luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Kivip mkuu...nimetoka kucheki his final days YouTube, anasema yy hana ngoma na akifa basi wampime!....ila alikuwa ameisha!
jamani luambo ilimuua ngomaMkuu una uhakika?
Kivip mkuu...nimetoka kucheki his final days YouTube, anasema yy hana ngoma na akifa basi wampime!....ila alikuwa ameisha!
jamani luambo ilimuua ngomaMkuu una uhakika?
Mkuu umeongea point...watu walishabikia ooh ni ngoma kumbe ukute alikuwa na maradhi mengine tuu...na ndo maana kwenye ile interview alikuwa anamaind kinoma...Nadhani wakati huo watu walikua wanapima kwa macho, unajua Franco alikua bonge la mtu sasa katika siku zake za mwisho alikua amepungua uzito na mwili kwa kiasi kikubwa na akawa amedhoofika na kuchoka hata jukwaani katika live performance alikua akikaa kwenye kiti. Inawezekana pia ikawa ni sukari nahawakuigundua au kuicheki kabda maana nayo hua inamkongoroa mtu, nakumbuka marehemu Marijani nae alikuja kugundulika kua anakisukari when it was too lake na alikua amedhoofika sana mwili
Mkuu majibu anayo dokta wake banajamani luambo ilimuua ngoma
Umenikumbusha kitu mkuu, watu wa Congo hua wanaondoana sana kwa sumu! Mjomba wangu ni miongoni mwa wahanga wa hilo maana alikua anafanya nao biashara na alisha onywa before. Miaka hiyo kila anaekonda alikua anaambia anangoma wakati kuna magonjwa kibao na possibility ya mtu kuwekewa sumu maana yawezekana alikua na wapinzani wake kwa namna moja au nyingineMkuu umeongea point...watu walishabikia ooh ni ngoma kumbe ukute alikuwa na maradhi mengine tuu...na ndo maana kwenye ile interview alikuwa anamaind kinoma...
Hata sumu ya kumkill softly inawezekana!
Ajisee kwenye ule wimbo wake wa le rumeus kuwa watu wa kishansa wanapenda kuona mtu ana majanga!
Umeona sasa....sio kila mpenda wanawake anapata ngoma, na huwezi jua alikuwa makini kiasi gani!Umenikumbusha kitu mkuu, watu wa Congo hua wanaondoana sana kwa sumu! Mjomba wangu ni miongoni mwa wahanga wa hilo maana alikua anafanya nao biashara na alisha onywa before. Miaka hiyo kila anaekonda alikua anaambia anangoma wakati kuna magonjwa kibao na possibility ya mtu kuwekewa sumu maana yawezekana alikua na wapinzani wake kwa namna moja au nyingine
Asante WitnessUmeona sasa....sio kila mpenda wanawake anapata ngoma, na huwezi jua alikuwa makini kiasi gani!
Kwa jinsi nilivyomsoma na kumfatilia Franco ( coz mi simjui) inaonesha enzi zake alisumbua mnoo, naangalia live show zake, ushawishi wake kwa viongozi, na upinzani mkubwa kwa wanamziki wanaotaka kushine kama yy...wee lazima kuna mahali alinasa! Either starehe zake or kurogwa, or sumu...hivi vitu vitatu kuna kimoja kinamhusu!
Pole kwa uncle wako jamani, binafsi wakongo siwapendi!
Kabisa mkuu....tunataka vithibitisho unless hizi ni chai tuuAsante Witness
Yote matatu uliyosema yanawezekana, na kwa Congo hayo yote yapo yaani kurogwa(kule kuna walozi acha tu), ngoma(na Franco alikua mtu wa totos) na hiyo sumu. Sasa kama ambavyo akija mtu atuambie sasa hivi Franco alikufa kwa sumu tutamwambia atuthibitishie chanzo cha taarifa yake ndio hivyohivyo tunawauliza wanaosema alikufa kwa AIDS watuthibitishie chanzo cha taarifa zao hizo maana kama ulivyosema kama ni ngoma doctor wake ndie anajua
Upo sahihi kabisa mkuuKabisa mkuu....tunataka vithitisho unless hizi ni chai tuu
Cc.luambo makiadi, lucas mobutu
Hhhh mkuu hakuna uthibitisho kamiliKabisa mkuu....tunataka vithibitisho unless hizi ni chai tuu
Cc.luambo makiadi, lucas mobutu
Aah mkuu alisema hivyo?Hhhh mkuu hakuna uthibitisho kamili
Ila hayo madai yalitolewa na watu walio ishi nae
Pia ukiisikiliza attention na sida mara adai sio kila anayeumwa ni ukimwi mara adai ana ukimwi hivyo ndugu zake wamemkimbia
Ndio.ngoja nitume tafsiri yakeAah mkuu alisema hivyo?
Itakua alionja kwingi.dream yangu ni kwenda kinshasa siku moja nikatengeneze documentaryIle siku Franco kaletwa kinshansa kutoka Brussels ni kama niliona ka mke kake ka kizungu kadogo dogo hivi kalikuwa kanalia!
oh le Sida, ce terrible maladieAah mkuu alisema hivyo?
Aliongoza nchi vizuri tuHivi inakuwaje mtu unazeeka hivyo halafu unang'ang'ania kuongoza watu kwa brutality?
Anatajwa kuwa rais msikivu mno.Hivi inakuwaje mtu unazeeka hivyo halafu unang'ang'ania kuongoza watu kwa brutality?
Laana ya Congo ni yule mtu mrefu mwembamba anaefadhili makundi ya waasi ili aibe madini ya Coltan akanunulie ndege, kwanini mapigano yote yanatokea upande ulipo wale watutsi NE, na ndipo madini yanapogunduliwa? Waasi wakipigwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi, hii maana yake nini? Chukulia wale waliokuwa wanajiita M23Anatajwa kuwa rais msikivu mno.
Hili nimelishuhudia hata mimi kuna videos watu wanamfokea lakini anawasikiliza
Tatizo lake lilikua ni kwenye pesa tu ndio aliharibu
Well said .kagame ndio tatizo, congo inatakiwa iongozwe na watu kama kina bemba kabila mdhaifu sanaLaana ya Congo ni yule mtu mrefu mwembamba anaefadhili makundi ya waasi ili aibe madini ya Coltan akanunulie ndege, kwanini mapigano yote yanatokea upande ulipo wale watutsi NE, na ndipo madini yanapogunduliwa? Waasi wakipigwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi, hii maana yake nini? Chukulia wale waliokuwa wanajiita M23