'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
TATIZO NI KWAMBA wewe Huna uchungu NA NCHI yako hao WENYE Shule ZA binasfi wamegeuza biashara haramu hata Kama NI Ada waangalie hao wazazi wanaolipa sio WOTE WENYE uwezo huo, SASA KWA magazine yako butu usiturudishe NYuma . Tumuunge mkono JPM atuondolee udhia HUU . ACHA UJINGA FUNGUKA
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Ukifikiria misamaha ya kodi wanayopata kwa kuwa institution za elimu nadhan kuna haja ya kuingilia
 
Hata kwenye soko huria serikali ina vyombo vya kuprotect walaji, fair competition etc. Au hujawai sikia nchi nyingine makampuni binafsi yanataka ku merge lkn serikali inakataa?
 
Watanzania wamezoea kuvunja sheria sasa amekuja anayesimamia sheria wanahangaika. Tatizo ni kuwa kutokana na mafisadi kuwa wengi kwa muda mrefu walijitengenezea utaratibu wa kujenga tabaka la wenye nacho maana mtoto anaanza chekechea shilingi milioni 2 la primary milioni 3 na kuendelea. Mirija inazibwa na sheria inasimamiwa kila mmiliki alitakiwa kuwasilisha mapendekezo kwa kamishna wa elimu ya kupandisha ada hili halikufanyika kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Mtu anaamsha sheria wanashangaa. Tufuate sheria soko huria bila kuwa regulated itakuwa soko holela. Tabia ya kutukana taasisi kubwa kama hii "IKULU" humu kwa frustration zako ikome kabisa. Watanzania tunahitaji mabadiliko ya kweli katika kila sekta
 
Naunga hoja ya mleta mada,serikali haina haja wala haki ya kupanga bei kwenye biashara za watu binafsi,acheni market iongee.
 
Kwanza kabisa, sijaandika nchi iongozwe na market forces pekee. Niambie ni wapi nimeandika hivyo.

Pili kabisa, Marekani si waasisi wa pure capitalism. Hebu tueleze pure capitalism ni nini kwanza.

jibu la swali namba 1 ulireply hivi In a free market economy, or even a mixed economy, the government does not set price ceilings. Prices ceilingsare set by the economic forces of demand and supply.

jibu namba 2. Capitalism ni nature ya maisha ya kiuchumi ya binadamu wote hivyo wakati wa industrial revolution in europe watu wa chini walikandamizwa sana na wale wanaomiliki factors of production hadi pale mjerumani karl marx alipokuja mawazo mbadala kwamba capitalism inapokoma sana lazima iwe overthrown na socialism aliibuka na theory kibao lakini hazikuwapendeza hata kidogo wazungu hatimaye akakimbilia france na baadae kwa kushirikiana na raisi wa urusi wa wakati huo wakafanikiwa kuzifanyia kazi zile theory na ujamaa ukaanza rasmi rusia na baadae ukakomaa hadi kufikia hatua ya kuunda Ussr(eastern block) na baadae ukaanza kupenyeza hadi ulaya, china n.k

kwanini nasema USA ndo muasisi wa capitalism wote tunajua baada ya mtikisiko wa kiuchumi wa 1930's na vita ya pili ya dunia mataifa ya ulaya yalikuwa kwenye hali mbaya kiuchumi USA(western block) kwa hofu(cold war) aliwapa mikopo kwa masharti ya kuwa free economy hivyo hatimae wakaanza kujipenyeza Africa Usa akipromote open door policy na hawa wa eastern wakipromote closed economy kwa lengo la kujipatia soko la kuuza bidhaa zao, malighafi n.k na kwa kiasi kikubwa Usa alifanikiwa kupata member wengi hata waliokuwa wamechagua ujamaa tulifeli kwani Usa walikata misaada ndo maana NAM ikazaliwa ili wafaidi kotekote

sasa ni usiku sana mejaribu kuelezea roughly na kwa ufupi sana hivyo makosa madogo madogo usiyaconside sana, nitarudi kwa maelezo zaidi kama hatupo pamoja.
 
Ni wapi nimeandika nchi iongozwe na free market pekee?

Unajua kusoma na kuandika?

Umeulizwa kuhusu pure capitalism, unajibu kuhusu capitalism.

Unajua kusoma na kuandika?
 
Naunga hoja ya mleta mada,serikali haina haja wala haki ya kupanga bei kwenye biashara za watu binafsi,acheni market iongee.

