that rare case to be a precursor of a more general version?

After all, we have seen a trend of ovrereaches from this governmnent. This is not an isolated incident, it is part of a trend.

In a free market economy, or even a mixed economy, the government does not set price ceilings. Prices ceilingsare set by the economic forces of demand and supply.

The government sets the business framework by fiscal and monetary policies, taxation, industry regulation etc. Never a price ceiling.

A price ceiling is just about the laziest and most uninspiring action a government could impose in a free economy/ mixed economy type of setting.

It is by definition, a fingerprint of the command economy.

The Venezuelans are rejecting a command economy in a parliamentary election today. People spend up to a day out of the week just to stand in lines for common products such as flour and toilet paper. Because the government sets prices for these products, the prices are not within the elasticity of the forces of supply and demand, as a result, this creates scarcity and smuggling into Colombia where the market sets the price.

Venezuela is the world's number one country when it comes to oil reserves. Most people talk about Saudi Aarabia having a large amount of oil reserves. But Saudi Arabia comes second to Venezuela. Venezuela has 297.6 billion barrels in reserves by 2013 figures. Saudi Arabia had 267.91 by late 2012. But still, Venezuelans, about 31 million of them, much less than Tanzanians, are going through a time much like what we had in the early 1980s as far as queing for common everyday items. All because of socialist price control.

For some of us who actually lived through the early 80s, went through the lines to get flour, sugar and rice from NMC through CCM shops, we do not want to see a slippery slope that will lead us there again.

Cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Wamiliki nao waache ujinga wa kuchangisha wazazi 200,000 za ujenzi kwa kila mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom