Mkandarasi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendo Kasi Tegeta Nyuki - Maktaba aweka Bango la Mradi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Hatimaye mkandarasi atakayejenga Barabara ya Mabasi ya Mwendo Kasi Tegeta Nyuki - Maktaba aweka Bango la Mradi maeneo ya Kibo Complex

Hapa simung'unyi Maneno Mama ameupiga mwingi sana tena MNO

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!

CHADEMA mlitucheleweshea sana Maendeleo jimboni Kawe 😂🔥
 
CHADEMA mlitucheleweshea sana Maendeleo jimboni Kawe
Hivi hizo Barabara zinajengwa kwa viwango kweli?
Awamu ya BRT ya kwanza naona kuna ubora kidogo ila hizi za Mbagala na Chanika sidhani kama zitakuwa na ubora maana serikali ya Mama imezungukwa na wapigaji balaa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mama mwenyewe mpigaji mwandamizi unayasikia ya huko wizara ya mambo ya ndani wewe?
 
Hatimaye mkandarasi atakayejenga Barabara ya Mabasi ya Mwendo Kasi Tegeta Nyuki - Maktaba aweka Bango la Mradi maeneo ya Kibo Complex

Hapa simung'unyi Maneno Mama ameupiga mwingi sana tena MNO

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!

CHADEMA mlitucheleweshea sana Maendeleo jimboni Kawe 😂🔥
Bila picha mkuu?
 
Chadema inaingiaje Tena hapo. Kama unasifu mama yako sifu tu,Chadema Bado hawajashika Dola. Na ujenzi huo wa mwendokasi si juhudi za mbunge wa sasa Bali ni mpango wa muda mrefu ndani ya serikali kuu. Mbunge anacheza na timing tu.
 
Hii taarifa ije ikiwa imejitosheleza na uwazi wq mambo yenyewe ikiwa pamoja na thamani yq mradi na muda wa kuanza na kuisha, na mengineyo

Picha ya bango haitoshi, kuna barabara ya Nyamwage Utete, wilaya ya rufiji bado kuanza kwake lakini mikataba ilisainiwa mbele ya waanchi japo sizani kama wananchi wana fahamu kilicho sainiwa zaidi ya kuambiwa tuna saini mkataba wa ujenzi wa barabara

Hizi taarifa nashauri zije zikiwa na utosherevu
 
Hivi hizo Barabara zinajengwa kwa viwango kweli?
Awamu ya BRT ya kwanza naona kuna ubora kidogo ila hizi za Mbagala na Chanika sidhani kama zitakuwa na ubora maana serikali ya Mama imezungukwa na wapigaji balaa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ya kwanza ilijengwa na strabag kampuni ya kijerumani kikwete ndie alieingia mkataba na hii kampuni,phase 2 chini ya utawala wa magu akawabwaga strabag ndio akawaleta hao sino
 
Hatimaye mkandarasi atakayejenga Barabara ya Mabasi ya Mwendo Kasi Tegeta Nyuki - Maktaba aweka Bango la Mradi maeneo ya Kibo Complex

Hapa simung'unyi Maneno Mama ameupiga mwingi sana tena MNO

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!

CHADEMA mlitucheleweshea sana Maendeleo jimboni Kawe
Leo mwezi mchanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom