Uhusiano wa Franco na Mobutu

Uhusiano wa Franco na Mobutu

wimbo azda awali ulikuwa tangazo LA biashara ambalo kampuni ya kuuza magari ya voxwagen waliipa OK jazz tenda ya tangazo
tangazo likanoga Franco akaligeuza wimbo hapo hapo.Franco kwakweli atabaki legend
Huu uzi mtamu sana baada ya miaka mingi kupita na wote kuwa marehemu leo ndani ya jf nakutana na Lucas mobutu(akiwakilisha rais mobutu)
na wewe bwana luambo makiadi (ukimwakilisha franco luambo makiadi)

Long live jf
 
jamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,
Azda ni jina la mfanyabiashara mkubwa Congo enzi hizo jamaa alimtungia wimbo ,alkuwa anauza magari ndio maana kweny huo wimbo unasikia anasema Vewe Vewe Vewe maana yake ni VW VW VW ( Volkswagen)
Daaah noma sana mimi hapa huwa naimba "peeewee pewe pewe pewee peweee...komanina aza..aza...Congoyashikaaa..." Nilikuwa sijui hata maana yake ila leo nimejua kumbe nilikuwa naimba pumba! Na wimbo huo wa madiluu na franco naupenda sana!
 
mm ktk simu yangu nyimbo za Franco zipo 500 hivi
ya azda IPO hivi
tokoki kolubayo tokokikosunga vewe na azda azda,Congo ya sika na bazaire mobimba noma sana
 
Mkuu ,hata mimi ni kijana pia but namuelewa sana franco,,,,afu huyo mdogo ake aliitwa bavon marie,aliacha mtoto mmja ni pàstor,,,ni vema ukizituma humu nyimbo hizo ulizotaja coz ni vigumu kuzipata mtandaoni ,nyingi hapo sizijui,,
ninazo nyimbo za Franco hapa karibu 500 hivi
sijui namna ya kuziweka hapa mkuu
 
Franco kawafundsha mziki wanamzki kama vile
tabu ley
Sam mangwana
mpongo love
simaro lutumba
madiluu system nk japokuwa baadaye tabu ley alihama band ya okk jazz na kuanzisha yake iitwayo orchestra afrisa international ambayo ilichuana na OK jazz
ktk band hiyo wakina Sam mangwana walijiengua okk jazz na kujiunga na orchestra afrisa,miaka ya 1987 band ya okk jazz ikaanza kuyumba hii n kutokana na Franco kuwa nje ya nchi mda mrefu pia afya yake kuzorota
mwaka 1987 Franco aliimba wimbo akimshirikisha Sam mangwana wimbo uitwao muongo na mulozi huu wimbo n kama walikuwa wanaagana Franco alitoa mawaidha mazito ktk wimbo huu miaka miwili baadae akafariki
 
Franco kawafundsha mziki wanamzki kama vile
tabu ley
Sam mangwana
mpongo love
simaro lutumba
madiluu system nk japokuwa baadaye tabu ley alihama band ya okk jazz na kuanzisha yake iitwayo orchestra afrisa international ambayo ilichuana na OK jazz
ktk band hiyo wakina Sam mangwana walijiengua okk jazz na kujiunga na orchestra afrisa,miaka ya 1987 band ya okk jazz ikaanza kuyumba hii n kutokana na Franco kuwa nje ya nchi mda mrefu pia afya yake kuzorota
mwaka 1987 Franco aliimba wimbo akimshirikisha Sam mangwana wimbo uitwao muongo na mulozi huu wimbo n kama walikuwa wanaagana Franco alitoa mawaidha mazito ktk wimbo huu miaka miwili baadae akafariki
 
Daaah noma sana mimi hapa huwa naimba "peeewee pewe pewe pewee peweee...komanina aza..aza...Congoyashikaaa..." Nilikuwa sijui hata maana yake ila leo nimejua kumbe nilikuwa naimba pumba! Na wimbo huo wa madiluu na franco naupenda sana!
Hahaha umetisha mkuu
 
Kuna nyimbo ya franco na tabu ley ,wanasema "kinshasa makambo ngai mwana mutu," franco aliimba nyimbo kama 3 kulalamikia umbeya wa kinshasa ,nimejaribu kutuma nyimbo yake ya mwisho iliyorekodiwa 89 na kuachiwa miaka ya 90 ikagoma
 
Back
Top Bottom