marwa lucas
Member
- Nov 23, 2015
- 15
- 4
Umepitiwa nn
You are the one who is confusing issues.
Is there no takeover of price? Or is there a takeover of price, but a rare one?
If there is a rare one, what forbids that rare case to be a precursor of a more general version?
After all, we have seen a trend of ovrereaches from this governmnent. This is not an isolated incident, it is part of a trend.
In a free market economy, or even a mixed economy, the government does not set price ceilings. Prices ceilingsare set by the economic forces of demand and supply.
The government sets the business framework by fiscal and monetary policies, taxation, industry regulation etc. Never a price ceiling.
A price ceiling is just about the laziest and most uninspiring action a government could impose in a free economy/ mixed economy type of setting.
It is by definition, a fingerprint of the command economy.
The Venezuelans are rejecting a command economy in a parliamentary election today. People spend up to a day out of the week just to stand in lines for common products such as flour and toilet paper. Because the government sets prices for these products, the prices are not within the elasticity of the forces of supply and demand, as a result, this creates scarcity and smuggling into Colombia where the market sets the price.
Venezuela is the world's number one country when it comes to oil reserves. Most people talk about Saudi Aarabia having a large amount of oil reserves. But Saudi Arabia comes second to Venezuela. Venezuela has 297.6 billion barrels in reserves by 2013 figures. Saudi Arabia had 267.91 by late 2012. But still, Venezuelans, about 31 million of them, much less than Tanzanians, are going through a time much like what we had in the early 1980s as far as queing for common everyday items. All because of socialist price control.
For some of us who actually lived through the early 80s, went through the lines to get flour, sugar and rice from NMC through CCM shops, we do not want to see a slippery slope that will lead us there again.
Cc Nyani Ngabu
Kwanza hizi shule zichunguzwe vizuri kwani nyingi zilikuwa hazilipi kodi toka enzi sasa wapigiwe hesabu yao na faini then ndio mengine yafwate!!!!!
Mr. Hakuna duniani uchumi unaongozwa na market forces pekee hakuna hata marekani waasisi wa pure capitalism inawabidi kuingilia kwa sababu tu ya maslahi ya wananchi wake utakumbuka Obama alijitahidi sana kupunguza gharama za Huduma ktk hospital ili watu wote waweze kumudu gharama
Inapobidi serikali ikiona umuhimu itawapa ruzuku ili tu msiwakandamize wadogo as long kuna bidhaa na huduma zikipanda bei hata mara mbili zaidi lazima zitumike tu hivyo endelea kutegemea hata sekta nyingine za Huduma muhimu za kijamii zitapunguzwa bei ogopa kuna hospital mtu anaenda kumuona dokta tu ni zaidi ya elfu 30
Hivyo price ceiling and price floor ni muhimu sana kwa wananchi wote
Mkuu nadhani unamiliki shule. Mbona hatujasikia ukilalamikia bei elekezi ya mafuta inayopangwa na serikali na kusema ni ujinga na mawazo ya mgando?
Na bei elekezi ya huduma za simu za mkononi je?
Na bei elekezi za nauli za mabasi je?
Kama ungekuwa makini ungejua kwamba katika uchumi huria usio wa kijamaa bado kunakuwa na regulatory authorities ambazo zina mamlaka ya kupanga bei elekezi. Kama hatuna regulatory authority kwenye shule au vyuo binafsi Ikulu wana haki kuingilia, hadi hapo itakapoanzishwa. Regulatory ya taasisi za kielimu itadhibiti ada na hata vishule vya mitaani kuitwa International school bila kuwa na sifa hiyo.
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!
Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".
Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!
Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!
Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

pole mkuu! inchi haiwezi kuwa hivyo mpaka kuwe na ada elekezi
ndio amri ishatoka, ukitaka kufunga shule we funga tu. ibadili kwa matumizimengine
naogopa kukufundisha au kukuelekeza kwa upana na undani, maana akili yako hajawa tayari
Hili ni taifa, sio kijiwe cha wakimbizi
Tena namwomba magufuli azitaifishe shule zitakazo kaidi kwa maslai ya taifa ka tulivyo taifisha shule za kanisa baada ya uhuru!!!sasa unaelekea kwenye ukombozi wa elimu ya tanzania!!!walimu kaeni tayari kwani kiswahili kitakuwa somo tu kiingereza toka chekechea shule za serikali kinakuja!!!
Wamiliki waligeuza hizo shule sehemu ya manyanyaso kwa watanzania kiujumla:
1.wazazi
2.walimu wa tz
3.na wafanyakazi.
Kimshahara na kiamaadili na kimtazamo.
E.g
utakuta mtanzania analipwa 300,000/-
mk.e au m u.g analipwa 800,000/- to millon point kwa kazi ileile au hata chini ya kiwango cha mtanzania...
Waache waisome numnber eheee....magufuli mbele kwa mbele....
Na hiyo.sheria haijatungwa ila ilikuwapo toka 2006 sasa ni jambo la kuwa wapole na kuipigia magoti serikali na si kutunisha msuli...mtaangamia.
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!
Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".
Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!
Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!
Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
Km ulikua unalipisha ada mil 3 kwa day au kutwa jiandae maan bei mpya ni 150000!!!