Ndugu yangu so kila kitu uache market iongee. Nia ya wafanyabiashara ni kumaximize profit Na sehemu muhimu serikali inabidi iingilie kuwaprotect walaji. Mbona serikali inapoingilia bei ya mafuta tunaona ni sawa? Mbona serikali ikipanga nauli za magari tunaona ni sawa?
 
Aisee huku tunaendea watu wanachekelea sana kushushwa kwa hizi bei labda bei zake ziwe standard
Asishushe sana akishusha sana ni janga la taifa huwezi kufananisha Feza na Shule ya Mzimuni primary na secondary yake wenye nazo hakijaaribika kitu watahamisha tu watoto wao njee ya nchi basi maaana elimu ya Shule za Serikali ni Janga la Taifa mtoto lazima afanye kazi ya ziada umpeleke tution kinyume na hapo anapata division 5
 
huu ni msimu wa sikukuu wasafiri wanaiomba serikali iisimamie bei elekezi
huko bunda kuna mpaka bei elekezi ya nyama/beef

hamna kitu kama uchumi huria 100%.....just imagine leo tanesco waamue kupandisha gharama kwa 1000% itakuwaje
 
Aisee huku tunaendea watu wanachekelea sana kushushwa kwa hizi bei labda bei zake ziwe standard
Asishushe sana akishusha sana ni janga la taifa huwezi kufananisha Feza na Shule ya Mzimuni primary na secondary yake wenye nazo hakijaaribika kitu watahamisha tu watoto wao njee ya nchi basi maaana elimu ya Shule za Serikali ni Janga la Taifa mtoto lazima afanye kazi ya ziada umpeleke tution kinyume na hapo anapata division 5

hizi shule zinachangia mawazo ya kifisadi hasa kwa waajiriwa wapya serikalini

watoto wanabaguana hata mitaani kipindi cha likizo kisa shule zao.Ziletewe mizengwe zife ili wote turudi kwenye shule za umma, watoto wapate malezi yanayofanana
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Hapakuwa na haja (at least kwa wakati huu) wa 'kuhangaika na shule za binafsi' kama kweli tuna dhamira ya dhati ya kuziboresha shule za serikali kwa kuziondolea ada na kuboresha huduma na miundo mbinu kama tulivyoimba sana. Hizo za binafsi zenye bei ya juu nani atazishughulikia iwapo za bure na zilizo bora zipo? Si zitajifia zenyewe au zitajitafutia zenyewe 'ada elekezi'? Hii ni double standard. Ni kuchuja mbu na kumeza ngamia
 
Umeguswa wewe kwenye ilo ndo maana unakuwa mkali kasome masharti ya uanzishwaji wa shule ndo urudi apa.Policy ipo watu walikuwa wakiiby pass.
Kila sector ina bei elekeZi mbona hulalamiki mafuta kupewa bei elekeZi au bse hauko uko?
Basi acha na wenye mafuta wajipangir bei watakavyo tuone kama patakalika apa
SIjajua jamaa kachafukwa na nini! Ada elekezi ni muhimu sana
 
Serikali iko sahihi kabisa. Unakuta shule haina vitabu, maabara na chumba cha kusomea computer, lakini wanatoza ada kuanzia 500,000/= Tzs!!!
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Mmekula sana bila kunawa, sasa umefika wakati wa kila mtu kutumia kile alichokipanda kweli sio kula walivyopanda wezanko. Ada mnaweka juu watoto wakitoka hapo anajua kiingereza tu, mwisho wa siku anaishia kuwa customer service huku wewe ukiondoka na mamilioni. Tutaelewana tu mwisho wa siku, Tulia dawa iingie vizuri
 
Km ulikua unalipisha ada mil 3 kwa day au kutwa jiandae maan bei mpya ni 150000!!!

Hahahahaa mkuu let's be honest.
Nikweli ada wanazotoza sasa nikubwa mno lakini kwa 150000 day, 380000 boding naona ni ndogo sana huwezi kumuhudumia mtoto kwa elimu,malazi na ulinzi kwa hiyo, labda kwakuwa wanafunnzi wanakuwa wengi lakini nadhani haiwezi kuwa less than 500,000/=.
 
naomba ku-like hoja zote za wachangiaji dhidi ya mtoa hoja.

halafu uwambie waseme ni kwanini hawataki kuwapeleka watoto wao kwenye shule za serikali ambako elimu ni ya bure?! Wanang'ang'ania shule binafsi kwenye gharama kubwa!
 
Back
Top Bottom