Uhusiano wa Franco na Mobutu

Uhusiano wa Franco na Mobutu

Well said .kagame ndio tatizo, congo inatakiwa iongozwe na watu kama kina bemba kabila mdhaifu sana
Angekua rais anayejielewa angeivamia rwanda
Kama ulikuwa hujui, Kabila amewekwa pale na PK, na anapeleka ripoti kwa PK kila mwezi, hata hapa tz kwa miaka ijayo tuwe makini sana na viongozi tunaowachagua, maana dalili tunaziona hapa kwetu kuanzia sasa
 
Hainogi kama hutatupia picha za gwiji Yule Franco!!!
upload_2018-7-13_18-48-45.jpeg
 
uzi mtamu sana asee,, mm mwenyew kijana wa late 80s ila namjua Franco na ngoma zake kali mnoo,, ila nlikuwa sijui km jamaa alikuwa na albamu 150 asee
 
Mario ni story ya kijana asiependa kutana kazi analelewa na wanawake;ndio mpaka leo wabongo mwanaume anayelelewa na mwanamke wanamuita Marioo
Naiskiza Mario version alorudia yule mdada apa nkiwa kwnye folen salenda,, jamaa alikuwa fundi asee
 
The great Franco na hawara wake Mpongo love walipishana mwaka mmoja kufa.

Franco akifa mwaka 1989 na Mpongo love akifa january 1990 walipishana kidogo sana.

Na inawezekana kabisa wakati wa maazishi ya Franco Mpongo alikuwa mgonjwa huku akisubiri nae kuondoka.

Ila mpongo alikuwa kisu sanaaa siwezi mlaumu Franco kumfanya mpango wake wa kando.
Hata ww usingemwacha huyo mtoto asee
images+%284%29.jpg
 
Umenikumbusha kitu mkuu, watu wa Congo hua wanaondoana sana kwa sumu! Mjomba wangu ni miongoni mwa wahanga wa hilo maana alikua anafanya nao biashara na alisha onywa before. Miaka hiyo kila anaekonda alikua anaambia anangoma wakati kuna magonjwa kibao na possibility ya mtu kuwekewa sumu maana yawezekana alikua na wapinzani wake kwa namna moja au nyingine
Refer Papa wemba,, aliwekewa sumu kwenye mic live kbs,, kuhusu Franco sijui ila kuna wimbo wake analalamika kuwa amelogwa
 
Kwa wengi tunajua Franco alifariki kwa ukimwi,
Lakini kuna taarifa zingine zinakinzana na taarifa hiyo.

Kuna baadhi ya taarifa zinasema kifo hicho kilisababishwa na maelewano mabaya kati yake na Mobuttu,
Na mtu aliyefanikisha mipango ya kuweka sumu katika mic ya Franco ni MTU wake aliyempenda sana Madillu.

Ukiangalia Franco aliugua na kupungua haraka sana, mashavu yake yalibonyea kwa ndani kwa haraka sana pia kama mtakumbuka wakati wa kutoa albam ya forever akiwa na Sam Mangwana alikuwa kapungua ghafra.

Inasemekana Madillu alipewa cheki tupu na kutakiwa ajaze mwenyewe kiasi anachohitaji toka kwa Mobutu, alijaza US$ 500,000 na kazi akaifanya,
Na kuhamia Marekani, na kuna baadhi wanasema baada ya kifo cha Franco, Madillu aliimba nyimbo nyingi za kumuomboleza rafiki na kiongozi wake wakati akijua ni yeye alihusika kwa tamaa ya pesa.

Kifo cha mtu maarufu huacha simulizi nyingi za kweli na zisizo na ukweli, hivyo kila mmoja anaweza kuamini sehemu au chanzo cha habari anachokiamini.
Aisee aisee aisee,, hv Madilu yupo hai??
 
Mkuu ktk hili una point ila tusisahau hata sasa ukipimwa ukakutikana na maradhi haya doctor ktk moja ya masharti atakayokusisitiza sana ni wewe kuifunga zipu yako na kufanya yale ya muhimu tu kwa ajili ya afya yako.

Hawa wazee wetu kwa umaarufu waliokuwa nao na nyimbo za mapenzi walizokuwa wanaimba ziliwafanya wanawake wawapende mno,mnoo!ilifikia kipindi wakishuka jukwaani tu wanawake wanawagombania mpaka kuchaniana nguo ili wakawape mzigo.

Sasa ktk mazingira kama haya angekaaje miaka 10 hali yakuwa kila siku alikuwa anachuja nafaka na lady's tofaut tofauti huku akiishi maisha ya starehe pombe na misigara,kuna mwaka nilisikiliza interview ya marehem Dr Remmy akisema kipindi anawika ilikuwa kawaida kwenda msalani na kukutana na mrembo akimsalimia tu anam'bong'olea mzee anapiga show kisha anamwachia pia wakati wa kuondoka anakokota mmoja au wawili wa kuspend nae mpaka asubuhi.

Zamani watu walijitoa ufahamu sana...
Dahh noma sana asee,, yan unatengewa kbs,, tena bureee,, kwel jamaa walikula bataa
 
Back
Top Bottom