Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
- Thread starter
- #401
Huyu jamàa alikua akikutana na tabu.wanatoa kazi nzuri sana
Huyu jamàa alikua akikutana na tabu.wanatoa kazi nzuri sana
Anzishia uzi wanyarwanda wa humu watakujibiaHivi karibuni nikiwa jijini Kigali nchini Rwanda nilitembelea makazi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Juvenal Habyarimana. Huyu Habyarimana ni yule ambaye ndege yake ilitunguliwa mwaka 1994 na yeye pamoja na Ntaryamira aliyekuwa rais wa Burundi kufariki na baadae kukafuatia mauaji ya kimbari. Katika makazi hayo yaliyo katika eneo la Kanombe kuna sehemu iliyotengenezwa kama bwawa dogo ambalo tuliambiwa lilikuwa likitumika kama makazi ya chatu mkubwa sana ambaye alikuwa ametolewa na rais Mobutu kwa Habyarimana kwa ajili ya mambo ya kishirikina na kwamba mara tu baada ya ile ndege kutunguliwa na Habyarimana kufariki na yule chatu alipotea ghafla na katika mazingira ya kutatanisha. Na hakupatikana hadi leo.
Ni kweli.mimi pia niliona picha za hilo cave la chatu. Mobutu na Habyarimana walikuwa maswahiba mno hadi Mobutu alitunza maiti ya HabyarimanaHivi karibuni nikiwa jijini Kigali nchini Rwanda nilitembelea makazi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Juvenal Habyarimana. Huyu Habyarimana ni yule ambaye ndege yake ilitunguliwa mwaka 1994 na yeye pamoja na Ntaryamira aliyekuwa rais wa Burundi kufariki na baadae kukafuatia mauaji ya kimbari. Katika makazi hayo yaliyo katika eneo la Kanombe kuna sehemu iliyotengenezwa kama bwawa dogo ambalo tuliambiwa lilikuwa likitumika kama makazi ya chatu mkubwa sana ambaye alikuwa ametolewa na rais Mobutu kwa Habyarimana kwa ajili ya mambo ya kishirikina na kwamba mara tu baada ya ile ndege kutunguliwa na Habyarimana kufariki na yule chatu alipotea ghafla na katika mazingira ya kutatanisha. Na hakupatikana hadi leo.